Ulikuwepo? Umeyashuhudia?!99% ya makombora yameshushwa. Hakuna tofauti na makombora ya Iraq ya scard.
-Israel imedhalilishwa na HAMAS
-Huko bahari nyekundu,kinachofanyika,kinaeleweka
-Cha kujifunza: hatutakiwi kuwa mashabiki sana wa media,kwa sababu duniani humu, kila vita vinapopiganwa,wenye masrahi hawawezi kuongea ukweli.
-Israel ilidai inaenda kumaliza kazi. Nini kinajadiliwa sasa hivi?
-Ukraine ilidai hakika mambo yako sawa na wanaenda kuimaliza Urusi.
Ikaingizwa NATO kisirisiri, imebaki wazi Russia inapigana na NATO kwa mwamvuli wa Ukraine.
Na Irani,mpaka wanakiri kambi ya jeshi la anga imepigwa, lazima kuna makubwa yaliyojitokeza. Tungesubiri basi waliopo maeneo yaliyopigwa,ndo tungekadilia hiyo 99%.