Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

Adui yetu kachapwa kachakaaa kidomodomo kwishaaaa miji yao kwasasa tumeigeuza kuwa Gaza Binafsi sina Deni kwa Iran kila nikipitia picha za haifa Telaviv haaaaaaaaa Iran mwambaaaa.
 
 

Attachments

  • 20250616_140453.jpg
    218.4 KB · Views: 24
  • 20250616_003759.jpg
    390.7 KB · Views: 23
⚡️Iranian Revolutionary Guards:

Urgent warning to Tel Aviv residents: We advise you to leave this city immediately for your safety and security - and never return to it.
 
Israel imefanya jambo la kijinga Sana kushambulia Iran kipindi hiki ambapo hata baba yake anaiogopa Iran
Uzuri muda si mrefu majibu yatapatikana, kuna mmoja anajipigia tu makombora bila kuathiri uwezo wala kuua makamanda, Mwingine anapiga kwa malengo na kimkakati, kwanza kaua waongoza vita tegemezi, kisha kaua mfumo wa kulinda anga, sasa anashambulia mifumo inayorusha makombora
 
🚨🇮🇱🇮🇷IRAN ILI KUHAMISHA MBINU: MAKOMBORA MACHACHE, ATISHA ZAIDI

Iran inaripotiwa kupanga kufanya mashambulizi ya pekee ya makombora dhidi ya Israel siku nzima.

Lengo ni kuchochea maonyo ya mara kwa mara na kusababisha usumbufu mkubwa kwa maisha ya kila siku.

Israel inatarajia arifa zaidi kwa kutumia roketi chache, na hivyo kupunguza uwezo wake wa kutoa onyo la hali ya juu kuhusu mashambulizi yanayokaribia.

Chanzo: @BittonRosen
 
Siku zote majibu ya Iran ni dhaifu sana. Viongozi wao wakubwa wanauawa , pia vituo vyao muhimu vya kijeshi vinalipuliwa halafu eti wao ni kurusha vi drones tu basi na kutoa matamko ya mikwala.
Kitu ambacho wewe haukijui ni kuwa alichokifanya Israel kuuwa viongozi wa Iran ni kosa Sheria za mizozo na vita za UN zinakata hilo so Iran yeye anafuata Sheria za vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…