PostGE2025 Iran viongozi wameuliwa, miundombinu imelipuliwa na kupata hasara ya 700Trilion, ila hawajasusia maridhiano na US. CHADEMA tusigomee maridhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Mimi ni Chadema pure kabisa, katika watu top 5 waliohamasisha MO29, hapa jamii forum na Mimi nimo.

Nimekaa nkatafakari je tutasongaje bila kukaa meza moja?? je tukisusia maridhiano ajenda zetu tutazipataje?
Mbona Raila aliridhiana na Kibaki
Akaridhiana na Kenyatta,the same to Ruto. Je Raila alikuwa mjinga??

Binafsi sioni Chadema tukinufaika chochote kususia mazungumzo,it is better tuingie kwenye maridhiano then kama hakuna jipya tujitoe.

Ata Iran waliuliwa top leaders, miundombinu yake ikalipuliwa,raia wake 3000+ waliuawa lakini hajasusia maridhiano..

So chonde chonde twende kwenye meza na ma CCM kama hakutokuwa na jipya tujitoe

N.B CCM wanajua maridhiano yeyote bila Lissu na Chadema yatakuwa useless.

Mto wa mbu
Illinois-USA
 
Ni kweli kabisa iran wameyataka wenyewe huwezi kutunishiana misuli na matembo unavunjwa..
Issue ya chadema pia na wao wasijikute wakubwa sana kupitiliza watapotea ccm sio wadogo kama wanavyodhani hata hii leo ccm ameharibu lakini ukiwauliza mabeberu je mnaendelea na ccm au waje chadema watakujibu jila kufikilia wataendelea na ccm.
Chadema inahitaji maridhiano zaidi kuliko ccm inavyoyahitaji hayo maridhiano yenyewe.
 
Sawa mkuu sifungamani upande wowote juu ya jambo hilo unalotetea ila namaswali tuu yakujiuliza juu ya hoja ulizojenga ww
...Mazungumzo ya iran juu ya mapigano kusitishwa ulisikia mahitaji yanayotakiwa kufikiwa mkuu au umesoma juu juu ukaona uje jukwaaan uandike tu mtazamo ulioona ww
Ukisoma vizuri mahitaji ya irani kusimama ili mazungumzo yaendelee yanambeba iran kwa asilimia 100% igeuze kwa M4C wakikaza kutaka katiba ndio wakae katika meza ya maridhiano na mazungumzo unadhani litatokea ???
 
Shida ni kuwa aidha haya matatu yanakuhusu
1. Hujui kingereza
2. Wewe ni mpambe kindakindaki
3. Iran anahofia kuendelea kupoteza
 
Mimi ni Chadema pure kabisa, katika watu top 5 waliohamasisha MO29, hapa jamii forum na Mimi nimo.

Nimekaa nkatafakari je tutasongaje bila kukaa meza moja?? je tukisusia maridhiano ajenda zetu tutazipataje?
Mbona Raila aliridhiana na Kibaki
Akaridhiana na Kenyatta,the same to Ruto. Je Raila alikuwa mjinga??

Binafsi sioni Chadema tukinufaika chochote kususia mazungumzo,it is better tuingie kwenye maridhiano then kama hakuna jipya tujitoe.

Ata Iran waliuliwa top leaders, miundombinu yake ikalipuliwa,raia wake 3000+ waliuawa lakini hajasusia maridhiano..

So chonde chonde twende kwenye meza na ma CCM kama hakutokuwa na jipya tujitoe

N.B CCM wanajua maridhiano yeyote bila Lissu na Chadema yatakuwa useless.

Mto wa mbu
Illinois-USA
Ni mada iliyokuzidi kimo hii.
Unahororoja tu; kama kuku aliyekatwa shingo.

CHADEMA wamekwambia hawataki maridhiano au mazungumzo lini?

Sasa usichojuwa wewe ni mazungumzo ya namna gani na kwa taratibu zipi na nani anaendesha hayo mazungumzo.

Wewe huelezi chochote humo.

Pamoja na kupigwa kote kule, umeona Iran wakikubali tu kuzungumza. Huoni mvutano uliopo hadi sana.

Unataka CHADEMA wakazungumze na Samia mradi waonekane wanazungumza ili kufurahisha mnaopenda mazunguzo?
 
Mimi ni Chadema pure kabisa, katika watu top 5 waliohamasisha MO29, hapa jamii forum na Mimi nimo.

Nimekaa nkatafakari je tutasongaje bila kukaa meza moja?? je tukisusia maridhiano ajenda zetu tutazipataje?
Mbona Raila aliridhiana na Kibaki
Akaridhiana na Kenyatta,the same to Ruto. Je Raila alikuwa mjinga??

Binafsi sioni Chadema tukinufaika chochote kususia mazungumzo,it is better tuingie kwenye maridhiano then kama hakuna jipya tujitoe.

Ata Iran waliuliwa top leaders, miundombinu yake ikalipuliwa,raia wake 3000+ waliuawa lakini hajasusia maridhiano..

So chonde chonde twende kwenye meza na ma CCM kama hakutokuwa na jipya tujitoe

N.B CCM wanajua maridhiano yeyote bila Lissu na Chadema yatakuwa useless.

Mto wa mbu
Illinois-USA

Kwani Chadema ni Watanzania au wametoka wapi maana hayo ni mataifa tofauti. Tanzania ni nchi moja.
Maridhiano gani mnataka yafanyike maana kura zimeibiwa, viongozi ni fake na vijana wameuliwa sasa Maridhiano hao wauaji wana loose kipi sasa zaidi ya ufisadi. Tunajua Iran na US wanapigania nini sasa hao wezi wa CCM hata kukubali ukweli hawakubali
 
Ni kweli kabisa iran wameyataka wenyewe huwezi kutunishiana misuli na matembo unavunjwa..
Issue ya chadema pia na wao wasijikute wakubwa sana kupitiliza watapotea ccm sio wadogo kama wanavyodhani hata hii leo ccm ameharibu lakini ukiwauliza mabeberu je mnaendelea na ccm au waje chadema watakujibu jila kufikilia wataendelea na ccm.
Chadema inahitaji maridhiano zaidi kuliko ccm inavyoyahitaji hayo maridhiano yenyewe.

Nimejaribu sana kujizuia; nikaona niseme tu Duh!

Hakuna taifa lisilokuwa na kundi la watu wa fikra za namna hii; hata Iran wapo; Marekani wapo; Kenya wapo; hata Korea Kaskazini wapo.

Si maajabu hayo?

Tanzania hatuwezi kukosa mgawo wetu wa kundi hili!
 
Mimi ni Chadema pure kabisa, katika watu top 5 waliohamasisha MO29, hapa jamii forum na Mimi nimo.

Nimekaa nkatafakari je tutasongaje bila kukaa meza moja?? je tukisusia maridhiano ajenda zetu tutazipataje?
Mbona Raila aliridhiana na Kibaki
Akaridhiana na Kenyatta,the same to Ruto. Je Raila alikuwa mjinga??

Binafsi sioni Chadema tukinufaika chochote kususia mazungumzo,it is better tuingie kwenye maridhiano then kama hakuna jipya tujitoe.

Ata Iran waliuliwa top leaders, miundombinu yake ikalipuliwa,raia wake 3000+ waliuawa lakini hajasusia maridhiano..

So chonde chonde twende kwenye meza na ma CCM kama hakutokuwa na jipya tujitoe

N.B CCM wanajua maridhiano yeyote bila Lissu na Chadema yatakuwa useless.

Mto wa mbu
Illinois-USA
🚮🚮🚮
 
Waridhiane nini? Nadhani wanapaswa kuridhiana na familia za waliopoteza ndugu hiyo 29 October!! Wakimaliza huko ndio wazungumze na chadema.

