Iran yaishambulia Israel kwa makombora
Sijui kati yao nani anasema ukweli maana Israel wanasema wameyadungua yote... wakasema ni kombora moja tu lililomjeruhi mtoto. Lile lililopiga kambi wanasema ni minor damage na ni kambi iko wka desert na wakaachia video kuonyesha bado wanaitumia na dnege ya kviita ikitua aple. Iran wanasema yamesababisha damage. So sijui kati yao nani anasema ukweli maana ni report za pande mbili tofauti.
Ila mimi ni pro Iran sema this time nina mashaka na taarifa hii kwa sababu makombora yamechukua almost saa 8 hadi 9 kufika Israel so yalikuwa yashakuwa tracked kuyadungua ilikuwa ni jambo rahisi. Ndio maana nachelea kusema hawakuwa na lengo la kusababisha damage kwa Israel.
Mkuu, ukweli ambao hausemwi kisawasawa ni kwamba makombora 9 yamepenya na matano yameharibu kambi ya jeshi la anga ilioyoko kusini mwa Israeli iitwayo Negat na kuharibu ndege moja ya IDF ya kufanyia mashambulizi.

Hii ni moja ya ndege za kivita zilofanya shambulizi lilobomoa na kuvunja jengo la ubalozi wa Iran mjini Damascus nchini Syria.

Kwa mujibu wa AP(Associate Press) Iran ilituma makombora ya balistic 120, UAVs 170 na makombora yanotokea kwenye meli "cruise missiles" 30.

Hakuna anefahamu Iran ina aina ngapi za makombora ya balistic maana kuna aina kama sita hivi yaani air (ya kawaida) , tactical (yaenda hadi maili 186) , Theatre (zaidi ya maili 2000) , short range (zaidi ya maili 600), medium range (zaidi ya maili 2000) na intermediate yenye uwezo wa kusafiri maili 3000.

NI hii miaka ya hivi karibu dunia imeambiwa kuwa Iran wana makombora ya Hypersonic.

Picha hii yaonyesha aina ya makombora ya Iran inotengeneza wenyewe.

INTERACTIVE Irans ballistic and cruise missiles-1713098689

Chanzo cha picha: Al-Jazeera​

Israeli ipo zaidi ya maili 1100 kutokea Iran kwa njia ya anga hivyo Iran huenda wametuia makombora ya Theatre au Medium Range.

1713171108944.png

Hivyo mkuu taarifa sahihi itayojikita zaidi kwenye media ya magharibi kwa shingo upande ni kwamba kambi ya jeshi la anga la Israeli imeathirika na makombora hayo.
 
Drone gani zinatembea masaa kumi!?
Mbona muongo wewe jamaa!?
Drone zilitumia masaa mawili naa na silaha zilizotumika kuanzia Drone mpaka makombora yalikua ya medium range na ujazo wa kawaida.
Je angetumia long range yenye ujazo mkubwa sijui ingekuaje hapo Tel Aviv.
Hahaha hiyo taarifa uliipata msikitini au umeiokota wapi? Katafute taarifa halisi utauona ukweli. Hakuna hata kombora moja limefika Israel au huko msikitina wamesemaje?

Hata ukitumia google unaweza kupata taarifa nzuri tu.

Iran waliwapoza wananchi wao, maana huwa wanawaambia wao ni miamba, wakaulizwa mbona Israel imelipua ubarozi wetu na kuuwa wanajeshi wetu Syria na mmmekaa kimya? ikabidi sasa wafanye show ya kuwa tuliza. Nadhania hata huko Iran watakuwa wamewaambia tumewachakaza Israel haipo kabisa.
 
