Iran yaanza kutorosha wanajeshi wake Syria, ni kubaya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Lakini wadau tusishabikie sana, ikumbukwe hao waasi pia ni makatili wa ile dini na wanaweza wakawa wabaya hata kuzidi wanaokimbia, yaani popote kwenye hiyo dini ni laana, mauaji, chuki na vifo jameni....na wote wanaamini wanafanya kwa ajili ya 'mungu' wao....
===================

Iran Begins to Evacuate Military Officials and Personnel From Syria​

The withdrawals by one of President Bashar al-Assad’s key backers come amid a resurgent rebel offensive.

Iran began to evacuate its military commanders and personnel from Syria on Friday, according to regional officials and three Iranian officials, in a sign of Iran’s inability to help keep President Bashar al-Assad in power as he faces a resurgent rebel offensive.

Among those evacuated to neighboring Iraq and Lebanon were top commanders of Iran’s powerful Quds Forces, the external branch of the Revolutionary Guards Corps, the officials said.
 
Hii ni matokeo ya vita Iran na Israel,baada ya kipigo ilichokipata 26 October toka Jeshi lsraeli

Baada ya kipigo hicho ambacho Irani ilijaribu kuficha lkn ukweli ilipigika vibaya kiasi Cha kutotaka vita tena na Myahudi,hata Ile ahadi yake ya promise three anatetemeka kuitimiza

Kipigo kile ndo kimepunguza kiburi cha Hesbolaha na kuifanya ikubali haraka masharti ya kutimiza kusitisha mapigano na Israeli likiwepo la kuzuiwa kuisaidia Hammas

Ayatollah saivi haelewi hatma yake anajifikiria mwenyewe hata kamsahau Asad

Urusi nayo mambo magumu nyumbani mpaka mjomba kiduku kaamua kumsaidia hivyo hamfikilii kumsaidia kwa dhati Asad

Saivi waasi wengine wanapigana kutokea kusini wapo km 10 Toka Damascus, mke wa Asad na baadhi ya watoto wake wamehemishiwa Mosco pia baadhi ya wanajeshi wa Syria na familia zao wanakimbilia Iraq

Asad Anashuliwa aondoke Syria akaanzishe Serika nje ya Syria

Pray for Syria😥😥
 
Si inasemwa ndege za Israeli hazikuthubutu kuingia Iran? Tena wanasema walirusha vikombora kutokea anga la Iraq? Na wanajiapiza vikombora vyote vya Israel vilikuwa intercepted? Hayo madhara ni yapi tena!
 
Pray for Syria[emoji26][emoji26]
Wanatumia njia ya kistaarabu ya kumwambia umeshindwa kimbia
 
Kwahiyo uturuki ndo ana nguvu kias hiki jamani au kuna nini hapo middle east
waasi wanaopiga sapoti na uturuki na ......... ndio wamefanya haya, ndio maana nilikuwa nashangaa mzayuni anakubali ceasefire kirahisi hivi, kumbe alikuwa anataka awaache vijana wa syria wamalize kazi ili silaha zisipite tena sryria kuja lebanon. kumtawala kobaz rahisi sana, watenganishe afu wape silaha, kila mmoja upande wake atadai anapigana jihad, na kila mmoja upande wake atasema anampigania allah, kwa hiyo allah is on both sides na anajipiga mwenyewe sijui?
 
Si inasemwa ndege za Israeli hazikuthubutu kuingia Iran? Tena wanasema walirusha vikombora kutokea anga la Iraq? Na wanajiapiza vikombora vyote vya Israel vilikuwa intercepted? Hayo madhara ni yapi tena!
Siyo ndege zote zilisalia Iraq,kina F 35 ziliingia Iran ila hawakiziona na ndo ziliwafanya mbaya,Iran wanajua vzr kilichotendeka lkn ndo hvo baba huezi Lia mbele ya familia inabidi ujitutumue

Matokeo ndo tunayaona wamajiweka kando na vita ya Hammas,promise lll inascrach
 
waasi wanaopiga sapoti na uturuki na ......... ndio wamefanya haya, ndio maana nilikuwa nashangaa mzayuni anakubali ceasefire kirahisi hivi, kumbe alikuwa anataka awaache vijana wa syria wamalize kazi ili silaha zisipite tena sryria kuja lebanon. kumtawala kobaz rahisi sana, watenganishe afu wape silaha, kila mmoja upande wake atadai anapigana jihad, na kila mmoja upande wake atasema anampigania allah, kwa hiyo allah is on both sides na anajipiga mwenyewe sijui?
Kumpinga au kupigana dhidi ya Israel ni mkosi, Falme nyingi zilianguka na kupotea kabisa kwa sababu tu zilipigana vita na uyahudi.
Mfano Babeli, Rumi na lugha yao ya kirumikirumi
Hata Irani atapoteana kimiujiza ujiza
 
Huo ukanda wote umeharibiwa na hiyo dini, na ndio dini imeharibu Somalia, Sudan na hata ilikua iharibu Msumbiji ila kidogo mumedhibitiwa.
Mumedhibitiwa na nani!??🤣😂 I am not Arab nor am I Muslim. And ukweli ni kuwa they are not all bad lakini ndio hivyo wakorofi ni wengi.
Hata Amerika imeharibika sana ndio maana mauaji ni mengi hasa ya watu weusi, wanapigwa risasi kama mbuzi na Askari ambao ndio wangetakiwa wawalinde.
So, tuseme ni duni pia imeharibu America!???🤷🤷🤷
Hii inatumika kama kigezo Cha kumuadhibu Muarabu . Bashar ana kosa Gani??? Maana Hadi Israel inamiliki eneo la milima ya Golan ndani ya Syria na Bado wanamuonea Syria....
 
Huy

o mleta mada ni mpumbavu tu kwahiyo utekaji na wewe mauaji ya Tanzania chanzo ni waislamu?
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Back
Top Bottom