Iran yaishambulia Israel kwa makombora
Jamani mnatakiwa mjue USA haingiagi vitani peke yake bila NATO.Sasa huu mziki wa huko middle East sio mdogo..Iran anatakiwa aangalie sana huu mchezo unaendaje. Mtu ambae NATO wanamhofia ni Lidude Urusi peke yake.😕
Urusi kasema ataiunga mkono Iran kama kutazuka vita baina ya Israel na Iran.
 
Yule msemaji wa IDF mwenye masikio makubwa kama ya sungura anasema Iran imeshambulia kambi ya anga ya jeshi la Israel jana 7 ballist missiles landed lakini kambi haijaumia sana 🤣. Wewe unamuamini?

Kwanza futa hilo jina lako, uitwe Ayatollah au Juma Lokole then uanze kuitetea Iran, hatukuelewi Sir John Roberts wa wapi wewe?
 
Sijui.Nijuze.
Israel ni strategic ally wa Marekani pale Mashariki ya Kati, hivyo Marekani kuingilia kati kuisaidia Israel ni win-win strategically. Inachokifanya Marekani kwa ajili ya Israel kinaisaidia Marekani pia katika nyanja za kiintelijensia, kijeshi, kiuchumi na geopolitically kwa ujumla.

Kwahiyo, sio kwamba Israel isingeweza kujihami dhidi ya Iran ama adui mwingine bila ya usaidizi wa Marekani, bali ni beneficial zaidi kwa Marekani kuisaidia Israel kama namna bora zaidi ya kulinda maslahi yake ya msingi pale Mashariki ya Kati.
 
Kwanza futa hilo jina lako, uitwe Ayatollah au Juma Lokole then uanze kuitetea Iran, hatukuelewi Sir John Roberts wa wapi wewe?
🤣🤣 mimi mkatoliki original ila sivumilii ushenzi wa israeli. Kula chuma hikoo
 

Attachments

  • Screenshot_20240414_104153_X.jpg
    Screenshot_20240414_104153_X.jpg
    39.8 KB · Views: 2
🤣🤣 mimi mkatoliki original ila sivumilii ushenzi wa israeli. Kula chuma hikoo

Wewe basi mkatoliki hayawani..!! Israel has hundreds of Military Air Bases, hiyo 7 missiles nyie hayawani kupiga mmeona mmepatia katika drones zaidi ya 200? Target ndogo sana hiyo
 
Siburuzwi na wayahudi kama nyie malofa msiojielewa

Tupa kuanzia all Israel tech accessories, simu, TV, internet, GPS, all major chips unazotumia na usiende hosp kutumia vifaa vya Israel, haya wafuate hao wabinua makalio, hapo ndio tutakuelewa
 
Israel bila mgongo wa Marekani hakuna kitu,. In fact kinachoendelea ni vita ya Iran na nchi za Magharibi ndani ya Israel. Kwa bahati mbaya swengi hawawezi kufanya analysis au kuangalia mambo kwa jicho la weledi.
Ukitazama mambo kwa jicho la weledi utagundua mutual benefits zilizopo kati ya Israel na Marekani. Na ndio sababu inayoifanya Marekani kuingilia kati ili kuisadia Israel.

Hiyo haimaanishi kuwa Israel haiwezi kujihami dhidi ya maadui zake bila ya usaidizi wa Marekani na washirika wengine.
 
Huwezi kuwaona ninapoongea muda huu Netanyahu ameshatoroka hayupo Jerusalem. Angalia hii
Shangilia ukikumbuka Spirit hii ya Yahudi!
Deuteronomy 19:21
[21]Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.
Samson Option!
 
Back
Top Bottom