Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Umevimbewa kitimoto wewe si bure [emoji28][emoji28]Kama unaona tunafaidi nawewe tafuna kitimaji[emoji23][emoji2][emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umevimbewa kitimoto wewe si bure [emoji28][emoji28]Kama unaona tunafaidi nawewe tafuna kitimaji[emoji23][emoji2][emoji12]
Unawaelewesha WAYAHUDI ?! [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ww tuseme ndio unajitoa ufahamu, hufahamu au ni mpya wa siasa za masharki ya kati?? Kwani mara ngapi Iran ameshasema kitu atafanya na akafanya, jamaa kakufafanulia vizuri sana apo juu ila bado unashikilia (kama mnaamini ni wababe basi wafanye kweli) na huwa akifanya mnakua mnakimbia nyuzi humu
Kweli hakuna cha bureUmevimbewa kitimoto wewe si bure [emoji28][emoji28]
Punguza kula nguruwe yenye mafuta mengiKweli hakuna cha bure
Ntakula wenye mafuta kiduchu[emoji4][emoji4][emoji4]Punguza kula nguruwe yenye mafuta mengi
Wakati akianzisha hilo shambulizi alikuwa anawalenga watu gani?Aliogopa kudhuru watu wasio kuwa na hatia alafu kumbuka ambao wangedhurika sio mayaudi peke yao kumbuka hata waparestina wanatumia maji hayo hayo nadhani hilo ndio lilimfanya asite kufanya hivyo.
Ila iwapo angefanya hivyo ungekuwa ni unyama wa kutisha na wenda unge zusha vita.
In response to the cyber & sabotage attacks of #Israel Defense Force & #MOSSAD, #IRGC Cyber Defense Command is now preparing for retaliatory attacks at #Israel's military & strategic sites including Nuclear ones. This is why the #IDF has been on high alert since 48 hours ago! https://t.co/ym8eF9mXSKWayahudi wanaanza kuvaa pedo sasaivi, ninavyomjua Muajemi hatanii
Walilenga kudisrupt water supply kwa kuzichanganya mashine ziweke too much chlorine ili maji yasinyweke,,Wakati akianzisha hilo shambulizi alikuwa anawalenga watu gani?
Wangewafuta HAMAS kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]Mngefanya kweli, mtie maji hiyo klorini.....muone mkifutika...hehehe
Acha ufala na kukurupuka mm nimeandika hayo kutokana na maelezo ya niliye mjibu kwenye koment yake.
Wangewafuta HAMAS kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao hawana haja kuhangaika nao maana ni vitoto fulani hutumika kupasha misuli vijana wa IDF maana wanakua idle kambini, ila nguruwe aliyenona huyo Muajemi husubiriwa sana afanye lisilo la kawaida, kwa mfano angekamilisha hilo wazo butu la kutia klorini.
Wacha lile la kupiga vibomu kwenye makontena eti ndio kalipiza vifo vya majemedari wake.
Safi sana bwana mdogo, mafuta yanakupunguzia uwezo wa kufikiri, ila kwa kuwa sasa unaachana na yenye mafuta mengi, Basi utaanza kufikiri vizuri na hapo utakundua nyie mashia ni mbwa tu wa US [emoji2]Ntakula wenye mafuta kiduchu[emoji4][emoji4][emoji4]
Wewe nani wa US ?!Safi sana bwana mdogo, mafuta yanakupunguzia uwezo wa kufikiri, ila kwa kuwa sasa unaachana na yenye mafuta mengi, Basi utaanza kufikiri vizuri na hapo utakundua nyie mashia ni mbwa tu wa US [emoji2]
Wewe nani wa US ?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona ubalozini tayar ile bendera yenu ishapepea [emoji22][emoji22][emoji22]
Ile bendera yenu ulikuwapo wakat mnaiweka pale !?Development partiner
Tukuulize wewe bwana Utam, make nasikia hiyo bendera inawahusu nyie watam wenye Utam wenu [emoji1][emoji1]Ipe bendera yenu ulikuwapo wakat mnaiweka pale !?