Hao Chaumma na ACT waliridhiana na CCM je wamepata nini ambacho chadema wamekosa?
 
Maridhiano ya nini? Kuna nini kimetokea?

Kwanini msittafute vyama vyenye wabunge bungeni?
 
Mimi ni Chadema pure kabisa, katika watu top 5 waliohamasisha MO29, hapa jamii forum na Mimi nimo.

Nimekaa nkatafakari je tutasongaje bila kukaa meza moja?? je tukisusia maridhiano ajenda zetu tutazipataje?
Mbona Raila aliridhiana na Kibaki
Akaridhiana na Kenyatta,the same to Ruto. Je Raila alikuwa mjinga??

Binafsi sioni Chadema tukinufaika chochote kususia mazungumzo,it is better tuingie kwenye maridhiano then kama hakuna jipya tujitoe.

Ata Iran waliuliwa top leaders, miundombinu yake ikalipuliwa,raia wake 3000+ waliuawa lakini hajasusia maridhiano..

So chonde chonde twende kwenye meza na ma CCM kama hakutokuwa na jipya tujitoe

N.B CCM wanajua maridhiano yeyote bila Lissu na Chadema yatakuwa useless.

Mto wa mbu
Illinois-USA

Kwa kweli Iran ni mfano wa kuigwa zitto junior dogolas anaweza kuja toa maoni
 
Mazungumzo ya Marekani na Iran, wanajadili namna ya Iran itasaini makaratasi ya Kusalimu amri.

Chadema wakikubali mazungumzo wanakuwa wamesalimu amri, na matatizo yao yatajirudia
 
Sawa mkuu sifungamani upande wowote juu ya jambo hilo unalotetea ila namaswali tuu yakujiuliza juu ya hoja ulizojenga ww
...Mazungumzo ya iran juu ya mapigano kusitishwa ulisikia mahitaji yanayotakiwa kufikiwa mkuu au umesoma juu juu ukaona uje jukwaaan uandike tu mtazamo ulioona ww
Ukisoma vizuri mahitaji ya irani kusimama ili mazungumzo yaendelee yanambeba iran kwa asilimia 100% igeuze kwa M4C wakikaza kutaka katiba ndio wakae katika meza ya maridhiano na mazungumzo unadhani litatokea ???

Yanambeba Iran wapi? Ndo umedanganywa na sheikh kintinku hivyo?
 
Naomba msaada, hivi maridhiano ni kuhusu nini? CCM na CHADEMA wamekoseana nini hadi kuridhiana?
Wale wananchi wengine wasio na vyama walioumizwa Oct wanaridhiana na nani na kwa kitu gani?
 
Mimi ni Chadema pure kabisa, katika watu top 5 waliohamasisha MO29, hapa jamii forum na Mimi nimo.

Nimekaa nkatafakari je tutasongaje bila kukaa meza moja?? je tukisusia maridhiano ajenda zetu tutazipataje?
Mbona Raila aliridhiana na Kibaki
Akaridhiana na Kenyatta,the same to Ruto. Je Raila alikuwa mjinga??

Binafsi sioni Chadema tukinufaika chochote kususia mazungumzo,it is better tuingie kwenye maridhiano then kama hakuna jipya tujitoe.

Ata Iran waliuliwa top leaders, miundombinu yake ikalipuliwa,raia wake 3000+ waliuawa lakini hajasusia maridhiano..

So chonde chonde twende kwenye meza na ma CCM kama hakutokuwa na jipya tujitoe

N.B CCM wanajua maridhiano yeyote bila Lissu na Chadema yatakuwa useless.

Mto wa mbu
Illinois-USA
Umeshapona bawasiri mkuu kajitibu kwanza bawasiri ndio uje na uvhawa wako
 
Back
Top Bottom