Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

Huyo Iran atapigwa mpaka achakae subirini muone.
Ameyakanyaga mwenyewe.
Sote tunajua Israel si wa kumpiga Iran..

Hiyo vita irakuwa na madhara makubwa kotekote. Si Israel Si US, UK wala Iran anayelitaka hilo.

Iran ametuma salam kuwa siyo mnyonge kama wengine.

Israel kapata Salam, ila anaruhusiwa kuanzisha vita.. Vita ina gharama.

Kwani akijibu nini kotafuata , Kwamba Iran atatuma tena Kamikaze zinazotembea kwa 150kph zinazofika Israel kwa masaa kadhaa??.... Au atarusha Ballistics na cruise zinazotumia dk 15-20.

Au Hypersonics zinazotumia dk 7-12 kufika Israel?..

Iran wenyewe walijua Kamikaze zinasafiri Slowly ndo mana walirusha nyingi, lengo lao wanalijua wao tu siyo sisi.

Lakin kama lengo lingekuwa kuangamiza jerusalem na Tel Avive mazima wangerusha Ballistics ,cruise na Hypesrsonics za kutosha Mbazo ni dk 7-15 kufika Israel , na sote tunajua nini kingetokea.

Hakuna nayetaka vita kirahisi hivyo, wote wanafanya Show of force na kuwekeana mipaka.
 
Ujumbe umeeleweka kabisa..
Israel ni mtoto aliedekezwa sana anatukana watu wazima halafu anajificha kwenye migongo wa baba zake Maarekani na Ulayab sasa safari kamchokoza kichaa Iran, kakutana na bakora ambazo hakutegemea baba zake wote wameambiwa wakiingilia nao watachezea kichapo
 
Wale walokole waliokuwa wanasema irani ndo anatafutwa huyo hapo sasa
Walokole na Waisrael weusi wote wamekimbia walivyokuwa wanaona Bwana wao anavyowaonea Wapelestina kuwauwa hovyo wakadhani anaweza kufanya hivyo Iran, pia walikuwa hawajua nguvu ya Iran.
 
Hayo yoote uloyasema hayahusiani na ulinzi na usalama wa Irani yeyote atakaejichanganya bila kujali ana mapembe au Hana atabinuliwa kichuguu
 
Mkuu Ritz unasumbuliwa na msongo wa mawazo, una faida ya kwenda peponi kwa kujitoa mhanga huko Israeli.
 
 
Hakuna kitu kinachotokea hapo Iran hawezi jaribu lolote
🚨BREAKING: VYOMBO VYA HABARI VYA IRAN VINADAI ANGALAU MAWAKALA 44 WA MOSSAD WAMEUAWA

Takriban maafisa 44 wa Mossad waliuawa katika Kambi ya Anga ya Navatem, ambayo sio tu ina vikosi vya ndege za Israeli F-35 lakini pia hutumika kama mahali pa kuanikia ndege za kijasusi.
Kituo hicho kilijulikana kuwa na uwepo thabiti wa maafisa wa ujasusi na watendaji wa juu wa Mossad.
Ripoti zinaonyesha kuwa kando na vifo 44, wengine 18 walipata majeraha mabaya.

Chanzo: iraninarabic_ir
 
Iran ni mikwara oriented
🇮🇱🇮🇷IRAN KWA ISRAEL: USIWAZE HATA KUHUSU KURUKA HAPA

Kamanda wa Kambi ya Pamoja ya Ulinzi ya Anga ya Khatam Al-Anbiya:

"Tunawahakikishia kuwa anga ya nchi si salama kwa aina yoyote ya uchokozi, na ikiwa adui atafanya makosa katika hesabu zake na kutaka kuwa na aina yoyote ya uchokozi dhidi ya anga yetu, atakabiliwa na mapigo ya kuua."

Chanzo: IRGC
 
Umeokota wapi hio taarifa
Al-Jazeera haipo
BBC hatuoni
 
Wewe Mlokole unauliza nini si ulikuwa unasema Iran hawana uwezo wa kuwashambulia mabwana zenu tulieni dawa iingie.
Israel imeua mageneral wa Iran na kupiga ubalozi mzima

Iran wanarusha rusha vidrones vyao vimeishia njiani,vingine vimedondokea Iraq bila kuguswa

Pole kobasi
Wazayuni wahuni sana wanakupiga kwenye mshono unaishia kuruka ruka tu
Ila Iran wamepooza machungu kidogo 😀
 
Israel ni mtoto aliedekezwa anatukana watu wazima alaf anajificha kwenye mgongo wa baba yake marekani sasa safari kamchokoza mwendawazim
Hahahaha anajifanya mtoto wa Simbachawene 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…