Iran yafunga anga lake kwa ndege za kiraia,je mtifuano kuanza tena!?

Iran yafunga anga lake kwa ndege za kiraia,je mtifuano kuanza tena!?

Iran alikosea kukubari cease fire
Sio kwamba alikosea Bali alizidiwa, ww mtu ndio kaanza kukutandika ila katikati ya ugomvi anatokea mtu mwingine akiwasihi msiendelee kupigana na unakubali haraka bila masharti hii ni dalili kwamba Iran alikuwa ameelemewa na pambano ila alikuwa anajitutumua ionekane maiti anapiga chafya
 
Kuna sehemu nimesoma wanasema tangu vita ianze kumekuwa na sintofahamu nyingi, kuna mamluki walikuwa wanaingiza mizigo isiyojulikana na haijulikani mpaka sasa na haieleweki ni mizigo gani ya nani na iko wapi.

Hiyo ni moja ya vitu wana crackdown.

Ndio nikasema inawezekana maadui wa Ayatollah wa ndani na nje walikuwa wanajiandaa kwa wave ijayo ya vita baada ya cease fire ku expire in 60 days.

Hata Tanzania kuna viwanja vingi vya ndege havimilikiwi na serikali, unaweza kuta ni viwanja vya aina hiyo, kinachoingia na kutoka wanajua wao.
Kuingiza kwa magendo kila nchi ipo
 
Kuingiza kwa magendo kila nchi ipo
Baada ya kustukia mchezo sasa wanaanza kuthibiti ingawa inasemekana wameshachelewa.

Wanawaua wananchi wema kwa chuki na kisingizio cha kuwa waliwasaidia Israel kwenye vita.

Watawala huwa hawataki kukiri kwamba walizidiwa ujanja na adui lazima wamtafuate wa kumshushia jumba bovu.
 
Kwaiyo Israel ikishinda Vita !!! bado Wachungaji wetu wa kutokea Mbeya Watatwambia Israel ni Hatari sana uwa awashindwi Vita !!!!

japo kwa taarifa izi ni kuwa Israel inasubilia misaada ya Kijesh kutoka MAREKANI sasa Israel ikishinda apo atakuwa kashinda nani !!!!??

Marekani au Israel !!! ?

Na Ukrane napo ivyo ivyo ikishinda napo anakuwa kashinda Ukrane au Washilika wao yani Marekan + !!!?

na kama kushindwa napo ndio ivyoivyo kwasasa mm naweza sema ISRAEL na UKRAINE awa Vita wameshashindwa kwamaana punzi imeisha !!!

kwasasa kinachoendelea au kinachokuja ni Washilika wa Israel na Ukraine yani Marekani + kuzuiya izo nchi kurusha taulo mazima au kutangaza rasmi kushindwa Vita !!!

na kwasasa watapigana kwaniaba sio wao tena..
 
:4Shrug::4Shrug:😛 hawa jamaa walitudanganya Sana kuhusu uwezo wao !!
1000181092.jpg
 
Iran leo ilitangaza kufunga anga lake la magharibi na Kati kwa ndege za kiraia, mpaka kesho

Inazua wasiwasi wakati huu israel ikiwa kwenye mazungumzo mazito na marekani na madege ya mizigo ya Marekani yakiripotiwa kutua uwanja wa ndege ben gurion kwa wingi

Juzi mchambuzi mmoja wa siasa Iran alidai ndani ya wiki hii israel itaishambulia Iran
View attachment 3391618
Kwenye hii post yako kuna kitu sijaelewa naninaomba unieleweshe. Ben gurion ni airport ndani ya israel na mara ya kwanza ilifungwa kwa international flights only lakini domestic zilikuwepo hio ilikua tangu 22/05/2025.

Ila chapisho lako chakushangaza ni umeonesha kua imefungwa recently lakini pia kama ishu ni Airspace mbona Israel/US hawatumii Irani Airspace bali usafirishaji wa Military Equipments hupitia kwenye International waters na kupitia nchi marafiki na USA.

Lakini kubwa ni kwamba leo hii US amesema raia wake walioko Tehran waondoke mapema maaana kwanza commercial flights zinaweza kuingiliwa na hivyo Tehran si mahali salama kuanzia sasa Technical Difficulties

I hayo tu ndugu mwandishi.
 