Kheri uulize kistaarabu kuliko kuleta udini.
Kwani ungesema nilete uthibitisho ingekuwia ugumu gani??
BBC wameeleza kuwa makombora matano yalipenya Israel na kulipua Nevatim airbase.
Embu soma huko chini ripoti ya BBC BRITISH BROADCASTING CORPORATION.
Maana ningekuletea ALJAZEERA ungesema hao pro Islam/arab waongo.
Na maelezo yanasema hayakugonga tu barabara ya runway bali yaligonga na maenei mengine ya kambi ya jeshi anga la Israel Nevatim ila bahati nzuri hakukuwa na vifaa vya kivita kwa wakati huo na kama vingekuwepo vingeungua.

Mwisho,sio kila mwenye mtizamo tofauti na Israel au Marekani ukamnasibisha na udini,hili halifai usiwe na akili za kipumbavu hivi jielewe,udini hautakunufaisha lolote.
Screenshot_2024-04-17-07-43-16-66_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
Screenshot_2024-04-17-07-43-48-61_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Mkuu, ukweli ambao hausemwi kisawasawa ni kwamba makombora 9 yamepenya na matano yameharibu kambi ya jeshi la anga ilioyoko kusini mwa Israeli iitwayo Negat na kuharibu ndege moja ya IDF ya kufanyia mashambulizi.

Hii ni moja ya ndege za kivita zilofanya shambulizi lilobomoa na kuvunja jengo la ubalozi wa Iran mjini Damascus nchini Syria.

Kwa mujibu wa AP(Associate Press) Iran ilituma makombora ya balistic 120, UAVs 170 na makombora yanotokea kwenye meli "cruise missiles" 30.

Hakuna anefahamu Iran ina aina ngapi za makombora ya balistic maana kuna aina kama sita hivi yaani air (ya kawaida) , tactical (yaenda hadi maili 186) , Theatre (zaidi ya maili 2000) , short range (zaidi ya maili 600), medium range (zaidi ya maili 2000) na intermediate yenye uwezo wa kusafiri maili 3000.

NI hii miaka ya hivi karibu dunia imeambiwa kuwa Iran wana makombora ya Hypersonic.

Picha hii yaonyesha aina ya makombora ya Iran inotengeneza wenyewe.

INTERACTIVE Irans ballistic and cruise missiles-1713098689

Chanzo cha picha: Al-Jazeera​

Israeli ipo zaidi ya maili 1100 kutokea Iran kwa njia ya anga hivyo Iran huenda wametuia makombora ya Theatre au Medium Range.

View attachment 2964217

Hivyo mkuu taarifa sahihi itayojikita zaidi kwenye media ya magharibi kwa shingo upande ni kwamba kambi ya jeshi la anga la Israeli imeathirika na makombora hayo.
Muongezee na hii mkuu,wajuvi wanasema Iran hakutumia Guided missiles kama alizotumia Hizbollah february kulipua kambi ya Israel kaskazini mwa Israel kambi ya Galilee ambayo iligeuka majivu.
Halafu kuna wajinga wanakwambia ooh Iran ana mapipa hana makombora,Iran lengo lake halikua kuangamiza intensively bali ilikua kuonesha show of force na kuweka mipaka kuwa yeye anao uwezo wa kushambulia Israel kutokea Iran.
Screenshot_2024-04-17-07-26-57-20_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Kheri uulize kistaarabu kuliko kuleta udini.
Kwani ungesema nilete uthibitisho ingekuwia ugumu gani??
BBC wameeleza kuwa makombora matano yalipenya Israel na kulipua Nevatim airbase.
Embu soma huko chini ripoti ya BBC BRITISH BROADCASTING CORPORATION.
Maana ningekuletea ALJAZEERA ungesema hao pro Islam/arab waongo.
Na maelezo yanasema hayakugonga tu barabara ya runway bali yaligonga na maenei mengine ya kambi ya jeshi anga la Israel Nevatim ila bahati nzuri hakukuwa na vifaa vya kivita kwa wakati huo na kama vingekuwepo vingeungua.

