Iran yaishambulia Israel kwa makombora
mabom pekee iran anaweza kurusha ni yale yanayorushwa mtu akila mayai mengi ya kuchemshwa. hayo anaweza.(utani tu), unfortunately, ni kweli, iran wamesharusha ndege zisizo na rubani nyingi kweli kweli kuelekea israel, netanyahu na mawaziri wake wameanticipate kwamba zinaweza kufika israel kesho asubuhi, na wanazimonitor. pia anga la marekani inasemekana kuna madege yameshaanza kuja middle east kupiga sapoti myahudi. vita imeanza, dunia imeshachafuka tena, though tunajua huu ndio utakuwa mwisho wa iran. mark my words, "mwisho wa iran".
 
Fake news
Screenshot_2024-04-13-23-31-30.png
 
Zinatumia masaa kufika?😀😀
Hizo ni ndege zisizo na rubani ila zimebeba mabomu.umbali wa kutoka Iran mpaka Israel ni karibu km 2500 na zaidi ila zina teknolojia ya juu kukwepa rada na some airdefences. Ballistic missiles pia zitaachiwa muda huu kutoka Iraq na Yemen kuelekea kwa Israel na mabwana zake USA
 
Back
Top Bottom