Iran wanatakiwa kuwa alert kwa hii Casefire mda wowote kiongozi mkuu anawindwa

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Marekani bado hajafikia lengo hata kidogo wanachohitaji ni Kuondoa Legency ya Ayatollah na kupandikiza Muisrael kwa mgongo wa Demokrasia.

Bado Viongozi wa Iran wataendelea kuwindwa kwa namna yeyote.

Kilichofanywa ni kupunguza kipigo cha Muiran coz Israel hali ni mbaya sana kama ilivyo kwa muirani but kwa bahati mbaya Israel alijua atakuta slope kama Gaza.
 
Kwamba vinu havijafumuliwa sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…