Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi yake!

Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi yake!

Tunaomba Mods muongezee hii emoji 🚮 kwenye eneo la Thanks
 
Sio ka side israel ni kama project yake na hufuatilii historia marekani hiyo plan ya kuanzisha tawi lake ni ya muda mrefu ,biden miaka ya 50 wakati yupo bungeni alisema lazima kuwe na israel middle east for the interest of america , america ndio ameianzisha anaigharamia na ataailinda kwa sababu zake za kiuchumi kama wanavyoilindana marekani na uingereza its for economic reason nothing personal
Duh sasa mkuu Biden miaka ya 50s mbona alikuwa aged kati ya 7-16 yrs (1950-1959), au aliingia bungeni akiwa underage?
 
mazayuni kipindi kama hiki yanakaaga kimya utadhani ni ma loser kumbe hayalali yanakesha yakikupanga uovu mkubwa dhidi yako , unapewa nafas tu kubwabwaja ili ukipigwa ionekane ulikua unachonga sana ukastahili kipindo
Mzayuni hanaga maneno mengi.

Utashangaa amekupiga matukio tu halafu anakaa kimya.
 
Apige Iran mara ngapi??
America, UK, France karibu dunia nzima inambembeleza Iran asimpige Israel. Wako wana mwambia basi piga kidogo. Wako wanao mtisha Iran kwa kumpiga vita na kumfanyia sunction, afu bado mnamuona Israel Super power wa mchongo labda 😄
 
Back
Top Bottom