Wakati kajificha nyuma ya marekani na uingereza, France,Hadi Jordan kamsaidia kutungua drones...hao wabwekaji tu wakimtegemea USADu, wanadamu tuna matatizo. Kanywea tena. Wakati Vita bado haijaanza. Usiombe majibu ya Israel. Hali itakuwa mbaya. Pray for peace. Tutaathirika wote