Iran yajitetea na kukana haikuhusika, ila uchunguzi unafanywa, wakae mkao wa kula soon

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Babkubwa la magaidi ya dini limekana halikuhusika kwenye ugaidi wa juzi wa HAMAS ambao umepelekea Israel kujibu kwa nguvu nyingi hadi dunia imechanganyikiwa, wengi tunasema sasa basi, tosha, hadi hapo Israel inapaswa kupunguza kipigo zaidi maana maafa ya Wapalestina kuna namna yanasababisha moyo unanisuta, kuna mapicha ukiyaangalia yanatia huruma kishenzi.

=========

In a statement to Amwaj.media, Iran’s Mission to the United Nations also strongly dismissed the notion of Quds Force involvement in decision making on the Hamas offensive.

“The decisions made by the Palestinian resistance are fiercely autonomous and unwaveringly aligned with the legitimate interests of the Palestinian people,” the Mission said, “We emphatically stand in unflinching support of Palestine; however, we are not involved in Palestine's response, as it is taken solely by Palestine itself.” It continued, “They [Israel] are attempting to justify their failure and attribute it to Iran's intelligence power and operational planning.”
 
Bado hawajasema ujue,
Mpaka waseme.
 
Ndugu tusishabikie vita, sio kitu kizuri. Uislan au ukristo hauna chakufanya mbele ya UTU

Hakuna anayeshabikia vita, ila mchokozi anapaswa kuwajibishwa, HAMAS walishambulia kwa rockets 4,000 hivyo hatungetegemea Israel waimbe taarab na kuwaacha.
Sema sasa inapaswa kuwa basi, itoshe maana nimekua napitia mapicha ya kitu walichafanywa hao hapo Gaza, aisei dunia inapaswa kuiomba Israel isitishe sasa.
 
Kama Tanzania iliipiga Uganda baada ya Uganda kufanya mauaji ndani ya Tanzania why Israel isiikung'ute Gaza na magaidi ya Hamas?
Hamas walifikiri vita ni lelemama hawakuhesabu kuwa kwa vyovyote vile matokeo ya mauaji yao yatajibiwa vikal mno na Israel na hasara kubwa isiyo na mfano wataipata, kenge huwa hasikii mpaka akung'utwe huku damu zikimtoka masikioni na kwingine na still hatosikia 🤣😂🤣.
Ijumaa leo wapambania mabikira 70 na mito ya pombe watasoma visomo, albadil, dua, dunia nzima but as usual iron dome ya damu ya Yesu itapangua vyote.
 
Hapana, wakiachwa hivi kesho kutwa watarudia. Operation ikamilike ili katika hiki kizazi asitokee tena mtu mwenye mawazo ya kufanya ugaidi wa namna hii.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hamas ni kikundi Cha ukombozi kama Maumau wa Kenya dhidi ya mkoloni so sishangai vichwa vilivyo lishwa propaganda shule za kayumba kuona mkoloni anaonewa.
Huru wao ni lazima na Ardhi ni Yao,
By All means Necessary.
 
Na wakisha gundua watafanya nn?

Hamas tu ipo inawahangaisha siku ya 7 hii hakuna cha maana zaidi ya kurusha mabomu hovyo kwenye makazi ya watu badala wawafuate hamas wao wanashambulia majengo hiyo ni Inshala ya udhaifu na woga.
 
Niliona yule Ayotollah mkuu akiongea kwa wasiwasi,ikigundulika kahusika bila shaka Israeli wataanza na kulishambulia Kasri lake huko Tehran 🤔
Iran karuka kimanga kasema aku sihusiki miyeeee kawaruka Hamas sasa kama kidume na aseme su aone moto wa Israel mtoa roho za magaidi
 
Uingereza naye kaungana na Marekani KupelekaMeli ya kivita,yenye ndege za kivita na Makomandoo wa kutosha huko mashariki ya Kati.Kwanini Sasa Ayotollars wasianze kugwaya?🤔
....
 
Magaidi washapatikana?huo ni mwanzo tu wa utungu,show halisi inakuja
 
Hamas na wafuasi wao wanakaribia kupona kichaa
Naomba sasa Israel wapunguze masebene kidogo wapige mwendo wa bakurutu
Maana Hamas wameanza kuachia
mateka wa kiisrael na kauli mbiu yao ni

“Don’t worry, I’m a Muslim. We will not hurt you”
 
Hapana, wakiachwa hivi kesho kutwa watarudia. Operation ikamilike ili katika hiki kizazi asitokee tena mtu mwenye mawazo ya kufanya ugaidi wa namna hii.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Lengo limetimia mapema na kwa ufanisi kuliko.
Israel haikuwataka Palestina karibu yao ma wamepata sababu
 
Niliona yule Ayotollah mkuu akiongea kwa wasiwasi,ikigundulika kahusika bila shaka Israeli wataanza na kulishambulia Kasri lake huko Tehran [emoji848]
Israel anamalizana na Hamas kwanza kisha atawafata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…