Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Lakini analia lia lia ili wapambe wamsaidie super power kashikwa badala abuni vitu vipya analia lia tuMzee uko dunia ipi? Huawei itakufa muda si mrefu ukiwa na technology halafu customers hamna haina maana. Anachofanya mmarekani ni kushawishi wale marafiki zake wasitumie huduma za Huawei. Hahahaa hakuna nyota mchina ataacha kuona.
Angalia pato la Huawei linashuka kwa kasi ya ajabu