Karibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana
Halafu walikuwa watatu tu.Naapa tutayatandika mazayuni.Nikweli IRAN wamefumuliwa na wanawake, vyombo vyote vimeripoti hivyo mkuu. Pole sana.
Nyie Walakole ni mzigo mzito Kwa Taifa tumebebeswa !!! Mmejaza nyuzi za kilokole mapambio na mengine mengi lkn tujiuliize izi kelele zinasababishwa na nini kikubwa je Iran imeanguka jibu hapana kwani msingi wa vifo vyote ndani ya Israel mzamini nani jibu ni Iran, sasa kwanini iyo Israel au marekani Wasiende angusha Utawala wa Ayatollah Wanaogopa nini wkt wazayuni Wamekufa Wanakufa Wanaendelea kufa kwann kama wao wananguvu Wasiende Iran kupambana nao ili Wapate Salama ya kweli. Sasa ukweli huu amtaki kuusema mwisho mnajipa moyo na kule Nyizi kibao lkn wenye akili wanajua nyinyi Walokole mmekwama seem y AKILI.Allah amesema kisasi ni haki, sasa Iran baada ya kupokea kichapo toka kwa marubani wakike wa ISRAEL, eti mpaka sasa ni zaidi ya mwezi wanaogopa kulipa kisasi.
Mwanzo walikuwa na mbwembwe sana, lakini sasa wamelowa chepechepe. Ayatollah sijui anahofia nini yani ukiangalia uso wake anaona mauzauza tu midomo yake inatetemeka.
Mimi nadhani wanamleti dauni Allah. Akiona walivyo nyong'onyea anajisikia vibaya sana, yani wamezidiwa ujasiri na nyuzi za Ritz
kwan hao israel walikuwa bora lini mifumo yao ya iron dome ilifanikiwa kufanya nini waliposhambuliwa na iran wewe elewa hivyoAcha uongo, Israel ilifeli wapi?, pia acha kujilisha upepo eti Iran iko bora mara 1000 ya Israel wakati Israel kila dakika anayojisikia anafanya mauaji ya vigogo wa Iran au kupiga mabomu atakavyo, sasa Iran wangekuwa bora wangeruhusu hayo yatokee?
ameshindwaAaaaaiiiseeee kumbe Israel kashinda Hezbollah?
Kumbe walishiriki ni wanawake uwenda ndiyo maana shambulio lao(Israel) linaliitwa kulipa kisasi limekuwa la uoga na unyonge uku wakipiga kelele hovyo kuficha haibu kubwa waliopata kwenye mifumo yao iron dome David string na allow 3 kulala usingizi wakati wa makombola ya Iran yakimwagikaAllah amesema kisasi ni haki, sasa Iran baada ya kupokea kichapo toka kwa marubani wakike wa ISRAEL, eti mpaka sasa ni zaidi ya mwezi wanaogopa kulipa kisasi.
Mwanzo walikuwa na mbwembwe sana, lakini sasa wamelowa chepechepe. Ayatollah sijui anahofia nini yani ukiangalia uso wake anaona mauzauza tu midomo yake inatetemeka.
Mimi nadhani wanamleti dauni Allah. Akiona walivyo nyong'onyea anajisikia vibaya sana, yani wamezidiwa ujasiri na nyuzi za Ritz
Halafu kuna mkoa mmoja kule China una waislamu wengi wananyanyasika kweli, hadi jumuia za kimataifa zinaingilia kati.
Huo mkoa unaitwa Xinjiang.Mkoa gani huo utaje mi nipo china Taipel
Ni kweli Rwanda walifunga ila siyo makanisa pekee, ni pamoja ni misikitiKule RWANDA wamefuta vikanisa kausha Damu kibao vimefungwa kalibu 250 aina Tofaut.
Sawa kijana kumbuka KUEPUKA UDINI HUMU AU SIOAllah amesema kisasi ni haki, sasa Iran baada ya kupokea kichapo toka kwa marubani wakike wa ISRAEL, eti mpaka sasa ni zaidi ya mwezi wanaogopa kulipa kisasi.
Mwanzo walikuwa na mbwembwe sana, lakini sasa wamelowa chepechepe. Ayatollah sijui anahofia nini yani ukiangalia uso wake anaona mauzauza tu midomo yake inatetemeka.
Mimi nadhani wanamleti dauni Allah. Akiona walivyo nyong'onyea anajisikia vibaya sana, yani wamezidiwa ujasiri na nyuzi za Ritz
Kweli ipo misikiti imefungwa tuwe wa wakweli tukitaka kusema ukweli na kuisaidia jamiii tuseme kweli Dini zisitufanye tuwe Waji nga.,Ni kweli Rwanda walifunga ila siyo makanisa pekee, ni pamoja ni misikiti
Asante mkuu kwa ufafanuzi.Huo mkoa unaitwa Xinjiang.
Wanapewa kibano kikali mno na serikali ya China.
Hata uzazi wanafungwa ili wasiendelee kuzaliana...
👇
The Chinese government has reportedly arbitrarily detained more than a million Muslims in reeducation camps.
Most of the people who have been detained are Uyghur Muslims, a predominantly Turkic-speaking ethnic group primarily in China’s northwestern region of Xinjiang.
Beyond the detentions, Uyghurs in the region have been subjected to intense surveillance, forced labor, and involuntary sterilizations, among other rights abuses.
The United States and several other foreign governments have described China’s actions in Xinjiang as genocide, while the UN human rights office said that the violations could constitute crimes against humanity...