Mwisho,sio kila mwenye mtizamo tofauti na Israel au Marekani ukamnasibisha na udini,hili halifai usiwe na akili za kipumbavu hivi jielewe,udini hautakunufaisha lolote.
View attachment 2965951View attachment 2965952
Hakuna lililopenya huo ni uongo. Israel imetakiwa kutokujibu mashambulizi kwasababu hakuna alipodhurika, maana yake hakuna bomu lililo lipukia ndani ya ardhi ya Israel.
 
Hakuna lililopenya huo ni uongo. Israel imetakiwa kutokujibu mashambulizi kwasababu hakuna alipodhurika, maana yake hakuna bomu lililo lipukia ndani ya ardhi ya Israel.
Sasa kati yako wewe wa bonyokwa na BBC nani asikilizwe maneno yake? Acha kujifariji kipigo kimeingia na tayari sasa picha zishaanza kuvuja
 
Hakuna lililopenya huo ni uongo. Israel imetakiwa kutokujibu mashambulizi kwasababu hakuna alipodhurika, maana yake hakuna bomu lililo lipukia ndani ya ardhi ya Israel.
Nahisi unavuta bangi.
KWAHIYO BBC WANADANGANYA!?
BRITISH BROADCASTING CORPORATION WANADANGANYA!?
FALA MMOJA.
 
Hakuna lililopenya huo ni uongo. Israel imetakiwa kutokujibu mashambulizi kwasababu hakuna alipodhurika, maana yake hakuna bomu lililo lipukia ndani ya ardhi ya Israel.
Je hii nayo vipi??
Hii ni jana tu Hizbollah wameshambulia tena kambi ya Galilee.
IRONE DOME ZILIKUA WAPI??
Screenshot_2024-04-18-14-09-16-53_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-04-18-14-09-27-36_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Nahisi unavuta bangi.
KWAHIYO BBC WANADANGANYA!?
BRITISH BROADCASTING CORPORATION WANADANGANYA!?
FALA MMOJA.
Bangi kuvutwa na mimi siyo tatizo, ila ukweli ni kwamba sababu za baraza la usalama la umoja wa mataifa kumzuia Israel kutokulipiza kisasi ni kwamba, Drone 300 zilizorushwa na Iran 99.99% hazikufika Israel hiyo 0.1% wanasema lilidondoka likiwa limeshaisha nguvu, hivyo hakuna madhara yoyote. Hivyo walimuuliza Israel kwanini ulipize na huku athirika?
Akaambiwa Iran tuachie tutamuwekea vikwazo, na tutamuonya sisi wewe usijihusishe. Hoa BBC wali report Iran karusha Drone hawakuriport kwamba drone zilifika Israel.
Iran anawafurahisha nyie, apige tena yakifika utasikia muziki wake, Sasa hivi utaanza kusikia anaua wanawake na watoto.
 
Sasa kati yako wewe wa bonyokwa na BBC nani asikilizwe maneno yake? Acha kujifariji kipigo kimeingia na tayari sasa picha zishaanza kuvuja
Hahaha hizo habari za msikitini kwenu nani ataziamini. Israel akipigwa atajibu. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani alisema Israel itoe taarifa ikitaka kulipiza kisasi, maana wanawajua hawapigi kitoto. Ayatolla utamuaona BUZA kapewa hifadhi.
 
Hay mabwana zako badala ya kupiga wamecheza singeli
 
Msije kuanza kusema Israel anapiga watoto na wanawake wenu mana vita haina macho
Hawachelewagi kuanza mara ohh wanapigana na wazee wasiojiweza, wanawake, watoto wadogo, Sijui hizi akili wanatoaga wapi yaani jeshi litumie gharama kubwa huku wamejihami na silaha nzito nzito kwenda kupigana na wazee wasiojiweza na watoto wadogo [emoji848], seriously hata kama ni ushabiki huu ni pro max sasa [emoji16]
 
Arrow?

