Iran walialia baada ya vinu vya nyuklia kupigwa kirusi, waapa kulipiza kisasi

Iran walialia baada ya vinu vya nyuklia kupigwa kirusi, waapa kulipiza kisasi

Tukuulize wewe bwana Utam, make nasikia hiyo bendera inawahusu nyie watam wenye Utam wenu [emoji1][emoji1]
Ila wako zaidi[emoji4][emoji4][emoji4]

Utam wamabwana huuwezi ww[emoji4][emoji4][emoji4]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtabweka sana kwakila mtakalo fanyiwa mtaona halitoshi [emoji16][emoji23][emoji12][emoji14][emoji12]

Nanyie waajemi walipasha viporo tu kidogo[emoji4][emoji4][emoji4]

Kupiga makontena ya korosho makombora eti ndio kulipa kisasi cha kuuawa kwa majemedari....
Mimi bado nahoji kuhusu hilo kwanini klorini mlisitasita...hehehe
 
Mzee uko dunia ipi? Huawei itakufa muda si mrefu ukiwa na technology halafu customers hamna haina maana. Anachofanya mmarekani ni kushawishi wale marafiki zake wasitumie huduma za Huawei. Hahahaa hakuna nyota mchina ataacha kuona.

Angalia pato la Huawei linashuka kwa kasi ya ajabu
huawei ife,nchi yake tu ni soko tosha.,yale makampuni ya USA yaliyokuwa yanatengeneza vipuri vya huawei,mfano processors nk,ndio yalilia sana,na yakaounguza wafanyakazi,uko dunia ipi mkuu...
 
Kwamba leo Israel ni tishio kuliko baba yao USA? nafkiri huwa unacomment kwa kutumia Stress na sio mahaba tena, hizo proxy za Iran zinashambuliwa hata na waasi wa Syria pia na Uturuki, em hio Israel unayoisifu ijaribu kushambulia kule Lebanon ya Nasrullah aone huo mziki, ijaribu tu sasaiv kama ilivyojaribu 2006, nafkiri unakuwa unawasifia kwa sababu ya mashambulizi yake ya Gaza kwa hammas, mbona Lebanon hawashambulii na Hizbollah ndio chimbuko lake pale, em wajaribu, Usifananize Iran na vitu vya kipuuzi
Muajemi huwa anamtishia nyau USA kwa sababu anajua mpaka apigwe ni mchakato mrefu, Myahudi huwa anatwanga proxy zake hapo Syria ila kazi kubwa ya mwajemi ni kukanusha proxy hazikuwa zake. Uzuri wa myahudi nae hana subira, ukileta fyoko anakufokoa vilivyo.
Benjamin Netanyahu huwa hacheki na mtu.
 
Israel sasaivi inakunasha hio taarifa, inasema wao hawahusiki, sasa ujue kuwa nguvu ya kutangaza Iran kuwa italipiza inavyoeffect huko middle east, Israel imekanusha coz wanajua mziki wa hawa jamaa hawatanii.
Muajemi huwa anamtishia nyau USA kwa sababu anajua mpaka apigwe ni mchakato mrefu, Myahudi huwa anatwanga proxy zake hapo Syria ila kazi kubwa ya mwajemi ni kukanusha proxy hazikuwa zake. Uzuri wa myahudi nae hana subira, ukileta fyoko anakufokoa vilivyo.
Benjamin Netanyahu huwa hacheki na mtu.
'Everyone can be suspicious of us all the time. But not every incident that happens in Iran necessarily has something to do with us.' huyo ni Waziri wa ulinzi wa Israel katamka maneno hayo muda huu
 
Mnasema Iran huwa hawatanii na hawarudi nyuma, kisha mnageuza na kusema walirudi nyuma pale walipotaka kutia maji sumu, hao waajemi wenu kama mnaamini ni wababe basi wafanye kweli.
"Tunasema..."[emoji44][emoji44] sisi kina nani tuliosema? Unaona unavyokosea hata huna uwezo wa kutafsiri nilichoandika. Tunasema sisi kina nani? Mimi nawawakilisha kina nani ambao unadai tulisema, mimi ni msemaji wa kina nani? Nani kakwambia mimi ni msemaji au nimefungamana na kundi fulani ili tutoe mawazo.

Nje ya hapo nishakwambia huwezi kulazimisha watu wafanye unavyotaka wewe, huo ni upuuzi. Yani watu wafanye maamuzi ili kudhibitisha ujinga wako. Akili zako ni za ligi kuu, achana na international matters.
 
Mzee uko dunia ipi? Huawei itakufa muda si mrefu ukiwa na technology halafu customers hamna haina maana. Anachofanya mmarekani ni kushawishi wale marafiki zake wasitumie huduma za Huawei. Hahahaa hakuna nyota mchina ataacha kuona.

Angalia pato la Huawei linashuka kwa kasi ya ajabu
Hawatakuelewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti haina customers

CHINA wanaweza wakaziuza HUAWEI kupitia soko lao landani tu namaisha yakaendelea kama kawaida

Taifa lenye watu 1.6Bs unawahoji kuhusiana na customers [emoji23][emoji23][emoji23]


mwisho:-Hakuna wakumtisha IRAN haya mambo sio mazuri japokua yakawaida sanaaaaa.....


Alokwambia Pato la HUAWEI linashuka nani unaweza kutetea hoja zako kwakuleta DATA ?!
Hivi huwa mnaokota wapi taarifa nyie msiosoma?
China toka lini ikawa na 1.6b people?
Hujui soko hata liwe kubwa vp kuna saturation?
 
Ila wako zaidi[emoji4][emoji4][emoji4]

Utam wamabwana huuwezi ww[emoji4][emoji4][emoji4]
Utam ni ladha ya vinavyoliwa.
Na utam wa mabwana aka mapunga ndo huwa utam maradufu. We hujiulizi watu wanaacha mademu wanaenda kula mabwana watam [emoji2][emoji2][emoji2]
 
In response to the cyber & sabotage attacks of #Israel Defense Force & #MOSSAD, #IRGC Cyber Defense Command is now preparing for retaliatory attacks at #Israel's military & strategic sites including Nuclear ones. This is why the #IDF has been on high alert since 48 hours ago! https://t.co/ym8eF9mXSKWayahudi wanaanza kuvaa pedo sasaivi, ninavyomjua Muajemi hatanii
Jipatieni moyo
 
Back
Top Bottom