Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Usiwai siti ya mbele tume ilisema pia mtambo ulivushwa toka russia.

Mtambo haiwezekani waasi wakauteka w toka ukraine halafu wakajua kuutumia siku hiyo hiyo,unadhani mtambo ule pikipiki ya boxer.

Waliofyatua ni wa russia wenyewe wakiwa donbass.

Kama lugha haipandi usiangalie CNN angalia TBC1 na Star TV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana udin umekukaa nafcn ewe Ibliis
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makosa Ya Kibinadamu? Kwani nani alisema hayo mabomu yanalindwa na Ngamia.Kwanza watu wengi waliokuwemo umo ni karibu wote Wairan,Ata wale Wakanada wanaowasema ni Wairani Wakimbizi wanaoishi Kanada
Kwa hiyo wewe kwa maoni yako waliidungua kwa makusudi au?
 
huenda kwenye ile ndege Iran iligundua kuna majasusi "high profilewa Isrsel, Marekani na nchi hasimu waliokuwa wakisepa na taarifa nyeti kuhusu Iran ikaamua kuwatungua

Thinking aloud!
Yaani kama hujui kitu wakati mwingine kukaa kimya ni bora zaidi. Yaani kwa akili ya chini kabisa majasusi ya Marekani 170 wapande ndege moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau hii ilishushwa na vijana wa iran waliokua wanafanya internship pale Tehran.

dodge
 
UPDATE: An Iranian missile operator mistook the Ukrainian aircraft for a cruise missile and shot it down, says commander of the aerospace unit of the Islamic Revolution Guards Corps Amir Ali Hajizadeh, adding that the operator had only 10 seconds to make a decision and opened fire independently due to communications jamming. [CGTN]
 
Naona unashoboka wewe. CNN nayo channel ya kuangalia, yani unataka taarifa isiyokuwa biased unachagua mainstream media. Na aliyekwambia waasi wa Ukraine ni vilaza kama wewe ni nani. Wale ni watu wana elimu zao tatizo la magugu maji kama nyie mkisikia watu wanaitwa waasi mnajua ni kama wale wakaa misitu ya Congo. Na huu ni mwisho wa kujibizana na wewe, jaza akili kwanza afu uje.
 
Kweli wewe ni juha,Wanajeshi wa Ujerumani,Spain,UK na Canada wapo Iraq kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa Jeshi la Iraq na si vinginevyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan ww mkenya nadhani ukipitia coment zako ulizo kuwa unatoa kabla ya Iran kuiharibu kambi ya marekani unajiona boya kweli.
Hivi ulidhani vita ni lele mama eti,kikundi cha alishababu ambacho hata watu wake hawafiki 7000 kipo kinawatoa makamasi alafu uje kuidharau Iran.
 
Ha ha dogo mitambo ile inachukua miaka kuijua ndio maana Syria mpaka leo wako sbule kutumia S300 ya Urusi unadhani hawataki kumtungua Israel. Iran nao wanazo wako shule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuharibu ukuta wa laki mbili kwa kombora la Mamilioni ni akili au ujuha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…