Iran yakataa usitishaji vita wa muda uliopendekezwa na wapatanishi wa Pakistan

Iran yakataa usitishaji vita wa muda uliopendekezwa na wapatanishi wa Pakistan

Hii ni Sinema Kamili 🔥

JUMATANO: 🇺🇸Ushindi
ALHAMISI:🇺🇸 Imeharibu Kila Kitu
IJUMAA: 🇺🇸Isaidie China
JUMAMOSI: 🇺🇸Ushindi
JUMAPILI: 🇺🇸Isaidie NATO
JUMATATU:🇺🇸 Imeharibu Ustaarabu Mzima
JUMANNE: 🇺🇸 Trump ASILIMALIZA

TRUMP imekuwa kichekesho cha kimataifa ⚡
Baada ya kubana sana sasa wameachia sasa hivi watu wanajipigia tu!!!
 
Pumbavu zenu mmeaibika mnatafuta visababu vya kujifariji na kujipa moyo Mlango bahari wa Hormuz uko wazi watu sasa hivi ni kujichotea kuweza bila shida baada ya Iran kuogopa kurudishwa kwenye Enzi za mawe!!!
We kweli kenge Trump hakutisha lolote tena kwa taarifa yako alikuwa ameamua hata wa Iran walio enda kuzuia wasipige hizo Energy infrastructures awamalize pia. Trump kitu kilicho prudish nyuma aliogopa kapata fununu Iran ina silaha hatari sana na pia aligundua wa Iran huwa hawasalimi amri na pia wanajeshi wake wengi wameaza kumgeuka na nchi nyingi zingemtenga angekuwa na case ya war crime kwa vyovyote wendawazimu wake usingemsaidia kitu. China alisha mwambia ukigusa Energy infrastructures asahau kugusa China nchi za Europe pia akanza kumbembeleza Pakistan afanye kila njia wayamalize na Iran. Hata kuna members of Congress wa Republic walimuambia kupiga Energy infrastructure ni kuzidi kuiangusha America huwezi kupata ushindi kwa ujinga huo.
 
Back
Top Bottom