Iran yafunga anga lake kwa ndege za kiraia,je mtifuano kuanza tena!?

Mmmmh vi division four vya 30 ivi ni vidiploma mchongo,bas mnajikuta wajuaji kweli
 
Go Israel mpaka washike adabu hawa. Unayo haki ya kujilinda kwa yoyote anayekutishia kukufuta kwenye ramani ya dunia. Miungu watu hao
go israeli to hell,wakianza tena sisi iran hatutataka ceasefire mpk kataifa ka mchongo ka 1947 tukafute duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…