Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Allah amesema kisasi ni haki, sasa Iran baada ya kupokea kichapo toka kwa marubani wakike wa ISRAEL, eti mpaka sasa ni zaidi ya mwezi wanaogopa kulipa kisasi.
Mwanzo walikuwa na mbwembwe sana, lakini sasa wamelowa chepechepe. Ayatollah sijui anahofia nini yani ukiangalia uso wake anaona mauzauza tu midomo yake inatetemeka.
Mimi nadhani wanamleti dauni Allah. Akiona walivyo nyong'onyea anajisikia vibaya sana, yani wamezidiwa ujasiri na nyuzi za Ritz