Iran wanashindwa nini kulipiza kisasi kwa kumuua Netanyau?

Hakuna raia wa Israel anayeweza kukubali kutumikia magaidi eti amuue kiongozi wake, hilo halipo kabisa na mtasubiri sana hilo.

Lakini kwa Iran inasubiriwa tu imalize kumchagua kiongozi mkuu mpya halafu kazi irudiwe maanake hamna namna na hili Iran imeshaambiwa kabisa.

Kwa hiyo Iran kwa sasa ambacho wangekifanya ni kuandaa msururu wa viongozi wakuu hata 10 ili moja anapoliwa kichwa mwingine anachukua nafasi mara moja.
 
Unadhani ni rahis kiasi hiko? Wameshajaribu sana bila mafanikio
 
Na mauwaji ya Wazanzibari 1964 na 2001 , 2020 yana mkono wako ?
 
Marekani anaweza tu kupigana na kobazi,lakini mwambie aende kwneye uwanja wa vita na vidume kina Kim uone kama hataufyata.!
Tangu lini Iran amekuwa dhaifu?

Binadamu ni wasahaulifu na waongo sana, hivi majuzi tu mliaminisha watu eti US hawezi kuigusa Iran maana atachezea kichapo cha hali ya juu

Kiko wapi?

Kwa hali hii, hata hiyo Kim atachapika tu
 
Kulenga airport au uwanja wa mpira na kumuua rais wa nchi ni vitu viwili tofauti sana. Unadhani Iran kwa sasa ina uwezo hata wa kurusha ndege kwenye anga yake yenyewe? Unavyoona ndege za Israel zinazunguka anga la Iran, kulenga targets zao na kurudi salama kama wanatoka dukani kwa Mangi there you should know the difference.
Iran should now focus on more precision targeting of high-value targets kama wanavyofanya hao wanaopambana nao, Israel na US zina advantage ya air superiority lakini hata Iran wakitumia vizuri intelligence information wanazopokea kutaka kwenye radar za Russia kwa kutumia hayohayo makombora na drones wanaweza kulenga kila wanachopaswa kukilenga. Reliable media(according to the Western standards) zinadai Iran mpaka sasa imeshambulia zaidi UAE kuliko ilivyoshambulia Israel and if this is true then hapo hakuna wanachokifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…