Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi yake!

Ayatola kaivuruga Yemen kaivuruga Iraq kaivuruga Lebanon na anaiwinda Bahrain ili kuivuruga.
 
Maneno ya Iran ni kweli Israel ĥana uwezo wa kupigana na Iran, we huoni nchi za Europe pamoja na America na badhi ya nchi za kiarabu wamepanic wanataka kumprotect Israel. Kipigo cha mbwa koko ni tarehe 14/8 na ha Israel wanajua hilo sababu ni siku yahuzuni kwa Israel ili waendelee kuhuzunika zaidi.
Anayepiga huwa haongei ......ni kama mwanamke ukimmuudhi anapiga kelele mchana kutwa ,...usiku unamuweka halafu asubuhi anakupigia pasi anaandaa breakfast anakuwish ka,I njema
 
Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi ya Iran!

Wadau hamjamboni nyote?

Siyo maneno yangu hayo ni mapya kutoka Tehran Kwa naibu waziri mambo ya nje Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ALI BAGHER.

Naibu waziri huyo ameituhumu Israel kupenda sana kuchochea vita na migogoro kwenye nchi mbalimbali.

Pia soma: Iran yaweza kuishambulia Israel ndani ya saa 48

Hata hivyo Waziri huyo amedai kuwa taifa hilo la Kizayuni halina Uwezo kabisa Wala Nguvu za kuanzisha vita dhidi ya nchi yake!

Ameendelea kusema kuwa Mazayuni watalipa gharama kubwa Kwa kosa la kuhusika na mauaji ya haniyeh

=====

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Tehran says Israel lacks the ‘capacity and the strength’ to start a war with Iran.

“The act that the Zionists carried out in Tehran was a strategic mistake because it will cost them gravely,” Ali Bagheri says one day after attending an extraordinary session of the Organization of Islamic Cooperation (OIC) in the Saudi coastal city of Jeddah.

Bagheri accuses Israel of wanting “to expand tension, war and conflict to other countries,” while asserting it was not in a position to fight Iran.

“The Zionists are in no position to start a war against the Islamic Republic of Iran,” he says.

“They neither have the capacity nor the strength.”

The meeting on Wednesday of foreign ministers from the 57-member OIC produced a declaration holding Israel “fully responsible” for the “heinous” killing of Haniyeh, the leader of the Hamas terror group, who lived in Qatar and was a major player in talks to release the Israeli hostages held by Hamas and halt the war in the Gaza Strip.

Times of Israel staff contributed.Iran yaweza kuishambulia Israel ndani ya saa 48
Iran kama demu wa kizaramo
 
Anayepiga huwa haongei ......ni kama mwanamke ukimmuudhi anapiga kelele mchana kutwa ,...usiku unamuweka halafu asubuhi anakupigia pasi anaandaa breakfast anakuwish ka,I njema
Wapi Iran kasema atapiga lini, kasema kipigo cha mbwa koko kiko palepale. Hata Israel si alisema ataenda piga Iran, vipi hapo mbona kwingine hasiti kupiga 😄
 
Kitendo cha kuongea atapiga hata kama ni mwakani tayari ashakuwa dem
I wish angetokea mtu kama Hitler yeye alikuwa hatoi alert unashtukia unapigwa angani ardhini na baharini 😅😅 soma maana ya hili neno

Blitzkrieg

Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi ya Iran!

Wadau hamjamboni nyote?

Siyo maneno yangu hayo ni mapya kutoka Tehran Kwa naibu waziri mambo ya nje Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ALI BAGHER.

Naibu waziri huyo ameituhumu Israel kupenda sana kuchochea vita na migogoro kwenye nchi mbalimbali.

Pia soma: Iran yaweza kuishambulia Israel ndani ya saa 48

Hata hivyo Waziri huyo amedai kuwa taifa hilo la Kizayuni halina Uwezo kabisa Wala Nguvu za kuanzisha vita dhidi ya nchi yake!

Ameendelea kusema kuwa Mazayuni watalipa gharama kubwa Kwa kosa la kuhusika na mauaji ya haniyeh

=====

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Tehran says Israel lacks the ‘capacity and the strength’ to start a war with Iran.

“The act that the Zionists carried out in Tehran was a strategic mistake because it will cost them gravely,” Ali Bagheri says one day after attending an extraordinary session of the Organization of Islamic Cooperation (OIC) in the Saudi coastal city of Jeddah.

Bagheri accuses Israel of wanting “to expand tension, war and conflict to other countries,” while asserting it was not in a position to fight Iran.

“The Zionists are in no position to start a war against the Islamic Republic of Iran,” he says.

“They neither have the capacity nor the strength.”

The meeting on Wednesday of foreign ministers from the 57-member OIC produced a declaration holding Israel “fully responsible” for the “heinous” killing of Haniyeh, the leader of the Hamas terror group, who lived in Qatar and was a major player in talks to release the Israeli hostages held by Hamas and halt the war in the Gaza Strip.

Times of Israel staff contributed.Iran yaweza kuishambulia Israel ndani ya saa 48
Makobazi club wanabwabwaja tu. Wenzao wanafanya uvuvi wa kimya kimya wakishavua tunaona Matokeo
 
Mpaka Sasa tunasubiri majibu ya Tehran baada ya mauaji ya mgeni wake Ismael Haniyel. Masaa 72 Bado tu wakuu. Hapa Afrika mashariki tupo mbele ya muda maana Hawa wenzetu walisema ndani ya masaa 72 watalipa kisasi lakini mpaka leo Bado tantarira tu.

Death to America
Choma bendera kupunguza hasira.
 
Jiulize kwanini US ana side na Israel na kwa ajili ya Israel yupo tayari kutofautiana na dunia
Sio ka side israel ni kama project yake na hufuatilii historia marekani hiyo plan ya kuanzisha tawi lake ni ya muda mrefu ,biden miaka ya 50 wakati yupo bungeni alisema lazima kuwe na israel middle east for the interest of america , america ndio ameianzisha anaigharamia na ataailinda kwa sababu zake za kiuchumi kama wanavyoilindana marekani na uingereza its for economic reason nothing personal
 
Anaua kiongozi wa nchi nyingine ndani ya nchi yako hiyo mbona ni kuanzisha vita? Israel imeshaanzisha vita ila Iran ameshindwa kujibu mapigo hayo.

kwani ilichukuwa muda gani kumuua Haniya toka alipokuwa kiongozi wa hamas ??
 
Kumbe hii Tabia ya viongozi wa serikali kutamka vitu mdomo mtupu sio bongo tu
 
mazayuni kipindi kama hiki yanakaaga kimya utadhani ni ma loser kumbe hayalali yanakesha yakikupanga uovu mkubwa dhidi yako , unapewa nafas tu kubwabwaja ili ukipigwa ionekane ulikua unachonga sana ukastahili kipindo
 
Blabla, blabla,blabla, wanatafuta njia yakutokea waoga sana hawa jamaa imagine wao ndio wange fanya kitendo kama hicho kwa waisrael.
Khee! Saa hizi ungekuta hata lile hema la "Msibaaa" limesha anuliwa kitambo.
 
Back
Top Bottom