Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
Kwa hiyo Iran hawataki tena kuishambulia Israel? Walishamaliza kazi?Iran imeshaitwanga sana Israel kwa missiles haina cha kuprove.
Kwa hiyo Iran inamuogopa Netanyahu(S.A.W)??Kwa Sasa Irani ana kazi muhimu ya kudhibiti mfereji wa Hormuz na kuzisambaratisha base za Marekani zilizopo mashariki ya kati hivyo Hana muda wa kudili na Nyau Kwa Sasa ila anadili na mwenye Nyau
Alafu kitu ambacho msukule kama wewe hauwezi kukijua ni kuwa Kwa Sasa Netanyau anatamani Irani ishambulie Israel Ili uchaguzi usogezwe mbele maana Netanyau ana hali ngumu kisiasa Irani haitaishambulia Israel mpaka uchaguzi wao upite
Ukiwa mgalatia alafu ukiwa mjinga unakuwa kama msukuleKwa hiyo Iran inamuogopa Netanyahu(S.A.W)??
Netanyahu ashinde au asishinde wao Hilo linawahusu Nini? Lengo ni kuiangamiza Israel, au mmeshaghairi?🤣🤣
Huyu anatafuta vita ya lazima na Iran ili apate kura, sasa Iran hawatompa hiyo benefit yeye apambane na kampeni akishatemwa ndio utajua huyo Netanyahu si lolote kama mnavyomkuza humu.Netanyahu(S.A.W) rehema za Allah ziwe juu yake, Huwa hafanyi utani yaani yeye ukibeep anakupigia haraka sana.
Ni lini Iran imetaka kuiangamiza Israel? Mnajitengenezea visababu kujustify ugaidi wenu.Kwa hiyo Iran inamuogopa Netanyahu(S.A.W)??
Netanyahu ashinde au asishinde wao Hilo linawahusu Nini? Lengo ni kuiangamiza Israel, au mmeshaghairi?🤣🤣
Kila mara viongozi wa Iran wanasrma hivyo wanataka kuiangamiza Israel. Labda unakuaga usingizini ndio maana husikii. Soma hapaNi lini Iran imetaka kuiangamiza Israel? Mnajitengenezea visababu kujustify ugaidi wenu.
Yaani israel yenye nuclear bombs za maangamizi hamuoni ndio ina mpango wa kuangamiza mashariki ya kati ila Iran isiyo hata na nuclear bombs ndio itake kuangamiza Israel?
it's illogical, yaani umeshika panga alafu unalalamikia adui mwenye kisu cha mkate?
Kama walivyojamba hawa🤣🤣🤣Naona unazidi kuchamba umbea mtoa vihoja
Safari hii mutajamba sanaaaaaaa
Your sources are questionable. Alafu nilidhani Ayatollah au Rais ndio hutoa dira ya taifa sio kiongozi yotote tu. Ni sawa na Makonda alipotoa tamko la kufunga mashoga it's not necessarily the view ya serikali nzima.Kila mara viongozi wa Iran wanasrma hivyo wanataka kuiangamiza Israel. Labda unakuaga usingizini ndio maana husikii. Soma hapa
View attachment 3665760
View attachment 3665761
View attachment 3665762
Safari hii mutajamba na kujambishwa sanaaaaaaaKama walivyojamba hawa🤣🤣🤣
View attachment 3665763