Iran walialia baada ya vinu vya nyuklia kupigwa kirusi, waapa kulipiza kisasi

Iran walialia baada ya vinu vya nyuklia kupigwa kirusi, waapa kulipiza kisasi

Kama IAEA ambalo ni shirika la kimataifa linalowakalia kooni Iran kwenye mradi wao wa nyuklia limedai halijakuta radiation kwenye maeneo yanayozunguka, taarifa kinyume na hizi ni za kupuuzwa. IAEA wana wataalamu wao wanakesha wakichunguza Iran imeongeza nini ili washitaki.
 
In response to the cyber & sabotage attacks of #Israel Defense Force & #MOSSAD, #IRGC Cyber Defense Command is now preparing for retaliatory attacks at #Israel's military & strategic sites including Nuclear ones. This is why the #IDF has been on high alert since 48 hours ago! https://t.co/ym8eF9mXSK
[emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] muayatollah wa tandahimba tulia sindano ipenye...maabara yao imegeuka majivu
Wayahudi wanaanza kuvaa pedo sasaivi, ninavyomjua Muajemi hatanii
 
Syber Attack na hakuna damage yyte iliotokea, mradi unaendelea kama kawaida, alaf mtoa mada kaa utulie kwanza thn utafsiri vizuri hio habari sio maneno ya shombo
Syber ndo nini wewe mwarabu [emoji117]cyber
 
Mwezi jana Iran ilishambulia mifumo ya maji ya Israel, walitaka kuongeza kiwango cha chlorine kwenye maji. Hii ilikuwa ni jibu la shambulizi la network katika bandari ya Iran lililosababisha foleni kiasi. Shambulizi la chlorine lilikaribia kufanikiwa lakini halikumaliziwa, haijulikani kwanini hawakumalizia ingawa si kawaida ya nchi hizi kushambuliana civilian infrastructures. Israel sasa hivi wanafuga samaki kwenye mifumo yao ya maji kumonitor level za chlorine.

Kinachofatia hapa ni shambulizi la kulipiza kisasi. Iran wakisema kitu hawarudi nyuma hata mkeshe mkifanya nini, mkizuia hiki wanaenda kwa kile. Huu utaratibu ni mzuri sana maana adui anaogopa kushambulia.
View attachment 1498175

Sasa mbona walirudi nyuma kwenye hilo la chroline, kama kweli walikua na mapumbu wangetekeleza, kutia sumu kwenye maji yanayonywewa na watu wengi ni uhujumu wa kutangaza vita vikali, wangepata majibu ya ajabu.
 
Mashambulizi ya kimtandao ni jambo la kawaida Bob usihangaike
 
Sasa mbona walirudi nyuma kwenye hilo la chroline, kama kweli walikua na mapumbu wangetekeleza, kutia sumu kwenye maji yanayonywewa na watu wengi ni uhujumu wa kutangaza vita vikali, wangepata majibu ya ajabu.
Aliogopa kudhuru watu wasio kuwa na hatia alafu kumbuka ambao wangedhurika sio mayaudi peke yao kumbuka hata waparestina wanatumia maji hayo hayo nadhani hilo ndio lilimfanya asite kufanya hivyo.
Ila iwapo angefanya hivyo ungekuwa ni unyama wa kutisha na wenda unge zusha vita.
 
Umesema huwa hawarudi nyuma, sasa angefanya bila kusuasua, wakati wa kujilipua mabomu huwa mnajilipua bila kujali nani wala nani.
 
Wanalialia kama Putin alivyo hack mifumo ya Uchaguzi na kuwachagulia kichaa
 
In response to the cyber & sabotage attacks of #Israel Defense Force & #MOSSAD, #IRGC Cyber Defense Command is now preparing for retaliatory attacks at #Israel's military & strategic sites including Nuclear ones. This is why the #IDF has been on high alert since 48 hours ago! https://t.co/ym8eF9mXSKWayahudi wanaanza kuvaa pedo sasaivi, ninavyomjua Muajemi hatanii
washa anza kubweka bweka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa mbona walirudi nyuma kwenye hilo la chroline, kama kweli walikua na mapumbu wangetekeleza, kutia sumu kwenye maji yanayonywewa na watu wengi ni uhujumu wa kutangaza vita vikali, wangepata majibu ya ajabu.
majibu makali kutokea wapi ?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ss mbna unapovukwa tuache Mashia na Ushia wetu ewe MYAHUDI wa LUSAKA[emoji12][emoji14][emoji12]
Bakini na ushia wenu ndiyo, na mkome kujiita waislam make mnauchafua uislam na maugaidi yenu [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Bakini na ushia wenu ndiyo, na mkome kujiita waislam make mnauchafua uislam na maugaidi wenu [emoji2][emoji2][emoji2]
Kwani mashia tunawatesa WAYAHUDI mbna mnatuchukia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hicho kishambulio cha mitandao ni kidogo sana wala hakijaleta madhara, subir Iran akijibu utaskia vyombo vyote vya habari na vikwazo juu
washa anza kubweka bweka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hicho kishambulio cha mitandao ni kidogo sana wala hakijaleta madhara, subir Iran akijibu utaskia vyombo vyote vya habari na vikwazo juu
Navikwazo vyenyewe butu sasa [emoji23] maana toka mwaka 79 mpaka sasa vinaekwa tu ila wajamaa wala hawana habari [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Ukiona hivyo ujue wanahangaika sana na Iran, yaani hawana raha, Juzi Iran alisema kuwa kuna surprise itavumbuliwa mda so mrefu ndio walihangaika hivyo, vichwani mwao wanajiuliza ni surprise gani? [emoji23]
Navikwazo vyenyewe butu sasa [emoji23] maana toka mwana 79 mpaka sasa vinaekwa tu ila wajamaa wala hawana habari [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom