Buttler Jo
JF-Expert Member
- May 26, 2025
- 901
- 811
Aisee! Ngoja tuone..
Sentensi mbili za mwanzo zimetosha kueleza wewe ni mtu wa aina gani. Israel irashughulika na yoyote anayetishia amani. Hakuna unyonge kama unaweza ifute kwenye ramani. TerroristsKwa watu wenye akili timamu ikiwemo wazungu wameshawakataa Israel na wanawaita wauaji na wapenda vita.
Tangu mwaka 1990s Israel imekua ikiiundia Iran propaganda za uongo hasa kuhusu silaha za nuclear.
Achana na huko,Israel imeivamia Syria,Lebanon pasi na hizo nchi kuichokoza Israel.
Ndio maana hata wazungu wanawaona Israel kama takataka sasa hivi.
anti-Semitism imeenea hadi Uingereza hadi Ireland.
Kuna tamasha la mziki lilifanyika UK watu wana chant "Death to IDF".
Ninachomaanisha Israel ni SARATANI ya AMANI duniani hususan mashariki ya kati.
Najua utasema mimi ni mfia dini mara sijui kobaz.Sentensi mbili za mwanzo zimetosha kueleza wewe ni mtu wa aina gani. Israel irashughulika na yoyote anayetishia amani. Hakuna unyonge kama unaweza ifute kwenye ramani. Terrorists
Kwahiyo Israeli peke yake ndio anatishiwa amani? Vipi matendo ya Israel hayatishii amani majirani zake?Najua utasema mimi ni mfia dini mara sijui kobaz.
Tunaongea ukweli hapa,hivi wewe na waziri mkuu wa Spain nani mwenye utimamu na uelewa juu ya huu mzozo??
Wewe na viongozi wa Ireland nani mwenye uelewa juu ya huu mzozo??
Gaidi mkubwa ni Israel na dunia imeshaona ukweli hata uufiche vipi.
Hatuzungumzi mahaba hapa bali ni facts.
Hata wamarekani wameshawagutukia na wanakimbia"we can't die for Israel's"
Wewe kaa na mahaba yako ya kidini hapo.
Ndio nimempa maelezo huyo jamaa.Kwahiyo Israeli peke yake ndio anatishiwa amani? Vipi matendo ya Israel hayatishii amani majirani zake?
Wajinga wachache wanaoandamana and wakiulizwa mna andamana kwa lipi wanakosa majibu hizo propaganda hazina nguvu uongo always unakwama and Israel ndio inaendelea kuwa juu tu.Kwa watu wenye akili timamu ikiwemo wazungu wameshawakataa Israel na wanawaita wauaji na wapenda vita.
Hao iran ndio wenyewe walisema wanatengeneza hizo silaha special for kuifuta Israel au na wewe umezaliwa majuzi so huna unachofahamu zaidi kutoka msikiti Tv propaganda Machine. unajua kiwango cha Uranium kwa matumizi ya kiraia ni asilimia ngapi? punguani sana wengi humu.Tangu mwaka 1990s Israel imekua ikiiundia Iran propaganda za uongo hasa kuhusu silaha za nuclear.
Yaani ila siku mnaimba kuimaliza Israel and mmeshindwa na hamtokuja kuweza sababu mmelaaniwa mnaanza kijifanya mnaonewa nyie hahahaha Syria unazungumza kuwa anachokozwa na israel hahaha mipango yenu yote mnaopaga inanaswa na mnapigwa kabla hamjatimiliza mipango na ushahidi mkitaka mnapewa.Achana na huko,Israel imeivamia Syria,Lebanon pasi na hizo nchi kuichokoza Israel.
Ndio maana hata wazungu wanawaona Israel kama takataka sasa hivi.
anti-Semitism imeenea hadi Uingereza hadi Ireland.
Kuna tamasha la mziki lilifanyika UK watu wana chant "Death to IDF".
Ninachomaanisha Israel ni SARATANI ya AMANI duniani hususan mashariki ya kati.
Israel aliways anajinda kwa uchokozi, na mchochezi mkuu ni Iran baada ya kipigo cha 12 days nadhani atatulia kidogo maana keshaanza kuomba fidia ya hasara aliyoipata.Kwahiyo Israeli peke yake ndio anatishiwa amani? Vipi matendo ya Israel hayatishii amani majirani zake?
Kwanza jiulize lini Spain ameshawahi toa maneno mazuri kwa Israel hebu naomba japo kamoja.Ndio nimempa maelezo huyo jamaa.
