Sijaona cha maana cha kushanikia toka comment namba 1 hadi hii kwa kuwa wasiobna hatia watakufa sana na huku kwetu maisha yatakuwa magumu zaidi
 
Ayatollah Khomeini amejiingiza kingi. Asubiri kuvuliwa dera.

Njia pekee ya kukomesha ugaidi mashariki ya kati ni kushughulikia Iran kikamilifu, maana ndiyo wamiliki na wafadhili wa magaidi wote
Myahudi mweusi unajidanganya unadhani Iran ni Burundi itishwe na Israel ambayo ipo overrated kumbe hamna kitu zaidi ya kutegemea bwana wake Marekani amsaidie.
 
Iran jana imepiga uwanja wa kijeshi wa israeli kusini mwa israeli huko anapopata kiburi cha kurusha vindege vyake. Sasa ole wake ajibu mashambulizi ndio atajua muajemi hajaribiriwi. Piga mbwa sana haoo.
Mvaa vipedo na vijola tuliza mshono wako kahaba mkubwa wee.

Subiri mumeo. Israel aanze kujibu mapigo ndipo utajua mwanaume ni mwanaume tu
 
Hiyo site hata haina verification unaiaminije yaana unaokota matango pori huko mtandaoni ili ujifurahishe
ITR
Ebu acha upumbavu kama Israel mwenyewe amekili kambi yake kuharibiwa ww ni nani mpaka ubishe.

Dunia ya sasa ipo wazi hakuna kitu kinacho jificha nenda tweeter kuna video kibao.
 
Ebu acha upumbavu kama Israel mwenyewe amekili kambi yake kuharibiwa ww ni nani mpaka ubishe.

Dunia ya sasa ipo wazi hakuna kitu kinacho jificha nenda tweeter kuna video kibao.
Leta credible source acha kupiga maktaimu mbona unahamisha magoli
 
Oooh, kumbe!? Basi sawa mkongwe!
Mimi na vijana wenzangu wa WEMA KIJIKO UBAYA GUNIA ZIMA CAMP tupo tunafuatilia mtanange huu kwa karibu sana. Tupo tunasubiria kuona Iran ikichapika kama Iraq, ila pia tupo tukisubiria kuona Israel akionjeshwa shubiri anayoendelea kuwalisha vijana wenzetu pale Gaza.
Yote kwa yote tunaomba Iran, USA na Israel wasituangushe katika hii sinema, tunatarajia kusikia milio mikali kutoka pande zote!!!
 
Ujasiri wa Iran umeifanya Israel inywee kiaina tofauti na wengi tulivyotaraji kuwa ikipigwa kweli na Iran itarusha mvua ya makombora Tehran papo kwa papo.

Kitisho cha vita vikubwa zaidi kiko wazi baada ya Iran kuiambia Marekani ikae mbali katika vita vyake na Israel.

Baada ya mashambulio ya jana mpaka kwenye kambi za jeshi za Tel Aviv, Iran imesema mpaka hapo imefunga ukurasa wake wa mwanzo wa vita.

Inasubiri iwapo Israel itajibu na wao waendeleze ukurasa mwengine mpana zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…