FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Nazungumzia wanajeshi wa Iran waliokuwa katika eneo la ubalozi wa Iran uliopo Damascus karibu na nchi ambayo imekuwa ikishambuliwa na wanamgambo wanaoratibiwa na Iran hiyohiyo.Nimekwambia ubalozini huwa Kuna waambata wa kijeshi,wanajeshi kufanya kikao ubalozini kwao siyo tatizo,acha ujinga
Hapa sizungumzii ubalozi in general kama ubalozi mwingine wowote duniani.