Iran wanaamini ajali hio ya kawaida. Je, Ni kweli?

Iran wanaamini ajali hio ya kawaida. Je, Ni kweli?

Peace,

Yani helcopter 3 zinasafiri katika ukungu ulioripotiwa na wataalamu wa anga na aviation kua "dhaifu na wa kawaida" alafu 1 kati ya chopa 3 inaanguka. Na tena inayoanguka ni "chopa ya rais" na nyingine zinaendelea na safari huku mawasiliano ya chopa zote 3 yakifanyika "muda wote" na kwamba hali ni shwari.

Hata baada ya kufika chopa mbili na kushtuka ya rais haipo bado mawasiliano ya chopa ya rais yanaendelea kuripot kua wako "salama"

Wavaa kobazi hawataki kuamini kilichotokea wamengangani "ni ajali ya kawaida" na huo ndio ugwiji wa ujasusi unawatwanga watu kipapai wanabaki na nadharia za fikra finyu ila kwa watu makini wanajua kilichofanyika ni kazi "makini" isiyoacha doa.

That was an obvious well calculated job na hali ya hewa "ikatumika vema" ikumbukwe Israel ilitoa taarifa ya kufa kwa rais wa Iran masaa matatu kabla ya Iran kuwa na taarifa na kuriport chochote.
View attachment 2994759

Yani wamepigwa kipapai wamebaki kuduwaa qdadeki maswali mengi majibu hakuna. Mpaka mda huu ubao wa matokeo unasoma Israel - 65 Iran - 1
wote tumeona hali ya hewa ina ukungu,subiria ndoa yako maana papa alishatangaza,hivyo huwezi kuiepuka
 
Wanajuana hao,,,,,jini la ayatolah likapigwa chenga ,myahudi kitu chake kikapita hadi kwa raisi,,,,,,hao walitakiwa kuja kuomba utaalam kwa bwana Makonda alivyopona kwenye ajali kule kusini
 
Kitalaam Helicopter ya Rais tena anayewindwa mnapokuwa kwenye convoy lazima muiweke kati na all the time muwe mnaiona na kuisport.

Sasa Helicopter imebeba Rais imeanguka na wengine mnakwenda kutua salama huku hamjui Helicopter ya Rais iko wapi - watu wa ulinzi hapa walifail na inawezekana hata adui alishajua udhaifu wao katikati ya milima either akaingilia convoy na kuwabwaga au aliswitch off some of the important devices hasa engine controller kupitia wireless communication na jamaa wakapoteza altitude wakalala mapolini huko.
 
Hivi hio thread ungeiandika kwa kiingeleza yaani jukwaa la kiingeleza ungeandika mambo ya makobazi, hivi watanzania haiwezikani kujadili bila kukejeliana kiimani au kisiasa, au kiswahili kinavutia kutukanana, mbona maoni kwenye majukwaa ya kiingeleza hatuoni hayo
 
Kitalaam Helicopter ya Rais tena anayewindwa mnapokuwa kwenye convoy lazima muiweke kati na all the time muwe mnaiona na kuimport.

Sasa Helicopter imebeba Rais imeanguka na wengine mnakwenda kutua salama huku hamjui Helicopter ya Rais iko wapi - watu wa ulinzi hapa walifail na inawezekana hata adui alishajua udhaifu wao katikati ya milima either akaingilia convoy na kuwabwaga au aliswitch off some of the important devices hasa engine controller kupitia wireless communication na jamaa wakapoteza altitude wakalala mapolini huko.
Na ukiangalia helicopter aliyopanda imetengenezwa marekani
 
Hivi hio thread ungeiandika kwa kiingeleza yaani jukwaa la kiingeleza ungeandika mambo ya makobazi, hivi watanzania haiwezikani kujadili bila kukejeliana kiimani au kisiasa, au kiswahili kinavutia kutukanana, mbona maoni kwenye majukwaa ya kiingeleza hatuoni hayo
Mkuu siyo kukejeliana hapa jamvi linachangamshwa. Yani kuna malumbano yanaleta mada kinzani. Mimi naona haina shida.
 
Kwahiyo wewe hujawai kuona wala kusikia kuwa mnaweza kuongozana hata watu 4, gari ikaacha njia ikagonga wote akabaki mmoja au ikagonga mmoja wakabaki wote? hivi kwanini mnaamua kulazimisha mambo wakati mazingira yanakubali kuwa kwa hali ile ajali inaweza tokea bila tabu
Hamna bana wayahudi wateule wamefanya yao.
 
Ni Hatari sana, huwezi kuishambulia Israeli halafu ukawa unaishi kiboyaboya hivyo lazima wakueliminate tu maana tayari ni easy target.

They have got satellite, they can track you down, unatumia Helicopter waliyotengeneza wao na ina electronic control module (ECM)zaidi ya moja ambazo unaweza kufanya remote communication nazo kukiwa na internet, it's easy to shut down engine controller na mkalamba mchanga.

Kufight na mataifa yenye high tech na watalaam unapaswa nawewe kuwa level hizo maana vita ni akili sio miguvu.
 
Hivi hio thread ungeiandika kwa kiingeleza yaani jukwaa la kiingeleza ungeandika mambo ya makobazi, hivi watanzania haiwezikani kujadili bila kukejeliana kiimani au kisiasa, au kiswahili kinavutia kutukanana, mbona maoni kwenye majukwaa ya kiingeleza hatuoni hayo
Huwa husomi tu.Kuna watu wanajua kuichezea lugha ya kiingereza kama mtumiaji mwingine tu wa lugha ya Khoisan/Hotetonts.
 
Back
Top Bottom