Kwa watu wenye akili timamu ikiwemo wazungu wameshawakataa Israel na wanawaita wauaji na wapenda vita.
Tangu mwaka 1990s Israel imekua ikiiundia Iran propaganda za uongo hasa kuhusu silaha za nuclear.
Achana na huko,Israel imeivamia Syria,Lebanon pasi na hizo nchi kuichokoza Israel.
Ndio maana hata wazungu wanawaona Israel kama takataka sasa hivi.
anti-Semitism imeenea hadi Uingereza hadi Ireland.
Kuna tamasha la mziki lilifanyika UK watu wana chant "Death to IDF".
Ninachomaanisha Israel ni SARATANI ya AMANI duniani hususan mashariki ya kati.
Hujui kama Marekani ilifanya mpango wa kupata Jewish genes na kuwapa uraia kabisa kua waoperate as American citizens mfano asili ya Mack Zuckerberg na matajiri wengine wengi tu sio hivyo tu bali wakufunzi wengi wa jeshi na watengeneza military equipments ni jewish in nature sio hivyo tu sidhani kama nchi zanye ukaribu wa kuishinda USA na Israel.

Think twice kijana.
 
Sio kwamba alikosea Bali alizidiwa, ww mtu ndio kaanza kukutandika ila katikati ya ugomvi anatokea mtu mwingine akiwasihi msiendelee kupigana na unakubali haraka bila masharti hii ni dalili kwamba Iran alikuwa ameelemewa na pambano ila alikuwa anajitutumua ionekane maiti anapiga chafya
HIVI UMEJIULIZA ALIYEKUWA MUHITAJI WA VITA ILE NI NANI KATI YA ISRAEL ALIYEANZISHA AMA IRAN ALIYEKUWA ANAJIKINGA?

MAHABA YASIKUFANYE UKOSE AKILI, SAWA TUMEKUFAHAMU WEWE NI MBWA WA ISRAEL NA USA, LAKN NDO UBWEKE TU HATA UKIONA KIVULI ILI MRADI BOSI AJUE UPO KAZINI? TUMIA VIZURI RASILIMALI AKILI KISODA ULIZO NAZO. IRAN HAKUIHITAJI ILE VITA, HAWEZI KULAUMIWA KWANINI ETI HAKUKATAA CEASEFIRE..
KAMA NI LAWAMA WA KULAUMIWA NI HAO MABWANA ZAKO. KWANINI WAOMBE CEASEFIRE NA VITA WALIANZISHA WENYEWE??
 
Hujui kama Marekani ilifanya mpango wa kupata Jewish genes na kuwapa uraia kabisa kua waoperate as American citizens mfano asili ya Mack Zuckerberg na matajiri wengine wengi tu sio hivyo tu bali wakufunzi wengi wa jeshi na watengeneza military equipments ni jewish in nature sio hivyo tu sidhani kama nchi zanye ukaribu wa kuishinda USA na Israel.

Think twice kijana.
Unaropoka pasi hata na kuelewa nini nazungumzia.
Hao Jews ndio wapo EAST EUROPE NA WESTERN EUROPE KOTE!??
Unaelewa hata nini kinazungumzwa hapa!?
Mataifa mengi duniani kuanzia Ulaya ,Asia, America kusini na Kaskazini wameshaanza kumkataa Israel.
Hiyo USA peke yake haiwezi ikasimama dhidi ya upinzani wa mataifa yote hayo.Sana sana atapoteza ushawishi duniani anavyozidi kumshikiria Israel.
Hapo Marekani Kuna Irish descendants wengi kuliko Jews descendants.
Pole yako kijana
 
Sio kwamba alikosea Bali alizidiwa, ww mtu ndio kaanza kukutandika ila katikati ya ugomvi anatokea mtu mwingine akiwasihi msiendelee kupigana na unakubali haraka bila masharti hii ni dalili kwamba Iran alikuwa ameelemewa na pambano ila alikuwa anajitutumua ionekane maiti anapiga chafya
Unamdanganya nani kijana!??
Hivi unajua ilichukua vikao vitatu kumshawishi Iran kukubali ceasefire!??
Hii inajulisha Israel ilishachakaa vya kutosha hadi wakubwa wakawa wanamshawishi Iran kukubali ceasefire kwa vikao vitatu.
 
