Iran: Watu 36 wajeruhiwa katika maandamano kupinga kifo cha mwanamke ambaye alishikiliwa na polisi kwa kutositiri kichwa

Hao walioandamana siwamepewa kichapo!Safi sana.Na wewe kama imekuuma nenda Iran ukaungane na maandamano upasuliwe kichwa.Iran ni nchi ya kiislamu na katiba yake imezingatia dini,ukienda kinyume utashughulikiwa tu.
Mbona huku kwetu wake zenu hua hawavai
 
Mataifa yanayoongozwa kidini huwa kama mazombi vile, mwanamke anauawa kisa tu hakufunika kichwa, watu wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kupinga mauaji hayo.

======

At least 36 people have been injured in the Kurdistan Region of Iran, in the northwest of the country, during protests sparked by the death of a Kurdish woman, Mahsa Amini, who died shortly after being arrested in Tehran for not wearing the Islamic headscarf or hijab properly.

The director of the Hengaw Human Rights Organization, Arsalan Yarahmedi, reported the number of wounded in declarations to the Kurdish-Iraqi television Rudaw and explained that five of the injured "are in critical condition and need surgery". These are individuals injured in Saghez, Amini's hometown, who have been hospitalized in Tabriz.

Hengaw, an organization dedicated to documenting human rights violations in the Kurdish region of Iran using local sources, has warned that some of the injured have not gone to health centers for fear of being arrested for participating in the protests.

Kurdish opposition parties have called a general strike for Monday in Rojhelat, eastern or Iranian Kurdistan, to protest Amini's death.

Amini was buried on Saturday in her home town of Aychi in the Saghez region of Iranian Kurdistan, and the event turned into a protest rally that was broken up by police using tear gas.

On the same day, protests were held in Sanandaj with slogans such as "Death to the dictator!" or "Death to Khamenei!", in reference to the supreme leader of the Islamic Republic, Ayatollah Ali Khamenei, according to the Saudi channel Al Arabiya.

The demonstrators also tore down a poster in memory of Qasem Soleimani, a senior Iranian Revolutionary Guards commander killed in Iraq in a U.S. attack, according to videos posted on social networks.

"Saghez is not alone!" they have also shouted in reference to Amini's home region. In that locality on Friday there were mobilizations and some women removed the hijab as a gesture of protest.

Uislamu ndio dini pekee ambayo Mungu ametuchagulia na kutupa miongozo ya namna ya kuishi hapa ulimwenguni, na kila jambo lipo katika kitabu kitakatifu.,

Unapoona baadhi ya dini hazina fatwa juu ya namna mwanadamu anavyohitaji kuishi hapa ulimwenguni juwa kuna walakini kwenye hiyo dini., fuatilia hata picha zinazoshabihishwa na mama Maryam mama yake yesu utakuta amevaa hijab, kaa na jiulize japo kwa dakika moja ni kwanini alivaa hijabu?
 
uislamu ungekua pekee humu duniani tungekua tumechinjana na kumalizana maana mnaishi kizombi zombi kuuana na kulipuana mabomu, nashukuru sana mataifa kama China yamewapumulia na kuhakikisha hampeleki huo uzombi wenu huko.
Hata huyu Putin mnayemuabudu siku hizi, huwa amewapiga pini sana kwake huko Urusi, huwa namkubali sana sema kapoteza step kwenye uvamizi wake wa Ukraine.
 
Kuna shida mahali Acha tu nikae kimya.
Shida ni kurudi kwa muumba na kuitambua dini sahihi ni ipi na miongozo yake ni ipi, uislamu ni dini nyepesi sana., kuishi unavyotaka na kujiona uko salama kwa kila jambo lazima utakuwa na shida mahali, tafakari.! huu ulimwengu si wa kwetu tunakuja na kuondoka jiulize itakuwaje maisha baada ya hapa ulimwenguni yatakuwaje?
 
Mi hata ningezaliwa Islamic ningebadili dini tu huu ni ujinga wa kiwango cha lami ...mwache mtu akahukumiwe huko kulingana na sheria ya mungu mwenyewe
 
Shida ni kurudi kwa muumba na kuitambua dini sahihi ni ipi na miongozo yake ni ipi, uislamu ni dini nyepesi sana., kuishi unavyotaka na kujiona uko salama kwa kila jambo lazima utakuwa na shida mahali, tafakari.! huu ulimwengu si wa kwetu tunakuja na kuondoka jiulize itakuwaje maisha baada ya hapa ulimwenguni yatakuwaje?
hilo halikuuhusu mpe mafundisho akikaidi mwache mambo ya kuuwana yanatoka wapiii sasa kuna mahali umeagizwa mtu akikosea umuuwe??
 
Leo napita tu..ila wa vaa kobazi mjitahtimini..hakuna mwenye haki duniani...ukute hao mapolisi walio muua niwatindua mitaro wakuu.

Hukumu ni juu ya Mungu pekee sio mwanadamu likija suala ka kiimani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Uislamu ulitambulishwa rasmi miaka 600 baada ya Ukristo na huku Uislamu ukiwa 0% ya watu duniani dhidi ya Ukristo.Leo hii Uislamu umeukaribia kwa karibu sana Ukristo.
Kifupi kusema kwenu ndiyo kuutangaza zaidi Uislamu na kuufanya uzidi kukua zaidi.
Lakini mjue mnahangaika bure kwa ujinga wenu hakuna dini itakayomuingiza mtu mbinguni, hizi dini ni za hapa hapa duniani.

