Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi yake!

Ayatola kaivuruga Yemen kaivuruga Iraq kaivuruga Lebanon na anaiwinda Bahrain ili kuivuruga.
 
Anayepiga huwa haongei ......ni kama mwanamke ukimmuudhi anapiga kelele mchana kutwa ,...usiku unamuweka halafu asubuhi anakupigia pasi anaandaa breakfast anakuwish ka,I njema
 
Iran kama demu wa kizaramo
 
Anayepiga huwa haongei ......ni kama mwanamke ukimmuudhi anapiga kelele mchana kutwa ,...usiku unamuweka halafu asubuhi anakupigia pasi anaandaa breakfast anakuwish ka,I njema
Wapi Iran kasema atapiga lini, kasema kipigo cha mbwa koko kiko palepale. Hata Israel si alisema ataenda piga Iran, vipi hapo mbona kwingine hasiti kupiga 😄
 
Wapi Iran kasema atapiga lini, kasema kipigo cha mbwa koko kiko palepale. Hata Israel si alisema ataenda piga Iran, vipi hapo mbona kwingine hasiti kupiga 😄
Kitendo cha kuongea atapiga hata kama ni mwakani tayari ashakuwa dem
I wish angetokea mtu kama Hitler yeye alikuwa hatoi alert unashtukia unapigwa angani ardhini na baharini 😅😅 soma maana ya hili neno

Blitzkrieg

 
Makobazi club wanabwabwaja tu. Wenzao wanafanya uvuvi wa kimya kimya wakishavua tunaona Matokeo
 
Choma bendera kupunguza hasira.
 
Jiulize kwanini US ana side na Israel na kwa ajili ya Israel yupo tayari kutofautiana na dunia
Sio ka side israel ni kama project yake na hufuatilii historia marekani hiyo plan ya kuanzisha tawi lake ni ya muda mrefu ,biden miaka ya 50 wakati yupo bungeni alisema lazima kuwe na israel middle east for the interest of america , america ndio ameianzisha anaigharamia na ataailinda kwa sababu zake za kiuchumi kama wanavyoilindana marekani na uingereza its for economic reason nothing personal
 
Anaua kiongozi wa nchi nyingine ndani ya nchi yako hiyo mbona ni kuanzisha vita? Israel imeshaanzisha vita ila Iran ameshindwa kujibu mapigo hayo.

kwani ilichukuwa muda gani kumuua Haniya toka alipokuwa kiongozi wa hamas ??
 
Kumbe hii Tabia ya viongozi wa serikali kutamka vitu mdomo mtupu sio bongo tu
 
mazayuni kipindi kama hiki yanakaaga kimya utadhani ni ma loser kumbe hayalali yanakesha yakikupanga uovu mkubwa dhidi yako , unapewa nafas tu kubwabwaja ili ukipigwa ionekane ulikua unachonga sana ukastahili kipindo
 
Blabla, blabla,blabla, wanatafuta njia yakutokea waoga sana hawa jamaa imagine wao ndio wange fanya kitendo kama hicho kwa waisrael.
Khee! Saa hizi ungekuta hata lile hema la "Msibaaa" limesha anuliwa kitambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…