Iran leo ilitangaza kufunga anga lake la magharibi na Kati kwa ndege za kiraia, mpaka kesho

Inazua wasiwasi wakati huu israel ikiwa kwenye mazungumzo mazito na marekani na madege ya mizigo ya Marekani yakiripotiwa kutua uwanja wa ndege ben gurion kwa wingi

Juzi mchambuzi mmoja wa siasa Iran alidai ndani ya wiki hii israel itaishambulia Iran
View attachment 3391618
Safari hii wakienda kushambulia Ayatola haponi
 
Iran leo ilitangaza kufunga anga lake la magharibi na Kati kwa ndege za kiraia, mpaka kesho

Inazua wasiwasi wakati huu israel ikiwa kwenye mazungumzo mazito na marekani na madege ya mizigo ya Marekani yakiripotiwa kutua uwanja wa ndege ben gurion kwa wingi

Juzi mchambuzi mmoja wa siasa Iran alidai ndani ya wiki hii israel itaishambulia Iran
View attachment 3391618
Iran alipata nafasi ya kuifuta Israel kwenye uso wa dunia kama ilivyokua imeapia na hilo tuliona wazi kwa kipigo kizito alichokua anakiteremsha Israel week zilizopita.. ila alikosea sana na sana kukubali cease fire maana israel wametumia huo muda kujipanga vizuri na kuziba nyufa zao ili wasitoweshwe kwenye uso wadunia.. Waislam na waarabu mnapaswa kuilaani Iran
 
Najua utasema mimi ni mfia dini mara sijui kobaz.
Tunaongea ukweli hapa,hivi wewe na waziri mkuu wa Spain nani mwenye utimamu na uelewa juu ya huu mzozo??
Wewe na viongozi wa Ireland nani mwenye uelewa juu ya huu mzozo??
Gaidi mkubwa ni Israel na dunia imeshaona ukweli hata uufiche vipi.
Hatuzungumzi mahaba hapa bali ni facts.
Hata wamarekani wameshawagutukia na wanakimbia"we can't die for Israel's"
Wewe kaa na mahaba yako ya kidini hapo.
Wafia dini huwaga Hawana akili unapoteza muda wako kumjibu
 
Ile cease fire waliyoomba USA ni baada ya kuona Israel kachapika kwahiyo walizuia ili wampe vifaa Israel aende akaingize tena kidole kwenye mzinga wa nyuki , Iran wanasubiri kwa hamu Israel atest moto
😂
 
Unaropoka pasi hata na kuelewa nini nazungumzia.
Hao Jews ndio wapo EAST EUROPE NA WESTERN EUROPE KOTE!??
Unaelewa hata nini kinazungumzwa hapa!?
Mataifa mengi duniani kuanzia Ulaya ,Asia, America kusini na Kaskazini wameshaanza kumkataa Israel.
Hiyo USA peke yake haiwezi ikasimama dhidi ya upinzani wa mataifa yote hayo.Sana sana atapoteza ushawishi duniani anavyozidi kumshikiria Israel.
Hapo Marekani Kuna Irish descendants wengi kuliko Jews descendants.
Pole yako kijana
Naona unakalia akili badala ya kuitumia pia unatumia mihemko kuliko akili.

Can't argue with fools, am signing out boy.
 
Najua utasema mimi ni mfia dini mara sijui kobaz.
Tunaongea ukweli hapa,hivi wewe na waziri mkuu wa Spain nani mwenye utimamu na uelewa juu ya huu mzozo??
Wewe na viongozi wa Ireland nani mwenye uelewa juu ya huu mzozo??
Gaidi mkubwa ni Israel na dunia imeshaona ukweli hata uufiche vipi.
Hatuzungumzi mahaba hapa bali ni facts.
Hata wamarekani wameshawagutukia na wanakimbia"we can't die for Israel's"
Wewe kaa na mahaba yako ya kidini hapo.
Huyo ameshiba mkate na divai hawezi kukuelewa abadani
 
Back
Top Bottom