Nadhani wewe huelewi kabisa. Defensive system ya Israel ni ya USA, EU na UK
Nchi hizo zimesema wazi leo kwamba zilikuwa msaada mkubwa licha ya kwamba system zao ndizo zinatumiwa

Hakuna silaha ya kisasa duniani ambayo Israel haijapewa na USA. Msaada wa USA kwa jeshi la Israel ni Bilioni 18 USD Takribani Trilioni 50 za Tanzania. Hivi unadhani hizo ni pesa za send off

Wiki inayokuja congress itapisha msaada zaidi wa silaha kwa Israel. Hivyo tambua kwamba Israel ipo mgongoni

Kama ni mfuatiliaji wa habari za dunia kwa leo ungeona jinsi Israel ilivyokuwa shocked!

1. Kwanza , haikujua drones za nchi yenye vikwazo miaka 20 zinaweza kufika
2. Hawakuwa na uhakika ingawa walijua kupitia proxy wa Iran kwamba silaha zao zina precision ya hali ya juu na siyo Katush za Hamas
3. Iran imeshambulia kutoka kona 4 ikiwa ni ujumbe kwamba wanaweza kupiga kutokea popote na wamefika miji yote mikubwa , Tel Aviv, Jerusalem , Haifa n.k.

Sasa kama unadhani wanaweza peke yao, ndege za UK ni za nini?
Kwanini Jordan na USA waliingilia kati ikiwemo kuzima GPS middle east?
Kwanini makamanda wa USA wapo Israel akiwemo kutoka central command

Lakini pia kumbuka hakuna nchi iliyowahi kupiga Israel tangu Scud la Saddam Hussein.
Tunachosema hapa si nani kashinda nani kashindwa, huo ni upuuzi

Tunachoonyesha ni kufuta ujinga wa ushabiki wa kipuuzi kwa watu wasiojua siasa za dunia hii.
Wengi waliaminishwa Israel ni super power! Israel siyo super power ni Proxy wa super power USA, UK and EU kama ilivyo Houth na Hezbollah kwa Iran. Wanafanyia kazi wakubwa wakiwa mgongoni , wenyewe hamna kitu

Bila msaada wa UK, USA, EU na kwa maelezo ya viongozi wao leo katika TV zao, hamna kitu

Ni lazima uingalie Israel kwa kijiografia, population kwanza kabla hujaanza kubisha.

Ndugu yangu tunazijua siasa za kimataifa!
Hivi umesoma declassified documents za vita ya 1967 ma 1973 Yom Kipur.

Kama hujasoma nenda Library halafu urudi maana nikikusoma unaongozwa na hisia kuliko ukweli.

Wengine hatujui ushabiki wa kipuuzi wa dini.
"Tunachoonyesha ni kufuta ujinga wa ushabiki wa kipuuzi kwa watu wasiojua siasa za dunia hii.
Wengi waliaminishwa Israel ni super power! Israel siyo super power ni Proxy wa super power USA, UK and EU kama ilivyo Houth na Hezbollah kwa Iran. Wanafanyia kazi wakubwa wakiwa mgongoni , wenyewe hamna kitu"

Ila hizi akili, yaani unalinganisha Israel as a sovereign state na vikundi vya kigaidi (Houthi and Hezbollah) seriously [emoji848].

Au mi ndio sielewi?, Au kuna nchi duniani ina ubalozi wa Hezbollah na hatujui, tuweni serious basi, mahaba yanaruhusiwa lakini yasizidi Uwezo wa kufikiria sasa Daa aisee ni huzuni

Uliaminishwa na nani wakati historia inaongea mkuu, si walisema bila support hawezi lipa kisasi, mbona USA ameshatangaza kutosupport kama atarespond, na still amerespond kwa nchi tena tatu ikiwemo ile inayoongozwa Na Islamic regime.

Mahaba yanaruhusiwa lakini yasizidi Uwezo wa kufikiria sasa [emoji16]
 
Makombora mengi ya ballistic (zaidi ya 100) yamezuiwa na Israel yenyewe kupitia Arrow 2 na Arrow 3 defense systems kwa sababu uelekeo wa msafara wa hayo makombora ni tofauti na drones ama cruise missiles.

