Wanaonesha barabara ya kutulia!?
Watuoneshe majengo ya kambi ya airbase.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ninaona wote wanaogopana. Iran Karusha drones na Ballistic missiles ambazo anajua zitatumai almost za tisa kufika Israel ambayo iko 700 miles away from Iran ikiwa ina maana alijua watajiandaa kuzidungua. Angekuwa ana lengo la kusababisha hasara kwa Israel angempiga shambulizi la ghafla. Sasa wewe unarusha kitu kinifikie masaa tisa, Israel na wapambe wake wakasema wanatrack kila drone na kila missile kabla ya kuingia kwenye anga ya Israel.Ujasiri wa Iran umeifanya Israel inywee kiaina tofauti na wengi tulivyotaraji kuwa ikipigwa kweli na Iran itarusha mvua ya makombora Tehran papo kwa papo.
Kitisho cha vita vikubwa zaidi kiko wazi baada ya Iran kuiambia Marekani ikae mbali katika vita vyake na Israel.
Baada ya mashambulio ya jana mpaka kwenye kambi za jeshi za Tel Aviv,Iran imesema mpaka hapo imefunga ukurasa wake wa mwanzo wa vita.Inasubiri iwapo Israel itajibu na wao waendeleze ukurasa mwengine mpana zaidi
Bado upo kwenye fikra za mwaka 47..vita ni Mipango sio unapigana Tu kama mjinga angalia Toka Israel wameua Yule kiongozi wa Iran ni zaidi ya wiki mbili ndiyo tinaona wanajibu.
Endelea kunywa mtori chief nyama bado zipo chiniUjasiri wa Iran umeifanya Israel inywee kiaina tofauti na wengi tulivyotaraji kuwa ikipigwa kweli na Iran itarusha mvua ya makombora Tehran papo kwa papo.
Kitisho cha vita vikubwa zaidi kiko wazi baada ya Iran kuiambia Marekani ikae mbali katika vita vyake na Israel.
Baada ya mashambulio ya jana mpaka kwenye kambi za jeshi za Tel Aviv,Iran imesema mpaka hapo imefunga ukurasa wake wa mwanzo wa vita.Inasubiri iwapo Israel itajibu na wao waendeleze ukurasa mwengine mpana zaidi
USA ndio anampooza Turkiye kama anavyoipooza Egypt kutokua na misimamo mikali dhidi ya Israel.Huyo Edorgan hana lolote, mbwa wa kubweka, anajua maisha yake atapotezwa na USA dak moja, hana lolote huyo
Hata Iran amepeleka rasharasha tu amesema Isreal ikijibu tu basi atapeleka full dose wainywe vizuri.Hivi wanadhani Netanyahu atakaa tu bila lipiza kisasi? Hataki kuonekana mzembe hapo lazima kiwake leo, yeye atampelekea ndege kabisa sio drones, cruise na ballistic
Makombora yametua ndani ya ardhi ya Israel pamoja na drones. Na zimepiga kambi za kijeshi na kuleta athari kwenye miji ya Tel Aviv na Jerusalem.Mimi ninaona wote wanaogopana. Iran Karusha drones na Ballistic missiles ambazo anajua zitatumai almost za tisa kufika Israel ambayo iko 700 miles away from Iran ikiwa ina maana alijua watajiandaa kuzidungua. Angekuwa ana lengo la kusababisha hasara kwa Israel angempiga shambulizi la ghafla. Sasa wewe unarusha kitu kinifikie masaa tisa, Israel na wapambe wake wakasema wanatrack kila drone na kila missile kabla ya kuingia kwenye anga ya Israel.
Upande wa pili ngoja tuone ila sidhani kama Israel naye atajibu kwa kurusha makombora au ndege kwenye anga ya Iran labda kama atapiga proxy wa Iran.
Ila la msingi naombea hawa watuw asiingie vitani maana dunia naona inaanza kuchanganyikiwa. Nikisoma comments za raia wa Marekani, wanaomba serikali yao iache Israel apambane na matatizo yake maana wanadai serikali iko busy na Israel wakati mambo yao ndani yanaharibika uchumi unayumba china anasonga kwa sababu ya kujifanya wanatia mkono kwenye mambo yasiyo wahusu.
Hamna kitu hapo!Kama yameshushwa na haya ni yapi au unadhani dunia ya sasa hivi unaweza kuficha ukweli?
In writing avoid verbosity; using too many words unnecessarily.Ni kunywea na kuufayta kwa pamoja.
Hizo ni propaganda tu uwanja hauwezi kupigwa na makombora 15 alafu ukabaki kufanya kazi.Hamna kitu hapo!
Israel imechapisha video ikionesha ndege zake zikiendelea na operation katika huo uwanja.
Imekuwa nongwa kwa vile mhusika ni Israel.In writing avoid verbosity; using too many words unnecessarily.
Huoni tarehe video ya February 😂😂
Bado hujasema. 😂😂😂😂😂
Ni rekodi za wiki na miezi iliyopita.Hamna kitu hapo!
Israel imechapisha video ikionesha ndege zake zikiendelea na operation katika huo uwanja.
View: https://youtu.be/fILEjXQHOps?si=Vh2-8qKkPm1Cmdma
No damage at all in Israel, haya Al Jazeera hiyo hapo maana ndio source wanaamini na kutegemea sana
Hizi bhangi huwa unavutia wapiMwisho wa Iran unakuja muda mfupi. Iran ilikuwa kikwazo kwa nchi za magharibi hapo middle east sasa naona wamagharibi walishapata sababu ya kuiangamiza Iran.
Iran inaenda kubutuliwa kama Iraq na haitasimama tena pia natural resources zao zitamilikiwa na makampuni ya magharibi.
Magharibi wanaenda kuweka kibaraka wao aiongoze iran