Iran yaapa kujibu mapigo juu mauaji ya kiongozi wao mkuu Hassan

jjackline

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
111
Reaction score
274

Kwa mujibu wa Hamas, Haniyeh na mmoja wa walinzi wake waliuawa alfajiri ya jana Jumatano Julai 31, 2024 baada ya jengo walilokuwa wakiishi kuvamiwa na kushambuliwa.

Baada ya mauaji hayo ambayo Israel inanyooshewa kidole kuhusika ingawa haijakiri, tovuti ya Times of Israel imemnukuu Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei kuamuru shambulio la dhidi ya Israel.

Khamenei na maofisa wengine wa Iran wameapa kujibu mapigo japokuwa haijaelezwa ni lini watatekeleza mashambuzi hayo.
 
wakiristo wa JF mnachosha tena. furaha yenu hebu ificheni kidogo
 
Kwa mujibu wa Hamas, Haniyeh na mmoja wa walinzi wake waliuawa alfajiri ya jana Jumatano Julai 31, 2024 baada ya jengo walilokuwa wakiishi kuvamiwa na kushambuliwa.

Baada ya mauaji hayo ambayo Israel inanyooshewa kidole kuhusika ingawa haijakiri, tovuti ya Times of Israel imemnukuu Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei kuamuru shambulio la dhidi ya Israel.

Khamenei na maofisa wengine wa Iran wameapa kujibu mapigo japokuwa haijaelezwa ni lini watatekeleza mashambuzi hayo.
Mkuu mbona unaandika uongo, kwa taarifa yaks huyo kiongozi wa Hamas hakuvamiwa wala kushambuliwa na waty,aliuwawa kwa bomu giliotegwa chumbani mwaka miała miwili iliyopita, kosa alilolifanya mheshimiwa marehemu ni kawa anafikia sememu hoyo hoyo mara ajapo Tehrani, Mossad kwa kutumia waty wa niani wa mheshimiwa huto walipewa mpango wote, kwanza walitega mabomu hayo miaka mingi nyuma wakabaki kusubiri tu jamaa,arudi Iran na kwa kuwa walikuwa wanajua atafikia wapi kazi kawa rahisi, uboya aliofanya huyu jamaa ni kulala sehemu moja kila wakati,hicho chumba ambacho amelipuliwa ndicho chumba alikuwa analala kila mara akiwa kwenye jengo hilo, jamaa wamemua kwa kutumia remote wakiwa sebuleni wakila popcorn.
 
..huyu mpalestina kauwawa na serikali ya Iran.

..ulinzi aliokuwa akipewa ni sawa na ulinzi wa Mkuu wa nchi ambaye ni mgeni wa serikali ya Iran.

..katika mazingira hayo haiwezekani Israel wakamfikia na kumuua.

..hata wanavyosema aliwawa kwa bomu lililotegwa, Waisraeli walijuaje atafikia ktk nyumba walipotega bomu?

..Iran ndio wamehusika na mauaji haya.
 
Kiufupi hao Ayotollahs uwezo wao wa kupalmbana na Myahudi ndio umeishia hapo. Wangekuwa na cha zaidi cha kufanya dhidi ya taifa la Israel wangeshafanya. Kitambo, manake Israel ni adui yao wa muda wote. Hawa wavaa vipedo, misuli na makobazi, wanataka kujifanya wao ndio wamechokozwa na Israeli. Wakati wote tunajua kilichotokea, October, 7, mwaka jana. Israeli inachokifanya ni kama tu nchi yeyote ingeweza kufanya, kujilinda pamoja na kulipiza kisasi dhidi ya maadui zao🤔
 
Mkuu mbona unaandika uongo, kwa taarifa yaks huyo kiongozi wa Hamas hakuvamiwa wala kushambuliwa na waty,aliuwawa kwa bomu giliotegwa chumbani mwaka miała miwili iliyopita, kosa alilolifanya mheshimiwa marehemu ni kawa anafikia sememu hoyo hoyo mara ajapo Tehrani, Mossad kwa kutumia waty wa niani wa mheshimiwa huto walipewa mpango wote, kwanza walitega mabomu hayo miaka mingi nyuma wakabaki kusubiri tu jamaa,arudi Iran na kwa kuwa walikuwa wanajua atafikia wapi kazi kawa rahisi, uboya aliofanya huyu jamaa ni kulala sehemu moja kila wakati,hicho chumba ambacho amelipuliwa ndicho chumba alikuwa analala kila mara akiwa kwenye jengo hilo, jamaa wamemua kwa kutumia remote wakiwa sebuleni wakila popcorn.
Bomu ilipandikizwa miezi miwili nyuma na sio miaka miwili nyuma, fanya sahihisho.
 
Back
Top Bottom