gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Kajamaa kamepewa vifaa vya ulinzi,kanakuja tenaIran alikosea kukubari cease fire
Hii mbinu ilienda na ndege ya urusi SyriaIsrael Ina Tabia ya kushambulia Kwa kupitiasha ndege zake chini ya civilian planes. This time naona jamaa wameamua kujilinda ipasavyo.
Maana yake Iran ana taarifa fulaniIla mh hapo imekaaje,
Sidhan kama una akili timamu je awamu iliyopita ya vita ndege za Israel zilikuwa znatandka Tehran zikiwa chini ya ndege za kiraia?Israel Ina Tabia ya kushambulia Kwa kupitiasha ndege zake chini ya civilian planes. This time naona jamaa wameamua kujilinda ipasavyo.
Israel bila misaada ni wachumba tu...Kajamaa kamepewa vifaa vya ulinzi,kanakuja tena
Hapa alikosea kumruhusu mpinzani anywe maji 😂😂Iran alikosea kukubari cease fire
We ndio ujiulize kama unayo akili timamu na uelewa wa vita za mashariki ya kati.Sidhan kama una akili timamu je awamu iliyopita ya vita ndege za Israel zilikuwa znatandka Tehran zikiwa chini ya ndege za kiraia?
Kweli kabisaIsrael bila misaada ni wachumba tu...
Mleta habari wa jf na huyo wa twiter wote ni wafanyakazi wa Msikiti Tv.. wenye akili tushawapuuzaIran leo ilitangaza kufunga anga lake la magharibi na Kati kwa ndege za kiraia, mpaka kesho
Inazua wasiwasi wakati huu israel ikiwa kwenye mazungumzo mazito na marekani na madege ya mizigo ya Marekani yakiripotiwa kutua uwanja wa ndege ben gurion kwa wingi
Juzi mchambuzi mmoja wa siasa Iran alidai ndani ya wiki hii israel itaishambulia Iran
View attachment 3391618
Kwa watu wenye akili timamu ikiwemo wazungu wameshawakataa Israel na wanawaita wauaji na wapenda vita.Go Israel mpaka washike adabu hawa. Unayo haki ya kujilinda kwa yoyote anayekutishia kukufuta kwenye ramani ya dunia. Miungu watu hao
Mkuu kombora la Khaibar bado Iran hajalitumia.Israel bado hawajatimiza walichokitaka, wanweza kurudi tena...
Inasemekana wameshapeleka muda sana.Nawashilika wa Iran vipi mizigo wamesha peleka