Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

ISRAEL inachapika na kiongozi wao Netanyahu yeye kawasha MOTO kisha kakimbia Moto nchini kwake !!!

anaulizia akiwa mbali vip kumetulia tunapigwa wapi zaid!!!!!
 
Western media hawatoi habari kamili ya casualties on Israel side. Wanapendelea Israel. Labda kama una access na North Korea TV. Israel wanakufa kama kuku
North korea haruhusiwi kuingiza waty wake israel sasa hizo tarifa sio za kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…