Iran Yaendelea Kuwaogopa Israel, Israel Yazidi Kufanya Mashambulizi Lebanon

Iran Yaendelea Kuwaogopa Israel, Israel Yazidi Kufanya Mashambulizi Lebanon

Brother Depo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2026
Posts
593
Reaction score
797
Bango kubwa kwa sasa ni Iran wazidi kuiogopa Israel.

Wafuasi washabiki wanazi wakunwa wa Iran siku Tano zilizopita waliweka habari kwa mbwembwe na furaha kubwa kuwa Iran imetoa bonge la onyo kwa Israel endapo Israel watashambulia kusini mwa Lebanon eneo la Al Taher.

Nikiwa kama mchunguzi wa kujitegemea nilisoma maoni ya wafuasi hao wa Iran, walikua wakisema sasa Israel waguse Hilo eneo la Al Taher kusini mwa Lebanon. Waone watachofanywa na Iran.

Israel sio kigusa TU bali wameshambulia na kuweka udhibiti wa Hilo eneo, Leo siku ya 5 Iran wapo kimyaaa wameufyata. Wameshindwa hata kurudha njiti ya kiberiti ndani ya Israel🤣🤣🤣🤣

Netanyahu(S.A.W) rehema za Allah ziwe juu yake, Huwa hafanyi utani yaani yeye ukibeep anakupigia haraka sana.

Hii ndio habari wafuasi wa Iran waliiweka siku 5 zilizopita, wenyewe waliamini kuwa Israel itaogopa kushambulia Hilo eneo. Hawakijua kuwa Iran ni watu wa midomo TU na mikaara mingi
Screenshot_20260908-101518.png

Ritz
zitto junior
Echolima1
Adiosamigo
dem boyz
HIMARS
Keyboard_Warrior
100 others
Imeloa
mdogoee
gTurn
6 Pack
Bwana Utam
Shytown
silent lion
hearly
 
Iran imeshaitwanga sana Israel kwa missiles haina cha kuprove.
Kwa hiyo Iran hawataki tena kuishambulia Israel? Walishamaliza kazi?
Kama ni hivuo sasa mbona walisema wataishambulia endapo Israel itashambulia Hilo eneo? 🤣🤣🤣

Pia Iran waliporusha hizo missile Israel nini kilitokea?
Hawa unajua kwa sasa walipo?🤣🤣
20260628_014345.jpg
 
Kwa Sasa Irani ana kazi muhimu ya kudhibiti mfereji wa Hormuz na kuzisambaratisha base za Marekani zilizopo mashariki ya kati hivyo Hana muda wa kudili na Nyau Kwa Sasa ila anadili na mwenye Nyau

Alafu kitu ambacho msukule kama wewe hauwezi kukijua ni kuwa Kwa Sasa Netanyau anatamani Irani ishambulie Israel Ili uchaguzi usogezwe mbele maana Netanyau ana hali ngumu kisiasa Irani haitaishambulia Israel mpaka uchaguzi wao upite
 
Kwa hiyo Iran inamuogopa Netanyahu(S.A.W)??

Netanyahu ashinde au asishinde wao Hilo linawahusu Nini? Lengo ni kuiangamiza Israel, au mmeshaghairi?🤣🤣
 
Kwa hiyo Iran inamuogopa Netanyahu(S.A.W)??

Netanyahu ashinde au asishinde wao Hilo linawahusu Nini? Lengo ni kuiangamiza Israel, au mmeshaghairi?🤣🤣
Ukiwa mgalatia alafu ukiwa mjinga unakuwa kama msukule

Nani aliyekuambia Irani inataka kuiangamiza Israel?

Hivi unajua kuwa tokea Irani imeundwa haijawahi kuanzisha mashambulizi dhidi ya Israel hata Kwa kuirushia jiwe?
Sasa jiulize Israel imefanya ugaidi mara ngapi ndani ya Irani?
 
Netanyahu(S.A.W) rehema za Allah ziwe juu yake, Huwa hafanyi utani yaani yeye ukibeep anakupigia haraka sana.
Huyu anatafuta vita ya lazima na Iran ili apate kura, sasa Iran hawatompa hiyo benefit yeye apambane na kampeni akishatemwa ndio utajua huyo Netanyahu si lolote kama mnavyomkuza humu.

Ku prove hoja yangu umeona jinsi ambavyo kashambulia Syria na sasa anatishia uturuki na Qatar maana yake anatafuta vita kwa lazima ili apate sababu ya kuzoa kura za waoga.

Back to topic Iran haiwezi kumuogopa Israel alafu ipambane na USA ambayo ndio jeshi kubwa zaidi ya Israel. Ni sawa na kusema mtu anayepigana na prime Mike Tyson eti amuogope Twaha Kiduku!! Inaingia akilini kweli?
 
Kwa hiyo Iran inamuogopa Netanyahu(S.A.W)??

Netanyahu ashinde au asishinde wao Hilo linawahusu Nini? Lengo ni kuiangamiza Israel, au mmeshaghairi?🤣🤣
Ni lini Iran imetaka kuiangamiza Israel? Mnajitengenezea visababu kujustify ugaidi wenu.

Yaani israel yenye nuclear bombs za maangamizi hamuoni ndio ina mpango wa kuangamiza mashariki ya kati ila Iran isiyo hata na nuclear bombs ndio itake kuangamiza Israel?

it's illogical, yaani umeshika panga alafu unalalamikia adui mwenye kisu cha mkate?
 
Kila mara viongozi wa Iran wanasrma hivyo wanataka kuiangamiza Israel. Labda unakuaga usingizini ndio maana husikii. Soma hapa
Screenshot_20260908-141327.png

Screenshot_20260908-141139.png

Screenshot_20260908-141051.png
 
Kila mara viongozi wa Iran wanasrma hivyo wanataka kuiangamiza Israel. Labda unakuaga usingizini ndio maana husikii. Soma hapa
View attachment 3665760
View attachment 3665761
View attachment 3665762
Your sources are questionable. Alafu nilidhani Ayatollah au Rais ndio hutoa dira ya taifa sio kiongozi yotote tu. Ni sawa na Makonda alipotoa tamko la kufunga mashoga it's not necessarily the view ya serikali nzima.

Weka akisema Ayatollah mwenyewe not otherwise. Hata huko Israel huyo Ben Gvir na hardliners wengine walitoa option ya kupiga Iran kwa nuclear mapema mwaka huu na ni waziri mwandamizi ila sikuona popote ikionekana ni nongwa
 
Back
Top Bottom