Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Hilo liuaji liuwawe tu na lenyewe.Mkuu Iran sio wanyonge wanamtafuta ila hajaingia tu kwenye 18 zao. Kama utakumbuka katikati ya wiki hii zilisambaa tetesi kwamba Netanyahu ameliwa kichwa kumbe walimkosa.
Tatizo wanajiona wao ni bora kuliko majirani zao wakati si kweliTatizo wakimuua hawa jamaa wanaweza tumia hata nuclear kuisambaratisha Tehran!! Yaani wayahudi kukuua ni halali ila ukiwagusa wao wanapeleka nguvu zote hapo na kupata justification ya kutumia silaha za maangamizi.
Hii dunia imejaa uonevu sana.
Hathubutu kwasababu anajua atalipa gharama kubwa sana hata kama atashinda hiyo vita.Marekani anaweza tu kupigana na kobazi,lakini mwambie aende kwneye uwanja wa vita na vidume kina Kim uone kama hataufyata.!
Hawana uwezo huoKama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao?
Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku wakisingizia kitisho cha Iran kwa usalama wa eneo zima la mashariki ya kati.
Ili heshima iwepo, Netanyau lazima awe ni main target mass 24 siku 7 za wiki.
Ni wakati wa Iran kuboresha intelijensia yao ikibidi hata kwa msaada wa marafiki zake kama Urusi na China.
Israeli na Marekani ni waonevu na wauaji wakubwa wa maelefu ya watu waio na hatia kwa miaka mingi hasa Marekani..
Marekani hathubutu kuvamia mataifa yenye uwezo wa kugusa ardhi yake, ila kuua raia wa mataifa mengine haoni shiida kabisa na wajinga wanawashangilia.
Kwahiyo wewe na ndevu zako unaamini vita inapiganywa tu ukijiskia,huyo irani vita aliitaka siku nyingi hatumaye kaipata.Marekani anaweza tu kupigana na kobazi,lakini mwambie aende kwneye uwanja wa vita na vidume kina Kim uone kama hataufyata.!
Bila kufanya hivyoTatizo wakimuua hawa jamaa wanaweza tumia hata nuclear kuisambaratisha Tehran!! Yaani wayahudi kukuua ni halali ila ukiwagusa wao wanapeleka nguvu zote hapo na kupata justification ya kutumia silaha za maangamizi.
Hii dunia imejaa uonevu sana.
Neta anatamba tuu kitaaKama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao?
Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku wakisingizia kitisho cha Iran kwa usalama wa eneo zima la mashariki ya kati.
Ili heshima iwepo, Netanyau lazima awe ni main target mass 24 siku 7 za wiki.
Ni wakati wa Iran kuboresha intelijensia yao ikibidi hata kwa msaada wa marafiki zake kama Urusi na China.
Israeli na Marekani ni waonevu na wauaji wakubwa wa maelefu ya watu waio na hatia kwa miaka mingi hasa Marekani..
Marekani hathubutu kuvamia mataifa yenye uwezo wa kugusa ardhi yake, ila kuua raia wa mataifa mengine haoni shiida kabisa na wajinga wanawashangilia.
Leo mmehamia kwa Kim sio,nae tutamfikia tuu.Marekani anaweza tu kupigana na kobazi,lakini mwambie aende kwneye uwanja wa vita na vidume kina Kim uone kama hataufyata.!
Hawajataka tu, mbona Pakistan ina nuclear na ina support palestina. Wangetaka wangeshairusha tel aviv kazi ingeisha hapo.Bila kufanya hivyo
Waarabu wangeshafuta Israel
Hamuwezi sababu ya nuclear, hta Pakistan umewahi ona Israel anaigusaLeo mmehamia kwa Kim sio,nae tutamfikia tuu.
Acha uongo, hivi hujui Rais wa Syria ni Al qaeda branch ya Syria yaani HTS/Al Nusra ila alikua sponsored na Netanyahu/USA ili kumpindua Assad!!usije kushangaa hata mauaji ya 10/29 yana mkono wa islamic republic na caspian ltd, attack ya mwaka 98 ubalozi wa US islamic republic ilihusika na akina hamza, hata ugaidi unaoendelea kusini mwa nchi yetu ambao mara nyingi ulifichwa unaweza kukuta wana mkono wao.
kwa kifupi ni evil regime na ayatola ni alikuwa criminal, alinyonga wairani wengi sana ambao walitaka Ug …
Acha uongo, hivi hujui Rais wa Syria ni Al qaeda branch ya Syria yaani HTS/Al Nusra ila alikua sponsored na Netanyahu/USA ili kumpindua Assad!!
Hapo Una maoni gani? Nani mfadhili wa magaidi? Huko drc vipi kuna Iran? Sudan kwenyewe Israel support RSF.
Mapunga mnaziogopa ndevu! Lakini si Huwa zinawatekenya shingoni tukiwa tunawap////hila, naona hata mwenzio Echolima1 anaogopa ndevu wakati zinamtekenya muterCone.Kwahiyo wewe na ndevu zako unaamini vita inapiganywa tu ukijiskia,huyo irani vita aliitaka siku nyingi hatumaye kaipata.
Na huu ndio mwisho wake.