Mimi ni Chadema pure kabisa, katika watu top 5 waliohamasisha MO29, hapa jamii forum na Mimi nimo.
Nimekaa nkatafakari je tutasongaje bila kukaa meza moja?? je tukisusia maridhiano ajenda zetu tutazipataje?
Mbona Raila aliridhiana na Kibaki
Akaridhiana na Kenyatta,the same to Ruto. Je Raila alikuwa mjinga??
Binafsi sioni Chadema tukinufaika chochote kususia mazungumzo,it is better tuingie kwenye maridhiano then kama hakuna jipya tujitoe.
Ata Iran waliuliwa top leaders, miundombinu yake ikalipuliwa,raia wake 3000+ waliuawa lakini hajasusia maridhiano..
So chonde chonde twende kwenye meza na ma CCM kama hakutokuwa na jipya tujitoe
N.B CCM wanajua maridhiano yeyote bila Lissu na Chadema yatakuwa useless.
Mto wa mbu
Illinois-USA