Marekani, Uingereza na washirika wengine wa Israel wamezuia zaidi cruise missiles pamoja na drones ingawa Israel pia ilirusha ndege zake za kivita kwenda kufanya interceptions kadhaa nje ya mipaka yake.

Cruise missiles pamoja na drones zinapita usawa wa ndege vita ama chini yake. Ballistic missiles zinasafiri kwa kasi zaidi zikitumia projectile motion, na zinasafiri mpaka anga za juu ama nje kabisa ya atmosphere kabla ya kurejea ardhini kwenye target. Ndio maana idadi kubwa ya ballistic missiles kati ya 120 zilizofyatuliwa na Iran zilifanikiwa kuvuka interceptions za ndege na kukaribia anga la Israel.

Baadhi zilitunguliwa na defense systems za Israel zikiwa outer space kabla hata ya kugeuza uelekeo ili kurudi ardhini. Chache sana ndiyo zilikutana na mifumo ya ulinzi wa anga ya Marekani huko baharini. Huku chache pia zikipenya bila kuleta madhara.

Kwa kifupi, mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel imeonesha uwezo mkubwa dhidi ya hizo ballistic missiles ambazo ndizo zilikuwa hatari zaidi kuliko cruise missiles na drones ukizingatia flight time pamoja na payload delivery. Ni mtu asiyefahamu kinachoendelea kuhusu haya masuala ndiye anaweza kusema Israel haijafanikiwa chochote dhidi ya hayo makombora.
Sasa assum ndo zingefika mpakani mwa Israeli zikiwea na mchanganyiko huo hiyo defence ingepiga kitu gani na kuacha kitugan hizo ballistic zilizofika hapo Israeli hazifiko hata 50 sasa hiyo defence inashingwa kufanya intercept ya hizo target
 
SA, UK and EU kama ilivyo Houth na Hezbollah kwa Iran. Wanafanyia kazi wakubwa wakiwa mgongoni , wenyewe hamna kitu"
Huja quote vizuri, hayo ni maneno yangu si yako
Ila hizi akili, yaani unalinganisha Israel as a sovereign state na vikundi vya kigaidi (Houthi and Hezbollah) seriously [emoji848].
Nimekueleza Iran inatumia Proxy kama Houth na Hezbollah kufanya mashambulizi wanakotaka.
Marekani na EU wanatumia Israel kushambulia wanakotaka kama ilivyo kwa Iran

Saddam Hussein aliondolewa kwa hiyana tu, hakuna silaha ya nyuklia hata moja iliyopatikana.
Gen Collin Powell ameenda kaburini akijuta kuonyesha uongo UN.

Kilichosababisha Iraq na Saddam Kushambuliwa ni tukio la 1988 kama sikosei ambapo Saddam alituma kombora la SCUD likatua Israel. Hiyo ikawa ni ishara kwamba Iraq ni tishio.
Kama utakumbuka Israel ilishambuliwa Iraq kwa kudai ni mtambo wa Nuclear.

Israel haitaki Iran iwe na Nuclear Kwa miaka mingi Israel ilishawishi na hata kumshawishi Obama alipue mitambo ya nyuklia Iran, lakini USA inahofia vita kubwa mashariki ya kati.

