Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

Ikifika mwisho mtuambie makamanda wangapi na wanasayansi wangapi wa israel wameuawawa
 
Drones 100 zilizokuwa zinaendankushambulia Israel zote zimepopolewa. IDF ilikuwa imejiandaa kikamilifu kupambana na mfadhili wa magaidi huko Mashariki ya kati.
 
Ayatola ameishiwa misamiati ya mikwara sasa...
Ayatollah naye kaponea chupuchupu maana naye ana KAMDOMO alikuwa Ana gamba sana kuwa Israel ikiishambulia Iran Basi ataifuta Tel Aviv na Jaffa!!! Sasa kabigwa na yeye mwenyewe MOSSAD wanamtafuta wamnyoe ndevu zake!!!
 

Attachments

  • โšก๏ธKhamenei_in_a_previous_speech_%22If_Israel_makes_the_mistake_of.mp4
    2.4 MB
Ballistic missile hutumia chini ya dakika 20 kufika Israel
 
๐Ÿšจ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ MITAA ILIYO TUPU NCHINI ISRAEL KAMA WANANCHI WALIAMBIWA WAJIANDAE KWA WIKI 2.

Miji mikubwa kote Israeli imeachwa asubuhi hii baada ya viongozi kuwaonya wakaazi kukaa nyumbani.

Raia walihimizwa kuweka akiba ya chakula na vifaa kwa angalau wiki mbili huku kukiwa na hofu ya kuongezeka zaidi kwa Iran.

Chanzo: Al Jazeera
 
Ayatollah ndiyo huyo mdogo mdogo anaondoka hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