Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Marekani bado hajafikia lengo hata kidogo wanachohitaji ni Kuondoa Legency ya Ayatollah na kupandikiza Muisrael kwa mgongo wa Demokrasia.
Bado Viongozi wa Iran wataendelea kuwindwa kwa namna yeyote.
Kilichofanywa ni kupunguza kipigo cha Muiran coz Israel hali ni mbaya sana kama ilivyo kwa muirani but kwa bahati mbaya Israel alijua atakuta slope kama Gaza.