Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Wameuwawa Wasio Na Hatia, Ila Hii Hali Ni Mbaya Sana Watu 176
Unasema wameuwawa wasio na hatia. Kati ya abiria 176, 63 ni Canadian, technically hawa siyo Canadian, ni cover up ya CIA, CIA wanaofanya shughuli zao nyingi nje ya USA utumia passport za Canada au Australia mark my word. Hivyo kunauwezekano mkubwa watu Canadian walikuwa ni part ya CIA, pia inawezekana Russia waliwapa info zote za hao CIA wako undercover na passport za Canada. Miaka ya 80 Russia wadungua ndege ya abiria Pwani ya Korea na Japan iliyokuwa na CIA wa Wamarekani, pia USA walishawahi dungua ndege ya abiria kwa kisingizio kwamba ilikuwa na mashushushu wa Iran na kuua abiria 290.
 
Ww mwenyewe apo ulipo unanuka Mavi [emoji23][emoji23]
Mkishaa vaa makanzu na kulea mindevu akili huwakimbia, sasa unapiga ndege ya abiria mabomu umechanganyikiwa hadi unaua raia wako. Ndio maana baadhi ya mataifa kama India hamruhusiwi kuingia, maana nyie mna kansa ya kizombi zombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ni kwamba 1988 Technology ilikuwa ndogo tofauti na hivi sasa... Pamoja na kwamba kweli makosa ya kibinadamu yapo

Inasikitisha sana.. