Iran yafunga anga lake kwa ndege za kiraia,je mtifuano kuanza tena!?

Iran yafunga anga lake kwa ndege za kiraia,je mtifuano kuanza tena!?

Huyo ameshiba mkate na divai hawezi kukuelewa abadani
Kuna mpuuzi mwingine huko anaanza kuleta conspiracy theories kuwa eti sijui Jews wako wengi USA HUWEZI kuwashinda.
Ilhali antisemitism imeshasambaa Ulaya kote na Marekani kuwapinga mazayuni na wayahudi.
Kuna watu ni wapumbavu wa asili.
 
Kwenye hii post yako kuna kitu sijaelewa naninaomba unieleweshe. Ben gurion ni airport ndani ya israel na mara ya kwanza ilifungwa kwa international flights only lakini domestic zilikuwepo hio ilikua tangu 22/05/2025.

Ila chapisho lako chakushangaza ni umeonesha kua imefungwa recently lakini pia kama ishu ni Airspace mbona Israel/US hawatumii Irani Airspace bali usafirishaji wa Military Equipments hupitia kwenye International waters na kupitia nchi marafiki na USA.

Lakini kubwa ni kwamba leo hii US amesema raia wake walioko Tehran waondoke mapema maaana kwanza commercial flights zinaweza kuingiliwa na hivyo Tehran si mahali salama kuanzia sasa Technical Difficulties

I hayo tu ndugu mwandishi.
Soma tu taratibu
 
Baada ya kustukia mchezo sasa wanaanza kuthibiti ingawa inasemekana wameshachelewa.

Wanawaua wananchi wema kwa chuki na kisingizio cha kuwa waliwasaidia Israel kwenye vita.

Watawala huwa hawataki kukiri kwamba walizidiwa ujanja na adui lazima wamtafuate wa kumshushia jumba bovu.
Umejuaje kuwa wanawaua wananchi wema na si spies wa adui?
 
Kwenye hii post yako kuna kitu sijaelewa naninaomba unieleweshe. Ben gurion ni airport ndani ya israel na mara ya kwanza ilifungwa kwa international flights only lakini domestic zilikuwepo hio ilikua tangu 22/05/2025.

Ila chapisho lako chakushangaza ni umeonesha kua imefungwa recently lakini pia kama ishu ni Airspace mbona Israel/US hawatumii Irani Airspace bali usafirishaji wa Military Equipments hupitia kwenye International waters na kupitia nchi marafiki na USA.

Lakini kubwa ni kwamba leo hii US amesema raia wake walioko Tehran waondoke mapema maaana kwanza commercial flights zinaweza kuingiliwa na hivyo Tehran si mahali salama kuanzia sasa Technical Difficulties

I hayo tu ndugu mwandishi.
Raia wa USA anafanya nini Teheran na wameiwekea vikwazo vya kibiashara?
 
Iran anatakiwa kulipua izo shehana za silaha ..aoni anachofanya swahiba wake Putin ...
Na zile drones zake atume Wave moja drone walau 1000
Ile cease fire waliyoomba USA ni baada ya kuona Israel kachapika kwahiyo walizuia ili wampe vifaa Israel aende akaingize tena kidole kwenye mzinga wa nyuki , Iran wanasubiri kwa hamu Israel atest moto
 
HIVI UMEJIULIZA ALIYEKUWA MUHITAJI WA VITA ILE NI NANI KATI YA ISRAEL ALIYEANZISHA AMA IRAN ALIYEKUWA ANAJIKINGA?
Israel ndio alikuwa muhitaji na lengo lake lilikuwa kudhohofisha juhudi za Iran kurutubisha vinu vya nuclear ambalo lilitimia vyema tu ndani ya siku 12? Sasa kama lengo la kuanzisha vita lilishatimia ulitaka aendelee kupigana Ili iweje? Shida na Kwa aliyepigwa na Bado analazimishwa asiendelee kupigana na akakubali
 
Raia wa USA anafanya nini Teheran na wameiwekea vikwazo vya kibiashara?
Boss kwani tofauti na mahusiano ya kibiashara hakuna activities nyingine ambazo hazitafanyika kati ya US citizens ndani ya Tehran?

Lakini pia naweza nisiwe na mfano dhahiri wa activities hizo ila niliweka link ya ubalozi wa marekani kuhusu raia wake kuondoka Tehran sasa sijajua zaidi.
 
Back
Top Bottom