Netanyahu yupo kwenye mapango kachokoza MOTO sasa hata njia ya kukimbia haipo!!!!!!Kama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao?
Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku wakisingizia kitisho cha Iran kwa usalama wa eneo zima la mashariki ya kati.
Ili heshima iwepo, Netanyau lazima awe ni main target mass 24 siku 7 za wiki.
Ni wakati wa Iran kuboresha intelijensia yao ikibidi hata kwa msaada wa marafiki zake kama Urusi na China.
Israeli na Marekani ni waonevu na wauaji wakubwa wa maelefu ya watu waio na hatia kwa miaka mingi hasa Marekani..
Marekani hathubutu kuvamia mataifa yenye uwezo wa kugusa ardhi yake, ila kuua raia wa mataifa mengine haoni shiida kabisa na wajinga wanawashangilia.
Ana masikio kama popo!Netanyahu yupo kwenye mapango kachokoza MOTO sasa hata njia ya kukimbia haipo!!!!!!
Siku za kuishi zimebaki chache ngoja tuoneAna masikio kama popo!
Ukiona mtu kaanza kuandika matusi basi jua hakuna kitu hapo au kaishiwa hoja. Dini ya mudi ni shida sana.Mapunga mnaziogopa ndevu! Lakini si Huwa zinawatekenya shingoni tukiwa tunawap////hila, naona hata mwenzio Echolima1 anaogopa ndevu wakati zinamtekenya muterCone.
Tatizo wakimuua hawa jamaa wanaweza tumia hata nuclear kuisambaratisha Tehran!! Yaani wayahudi kukuua ni halali ila ukiwagusa wao wanapeleka nguvu zote hapo na kupata justification ya kutumia silaha za maangamizi.
Hii dunia imejaa uonevu sana.
yuko marekan mda mrefuKama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao?
Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku wakisingizia kitisho cha Iran kwa usalama wa eneo zima la mashariki ya kati.
Ili heshima iwepo, Netanyau lazima awe ni main target mass 24 siku 7 za wiki.
Ni wakati wa Iran kuboresha intelijensia yao ikibidi hata kwa msaada wa marafiki zake kama Urusi na China.
Israeli na Marekani ni waonevu na wauaji wakubwa wa maelefu ya watu waio na hatia kwa miaka mingi hasa Marekani..
Marekani hathubutu kuvamia mataifa yenye uwezo wa kugusa ardhi yake, ila kuua raia wa mataifa mengine haoni shiida kabisa na wajinga wanawashangilia.
Si unakumbuka ukisema humu Ayatollah siyo Maduro?Mkuu Iran sio wanyonge wanamtafuta ila hajaingia tu kwenye 18 zao. Kama utakumbuka katikati ya wiki hii zilisambaa tetesi kwamba Netanyahu ameliwa kichwa kumbe walimkosa.
Mnakumbukaga humu kabla 2023 mkisema Marekani na Israel wathubutu kutia pua Iran waone.Marekani anaweza tu kupigana na kobazi,lakini mwambie aende kwneye uwanja wa vita na vidume kina Kim uone kama hataufyata.!
Kama hawa hapoMapunga mnaziogopa ndevu! Lakini si Huwa zinawatekenya shingoni tukiwa tunawap////hila, naona hata mwenzio Echolima1 anaogopa ndevu wakati zinamtekenya muterCone.
Duuh...! Siwawezi maproo. Mara mlisema Saadam Husein. Mkaja hatamuweza Gadaff. Iran ndio mlimsifia sana sana kwamba akijaribu tu kuigusa Iran atakipata cha moto. Watu tukaingia cha kike kuwaelewa maproo. Lakini ajabu siku ya kwanza tu kachomolewa kama njiwa.Marekani anaweza tu kupigana na kobazi,lakini mwambie aende kwneye uwanja wa vita na vidume kina Kim uone kama hataufyata.!
We hujui Pakistan ni mashirika wa USA. Sasa mshirika wa US anaanzaje kupigana na Israel?Hamuwezi sababu ya nuclear, hta Pakistan umewahi ona Israel anaigusa
Majini yapi tena? tatizo akili yako ya kijinga ya kudhani kila pro Iran ni muislam. We ni zaidi ya kichaa.Si huwa mnajinasibu kama watu wa majini, mbona hayo majini yenu yasiwasaidie kumuua hehehe huwa mnachekesha sana, na atatembeza kichapo mpaka mtakoma.
Doesn't matter, Pakistan anaitambua Palestina na anaipatia silaha Hamas. Ila hauwezi sikia Israel ikinyanyua mdomo sababu inaogopa nuclear bomb zake. Hata Iran angekua ametengeneza hao wasingemsogelea.We hujui Pakistan ni mashirika wa USA. Sasa mshirika wa US anaanzaje kupigana na Israel?
Au umeisahau ile kwanini isemayo "Rafiki wa rafiki yako, naye ni rafiki yako"?
Kwani utawala wa Ayatollah umeanguka? Maana objective ndio ilikua hiyo. Unadhani kupambana na nchi karibu 10 nani angeweza zaidi ya Iran? Israel ingekua ndio inapambana na nchi 10 plus Nato ingekuaje? Iran ni resilient sana kuliko nchi nyingi hapa dunianiIran ndio mlimsifia sana sana kwamba akijaribu tu kuigusa Iran atakipata cha moto. Watu tukaingia cha kike kuwaelewa maproo. Lakini ajabu siku ya kwanza tu kachomolewa kama njiwa.
Kama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao?
Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku wakisingizia kitisho cha Iran kwa usalama wa eneo zima la mashariki ya kati.
Ili heshima iwepo, Netanyau lazima awe ni main target mass 24 siku 7 za wiki.
Ni wakati wa Iran kuboresha intelijensia yao ikibidi hata kwa msaada wa marafiki zake kama Urusi na China.
Israeli na Marekani ni waonevu na wauaji wakubwa wa maelefu ya watu waio na hatia kwa miaka mingi hasa Marekani..
Marekani hathubutu kuvamia mataifa yenye uwezo wa kugusa ardhi yake, ila kuua raia wa mataifa mengine haoni shiida kabisa na wajinga wanawashangilia.
Hujificha Crete huko ugirikiKama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao?
Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku wakisingizia kitisho cha Iran kwa usalama wa eneo zima la mashariki ya kati.
Ili heshima iwepo, Netanyau lazima awe ni main target mass 24 siku 7 za wiki.
Ni wakati wa Iran kuboresha intelijensia yao ikibidi hata kwa msaada wa marafiki zake kama Urusi na China.
Israeli na Marekani ni waonevu na wauaji wakubwa wa maelefu ya watu waio na hatia kwa miaka mingi hasa Marekani..
Marekani hathubutu kuvamia mataifa yenye uwezo wa kugusa ardhi yake, ila kuua raia wa mataifa mengine haoni shiida kabisa na wajinga wanawashangilia.
Iran mwamba hasa, Israel peke yake hamuwezi Iran, Israel mtoto sana kwa IranKwani utawala wa Ayatollah umeanguka? Maana objective ndio ilikua hiyo. Unadhani kupambana na nchi karibu 10 nani angeweza zaidi ya Iran? Israel ingekua ndio inapambana na nchi 10 plus Nato ingekuaje? Iran ni resilient sana kuliko nchi nyingi hapa duniani