USA ina kumbu kumbu ya Iraq na Afghanistan ya miaka 20, hivyo kuingia kichwa kichwa kwa Taifa kama Iran

Siku zinavyosonga Iran inakuwa tishio kwa Israel na nchi za Magharibi hazitaki
Jiulize kwanini Israel ina silaha za Nuclear lakini nchi za mgaharibihazitaki Iran iwe nazo

Au mi ndio sielewi?, Au kuna nchi duniani ina ubalozi wa Hezbollah na hatujui, tuweni serious basi, mahaba yanaruhusiwa lakini yasizidi Uwezo wa kufikiria sasa Daa aisee ni huzuni
Rudi usome nilichokieleza. Lazima utambue kibaraka si mtu hata mataifa yanakuwa vibaraka.
Uliaminishwa na nani wakati historia inaongea mkuu, si walisema bila support hawezi lipa kisasi, mbona USA ameshatangaza kutosupport kama atarespond, na still amerespond kwa nchi tena tatu ikiwemo ile inayoongozwa Na Islamic regime.
Hapa unaonyesha kiwango duni cha uelewa. USA kutangaza unaamini wala hujiulizi ni kwa vipi.

USA unayosema wiki hii imeongeza misaada ya sailaha na fedha kwa Israel. Kwani support unaelewa ni nini?
Jiulize kwanini G7 wamekutana kwa dharura na kuiwekea Iran Vikwazo
Kwanini kamanda wa central command ya pentagon na team zake wapo Israel
Zile fleet carriers zinafanya nini mediterrenean
Hivi nani mwenye ufunguo wa GPS na space communication duniani na kwanini USA ilizima GPS
USA, EU na UK zilikataa kulaani shambulio la Israel kwa Iran kule Syria, lakini inalaani shambulio la Iran! hujiulizi tu

Tatizo lako ukiangalia TV au kusomewa habari unabeba tu huna muda wa kutafuta na kusoma habari nyingine

Juzi Alhamisi USA imepiga Veto UN , unajua ni kwanini. Yaani ndio Taifa pekee linalokingia kifua Israel
Niambie ni azimio gani la UN linalohusu Iran au Palestina limeungwa mkono na USA

Halafu USA ikisema hai support huoni kama ni uongo kwasababu Biden anakabiliwa na upinzani mkubwa ndani ya chama chake. Yaani unadanganywa na wewe unabeba tu hata kutafuna kidogo huwezi! poor you

Nchi za EU, UK na USA wanatoa msaada wa kijeshi kwa Israel. Kila nchi ilishiriki , EU wanasema, UK wanasema ,USA wanasema na Israel inawashauri. Ni wewe tu uliyebaki
Nchi za kiarabu mbili, Jordan na Saudi Arabia zilishiriki pia. Jordan tunajua ni kwanini na Saudia tunajua pia

Saudi Arabia ilifichwa kwa jina la 'unknown Arab nation' wenye akili tulijua, sijui kama uliwahi kufikiri hata kidogo

Ngoja nikupe shule, baada ya Arab Spring ufalme wa Saudia ulitikisika sana. Springi ilianzia Tunisia kisha Egypt.
Huko kuna Salafi na Wahabi na inasemekana Shia wa Iran walikuwa nyuma ya yote si kwasababu ya itikadi bali kwa upinzani waodhidi ya marafiki wa USA ambao wao wanawaita vibaraka

Saudia inaiangalia Iran kama tishio la Super power na kama itaaacha hali ilivyo Ufalme utatikiswa na Shia.
Ndio maana nchi nyingi zilianza mahusiano na Israel, si kwasababu wanaipenda bali kwa usalama wao.
Kwahiyo mgogoro wa middle east ni complicated si kama unavyosimuliwa.
Mahaba yanaruhusiwa lakini yasizidi Uwezo wa kufikiria sasa [emoji16]
Hakuna mahaba tupo hapa kueleza ukweli kwa watu wasioelewa.
Wapo wanaosemewa hadithi na kuzibeba tu hawajui hata ramani ya mgororo wa mashariki ya kati

Na imwisho tunaomba utusaidie kufahamu haya, katika bandiko lako umesema ''Houth na Hezbollah ni vikundi vya kigaidi''
1. Ugaidi ni nini
2. Nani anatoa na kuondoa hadhi ya ugaidi
3.Magaidi ni watu wanamna gani

Usipoweza kujibu 1-3 kaa kimya! soma ujifunze
 
Back
Top Bottom