Waziri mkuu wa Spain alitoa mifano kadha wa kadha ya uvunjifu amani wa Israel kwa majirani zake.
Syria 1950,Lebanon 1972,Egypt n.k n.k
Hayo maeneo yote Israel aliyavamia pasi na kuchokozwa.
Ndio maana nikaeleza mwishowe Israel ni saratani ya amani duniani hasa mashariki ya kati.
Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka,Israel ilishazoea Sifa hawezi kurudi nyuma mpaka ipatwe na jambo lakuumiza.Go Israel mpaka washike adabu hawa. Unayo haki ya kujilinda kwa yoyote anayekutishia kukufuta kwenye ramani ya dunia. Miungu watu hao
Hizo ndege ni hatari angani alimuuzia Pakistani India huwa hafurukuti angani akijaribu kupaa anakutana nazo zinamfurusha!Inasemekana wameshapeleka muda sana.
Pia kuna dili la Iran kununua ndege vita za j10C kutoka China.
😂😂🙏🙏Sidhan kama una akili timamu je awamu iliyopita ya vita ndege za Israel zilikuwa znatandka Tehran zikiwa chini ya ndege za kiraia?
Wewe kichwa pumbu unajieleza kwa hisia utadhani una undugu na mwisraeli wakati ni nyani mweusi.....Kwanza jiulize lini Spain ameshawahi toa maneno mazuri kwa Israel hebu naomba japo kamoja.
Nimejaribu ku google huo Mwaka wa 1950 Israel kuichokoza Syria sijaona.
Mwaka 1972 Kundi la Arabs lilifanya mashambulizi ya kigaidi na lilitangaza kuwa limehusika IDF ikaingia kazini.
On 8 September 1972, Israeli planes bombed ten Palestine Liberation Organization (PLO) bases in Syria and Lebanon as a response to the Munich massacre that took place on 6 September, perpetrated by Black September, a Palestinian terrorist organization active since 1970.
Egypt inajulikana fika walichokifanya na walichokipata hadi Amani na uhusiano ukifikiamo.
Sasa mtu anapoleta mifano ya kipumbavu hakika anachuki moyoni na roho ya korosho.
Hiyo N.K N..k Muache uchokozi.
Mnajaribu kuichafua Israel ila mnakwama. Chuki tu sababu ni Matajiri hamna la kufanya ndio asili yao hiyo kuishi maisha mazuri
Pumba tupuIle cease fire waliyoomba USA ni baada ya kuona Israel kachapika kwahiyo walizuia ili wampe vifaa Israel aende akaingize tena kidole kwenye mzinga wa nyuki , Iran wanasubiri kwa hamu Israel atest moto
Ndege zilikua zikipakua mzigo juu kwa juu hazishuki airport?..Iran wanaachana na gps ya wazungu wanafunga ya mchinaMossad na wale mahasimu wao wa ndani walikuwa wanaendelea kuingia kwa kutumia ndege za kiraia, Na inasemekana kuna ndege za kiraia zimekuwa zikiingiza silaha kwa makundi yanayompinga Ayatollah.
Sasa kama ni kweli watakuwa wameshachelewa.
Siku 60 zinakaribia kuisha tuko kwenye Cease Fire, sijui kama cease fire itaongezwa au wataiacha iishe muda wake tuendelee kuangalia action movies.
Kuna sehemu nimesoma wanasema tangu vita ianze kumekuwa na sintofahamu nyingi, kuna mamluki walikuwa wanaingiza mizigo isiyojulikana na haijulikani mpaka sasa na haieleweki ni mizigo gani ya nani na iko wapi.Ndege zilikua zikipakua mzigo juu kwa juu hazishuki airport?..Iran wanaachana na gps ya wazungu wanafunga ya mchina
Aisee, let me tell you wajinga wote waongo nikiwaona nawapasua wanafanya uongo kwao ni Ibada... waulize wanapata fiada gani au wanajisikiaje wakiongopa? uongo ukisemwa sana unakuwa kama ukweli. Miaka hii propaganda zimekuwa nyingi mno hadi zinakera waiachie Al jazeera ndio kipenzi chaoWewe kichwa pumbu unajieleza kwa hisia utadhani una undugu na mwisraeli wakati ni nyani mweusi.....
Lakini safari hii kipigo kitakuwa kikubwa😎Kajamaa kamepewa vifaa vya ulinzi,kanakuja tena
Kwa kipondo heavy cha myahudi hakuwa na namna ya kukataa ceasefireIran alikosea kukubari cease fire