Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

Kwa mtindo huu iran hatokaa aiweze Israel, yani kombora limetumwa tangu asubuhi mpk jioni halijafika kwa adui 🤣
 
Iran imekanusha hili, bado Ngoma mbichi makombora yanaandaliwa
 
God Bless Iran

zimetumwa kwanza drones kama decoys alafu zile 1000 Fatahs zinakuja
Umeshawahi kuona ngumi za watu wawili, mmoja anapiga kwa target, ana target sehem za hatari, kichwa, mapumbu, tumbo, kidevu, masikio, ila mwingine linarusha ngumi na mateke ovyo ...pigo.moja tu limeondoa magaidi wakuu wanne ...Bado tunawinda kichwa Cha KHUMANEI
 
Iran hamuwezi Israel katika vita vya anga labda vya ardhini. Ingekuwa wamepakana myahudi angekuwa ameshanyolewa bila maji lakini kwa umbali uliopo ambapo unatakiwa umpige mwenzio kwa kuruka juu Iran lazima ateme bungo.
Kumbuka Iran ana makombora ambayo Israel hawezi kuyazuia.
Au mshasahau Oktoba mosi kilitokea nini?
Pia Israel hilo shambulizi hajafanya peke yake Kuna wakubwa nyuma kamwe Israel hawezi kupanga lile shambulizi peke yake .
 
We nawe hakuna siku ulipost Cha maana .
 
We nawe hakuna siku ulipost Cha maana .
Vipi unaumia ukiwa wapi...tulia sawa iingie. Dunia inatakiwa kua sehem salama ya kuishi, hatutaki magaidi na silaha za kuhatarisha usalama wa Dunia. Bado nataka kichwa Cha Khumanei
 
Kwa mtindo huu iran hatokaa aiweze Israel, yani kombora limetumwa tangu asubuhi mpk jioni halijafika kwa adui 🤣
Iran imekanusha hiyo taarifa.
Na inasemekana hakutuma kombora bali drone.
 
Iran hamuwezi Israel katika vita vya anga labda vya ardhini. Ingekuwa wamepakana myahudi angekuwa ameshanyolewa bila maji lakini kwa umbali uliopo ambapo unatakiwa umpige mwenzio kwa kuruka juu Iran lazima ateme bungo.
Iran hamna kitu pale ni vile tu majini yakishawapanda basi hujiona wana nguvu.
Na wafuasi wake hapa JF wakishapandisha majini utakuta wanaisifia Iran as if ina uwezo huo wa kuipiga Israel
 
Huyuu dogo udini unamsumbua. CDF Anauliwa ndani ya nchi yako ni aibuu na udhalilishaji mkubwa kwa nchi na taifa kwa ujumla.
 
Kumbuka Iran ana makombora ambayo Israel hawezi kuyazuia.
Au mshasahau Oktoba mosi kilitokea nini?
Pia Israel hilo shambulizi hajafanya peke yake Kuna wakubwa nyuma kamwe Israel hawezi kupanga lile shambulizi peke yake .
Wacha weeeeee jipe moyo mkuu
 
Bro we nishaachaga kuku quote maana utaanza u psychopath sasa hivi huchelewi.👋
Pole sana maana kwa kipondo cha leo na kwa maumivu uliyopata kwa Iran kudundwa lazima sukari, presha zitakuwa juu sana muda huu.
 
PLUMES OF SMOKE RISING IN TEL AVIV AFTER BARRAGE OF MISSILES TARGETED CENTRAL ISRAEL
 
Naona unaongea fikra zako inaonekana ufahamu Iran endelea kufuatilia huu uzi utawajua Iran.

Mizogo imeinza kutua Israel.

Tel Aviv watu wote wamejificha kwenye mashimo kama Nguchiro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…