Stor za jaba hiz mkuuKuna taarifa zinasikika kuhusu Iran kwamba wamewapa muda marekani kuondoka hapo walipoweka wao kizuizi la sivyo wataamua kujenga ukuta wa zege kabisa ili iwe kazi kubwa kuufungua hata kama majadiliano yataisha kwa amani
View attachment 3578356View attachment 3578356
Tusidanganyane,Hormuz kunapita sio tu mafuta bali pia gesi na bidhaa zingine za viwandani. Je utajenga mabomba mangapi ya kusafirisha gesi na mafuta??Bado kuna njia za kutosha hasa mabomba ya Eastwest ya Saudi Arabia na n.k kupitia sham ,kifupi so far Irani ndio anaumia maana USA sasa anauza mafuta yake ya alaska, lusiana na Texas 😄 ,
USSR
Hizo njia kabla zilikua na ukuta wa zege amaBado kuna njia za kutosha hasa mabomba ya Eastwest ya Saudi Arabia na n.k kupitia sham ,kifupi so far Irani ndio anaumia maana USA sasa anauza mafuta yake ya alaska, lusiana na Texas 😄 ,
USSR
Mdau kuna coment ukisoma utagundua kwanini ccm mpaka leo bado ipo madarakaniTusidanganyane,Hormuz kunapita sio tu mafuta bali pia gesi na bidhaa zingine za viwandani. Je utajenga mabomba mangapi ya kusafirisha gesi na mafuta??
Vipi kuhusu meli za makontena nayo makontena yatajengewa pipeline!??
-Mafuta anayouza USA hayawafikii walenga,yangekua yanawafikia walengwa bei ya nishati Western Europe isingepanda bro tusipende kudanganyana.
Iran iko vile vile siku zote,mafuta yake bado anauza kwa China ambaye ni mteja wake mkubwa. Mahitaji mengine muhimu anayapata kupitia CASPIAN SEA.
Ndio maana unamuona hababaiki na kuufungua ama kuufunga mlango wa hormuz.
Ukisema hababaishwi na kufungwa kwa Strait of Hormuz utakuwa unasema uongo kabisa kwa sababu Iran toka afungiwe mafuta yake kupita hapo ndiyo amekuwa akilalamika sana na kudai kufunguliwa kwa hiyo njia kama sharti muhimu la kushiriki kwenye mazungumuzo nchini Pakistan.Tusidanganyane,Hormuz kunapita sio tu mafuta bali pia gesi na bidhaa zingine za viwandani. Je utajenga mabomba mangapi ya kusafirisha gesi na mafuta??