Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Bado kuna maneno au tafsiri yake inakusumbua.Ujasiri wa Iran umeifanya Israel inywee kiaina tofauti na wengi tulivyotaraji kuwa ikipigwa kweli na Iran itarusha mvua ya makombora Tehran papo kwa papo.
Kitisho cha vita vikubwa zaidi kiko wazi baada ya Iran kuiambia Marekani ikae mbali katika vita vyake na Israel.
Acha kujidanganya. Kuna umbali mkubwa kati ya Iran na Israel, so kwa uwezo wa Marekani yanaweza kushushwa hayo kabla ya kuingia anga la Israel. Hii ni tofauti ya Russia na Ukraine ,ambazo ni majirani.Tulia dogo kamikaze drones zaid ya 100 zipo hewani saahizi zinaelekea Tel aviv subiri majibu. Hizo hazitunguliwi na kima yeyote .saahizi ndege ya Netanyahu imeondoka Jerusalem
Hana ubavu wa kupigana pekeyake. Kuna Command centres za mmarekani zinampa tips😂
Ni kunywea na kuufayta kwa pamoja.Bado kuna maneno au tafsiri yake inakusumbua.
-kuufyata,
-kunywea
Nitaongeza mengine pindi nionapo unatatizika.
Mwanzo ilikuwa Iran hawezi kujaribu kuishambulia Israel moja kwa moja, kwamba Iran ni paper tiger.Leta credible source acha kupiga maktaimu mbona unahamisha magoli
Hata neno "pamoja" linakusumbua.Nitakuombea "darsa" upate ilmu!Ni kunywea na kuufayta kwa pamoja.
Anajisahaulisha.Bado upo kwenye fikra za mwaka 47..vita ni Mipango sio unapigana Tu kama mjinga angalia Toka Israel wameua Yule kiongozi wa Iran ni zaidi ya wiki mbili ndiyo tinaona wanajibu.
Najua sana.Lakini kwa vile mnavyotuaminisha kuhusu manguvu ya Israel na wenyewe walisema hivyo,tulidhani muda huu moto umeshawaka kote Iran.Bado upo kwenye fikra za mwaka 47..vita ni Mipango sio unapigana Tu kama mjinga angalia Toka Israel wameua Yule kiongozi wa Iran ni zaidi ya wiki mbili ndiyo tinaona wanajibu.
Najua sana.Lakini kwa vile mnavyotuaminisha kuhusu manguvu ya Israel na wenyewe walisema hivyo,tulidhani muda huu moto umeshawaka kote Iran.Bado upo kwenye fikra za mwaka 47..vita ni Mipango sio unapigana Tu kama mjinga angalia Toka Israel wameua Yule kiongozi wa Iran ni zaidi ya wiki mbili ndiyo tinaona wanajibu.
Usidhanidhani.Subiri.Najua sana.Lakini kwa vile mnavyotuaminisha kuhusu manguvu ya Israel na wenyewe walisema hivyo,tulidhani muda huu moto umeshawaka kote Iran.
Mimi mkristo mwenzako ila sipendi ubabe wa marekani na israeli. Tumsifu yesu kristo
Achana na mipasho ya kike.Israel kapigwa za uso na mbavu kwa pamojaHata neno "pamoja" linakusumbua.Nitakuombea "darsa" upate ilmu!
Retaliation na counter attacks siyo Vita ..Bado upo kwenye fikra za mwaka 47..vita ni Mipango sio unapigana Tu kama mjinga angalia Toka Israel wameua Yule kiongozi wa Iran ni zaidi ya wiki mbili ndiyo tinaona wanajibu.
[emoji23][emoji23]majibu gani nyie Israel kaprove tena ni trash bila mme wake USA na UKDu, wanadamu tuna matatizo. Kanywea tena. Wakati Vita bado haijaanza. Usiombe majibu ya Israel. Hali itakuwa mbaya. Pray for peace. Tutaathirika wote
Asubirie angalau siku 7 ili apate neno jipyaBado kuna maneno au tafsiri yake inakusumbua.
-kuufyata,
-kunywea
Nitaongeza mengine pindi nionapo unatatizika.
Marekani wamesihi Israel isijaribu kulipa kisasi kwasababu wakifanya hivyo mzozo utakuwa mkubwa mashariki ya kati.. natamani hii vita iishe maana kama kutatokea malipizi dhidi ya Iran huku Africa ndiyo waathirika wa kilakitu kwenye vita hiiNajua sana.Lakini kwa vile mnavyotuaminisha kuhusu manguvu ya Israel na wenyewe walisema hivyo,tulidhani muda huu moto umeshawaka kote Iran.