Sasa unasema leo waislamu ni wengi wakati unasahau kwamba ni dini ambayo eti ukishaingia hauruhusiwi kutoka na ukitaka kutoka unakabiliwa na kifo sasa hiyo ni dini gani, bure kabisa.
 
Shida ni kurudi kwa muumba na kuitambua dini sahihi ni ipi na miongozo yake ni ipi, uislamu ni dini nyepesi sana., kuishi unavyotaka na kujiona uko salama kwa kila jambo lazima utakuwa na shida mahali, tafakari.! huu ulimwengu si wa kwetu tunakuja na kuondoka jiulize itakuwaje maisha baada ya hapa ulimwenguni yatakuwaje?
Sasa kama mnajua hivyo kwanini mnaua wengine. Naami sisi sote hua ni watenda dhambi kila siku hata wewe hapo ulipo ni mtenda dhambi kila siku. Na ndo maana una swali Sala 5 kwa siku. Iweje umhukumu mwingne ili hali na wewe mdhambi kila siku
 
Halafu utasikia kwa matamshi wanasema Dini ya Kh'aki inajali na kuheshimu haki za mwanamke!!! Ila kwa dunia ilikofikia hawawezi kuendelea na mfumo dume wa medieval period, dunia sasa hivi ni kijiji watatafuta haki zao kwa nguvu na kuwazuia ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mikono. Dini ya KHA'KI dini ya AMAN
 
Sasa kama mnajua hivyo kwanini mnaua wengine. Naami sisi sote hua ni watenda dhambi kila siku hata wewe hapo ulipo ni mtenda dhambi kila siku. Na ndo maana una swali Sala 5 kwa siku. Iweje umhukumu mwingne ili hali na wewe mdhambi kila siku
Mkuu sharia za kiislamu hazikutungwa Beijing China wala kutoka Ulaya na Marekani ni hukumu zilizoletwa na mwenyewe Mungu kwenye kitabu chake kitakatifu Qur-an, kwaiyo zile nchi zilizokubali kusimamisha dola ya kiislamu hazina budi kutekeleza tu.,
 
Uislamu ulitambulishwa rasmi miaka 600 baada ya Ukristo na huku Uislamu ukiwa 0% ya watu duniani dhidi ya Ukristo.Leo hii Uislamu umeukaribia kwa karibu sana Ukristo.
Kifupi kusema kwenu ndiyo kuutangaza zaidi Uislamu na kuufanya uzidi kukua zaidi.
Wingi wa nyumbu kwenye hifadhi hakuwafanyi kuwa wafalme wa mwitu.
 
Mataifa yanayoongozwa kidini huwa kama mazombi vile, mwanamke anauawa kisa tu hakufunika kichwa, watu wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kupinga mauaji hayo.

======

At least 36 people have been injured in the Kurdistan Region of Iran, in the northwest of the country, during protests sparked by the death of a Kurdish woman, Mahsa Amini, who died shortly after being arrested in Tehran for not wearing the Islamic headscarf or hijab properly.

The director of the Hengaw Human Rights Organization, Arsalan Yarahmedi, reported the number of wounded in declarations to the Kurdish-Iraqi television Rudaw and explained that five of the injured "are in critical condition and need surgery". These are individuals injured in Saghez, Amini's hometown, who have been hospitalized in Tabriz.

Hengaw, an organization dedicated to documenting human rights violations in the Kurdish region of Iran using local sources, has warned that some of the injured have not gone to health centers for fear of being arrested for participating in the protests.

Kurdish opposition parties have called a general strike for Monday in Rojhelat, eastern or Iranian Kurdistan, to protest Amini's death.

Amini was buried on Saturday in her home town of Aychi in the Saghez region of Iranian Kurdistan, and the event turned into a protest rally that was broken up by police using tear gas.

On the same day, protests were held in Sanandaj with slogans such as "Death to the dictator!" or "Death to Khamenei!", in reference to the supreme leader of the Islamic Republic, Ayatollah Ali Khamenei, according to the Saudi channel Al Arabiya.

The demonstrators also tore down a poster in memory of Qasem Soleimani, a senior Iranian Revolutionary Guards commander killed in Iraq in a U.S. attack, according to videos posted on social networks.

"Saghez is not alone!" they have also shouted in reference to Amini's home region. In that locality on Friday there were mobilizations and some women removed the hijab as a gesture of protest.

Huko roma papa amebariki ushoga nenda kaolewe!
 
Uislamu ulitambulishwa rasmi miaka 600 baada ya Ukristo na huku Uislamu ukiwa 0% ya watu duniani dhidi ya Ukristo
Weka wazi uislamu ulitambulishwa rasmi lini? kuna waislamu wanasema ulitambulishwa toka Adamu kuumbwa na kuna vitabu vya kiislamu kabla ya Muhammad vilikuwepo na vilikuwa vinatumiwa na waislamu , Kuna kitabu cha Muislamu Musa, Isa, Daudi n.k (ila hakuna ata verse moja ya ivyo vitabu imebaki)
 
Back
Top Bottom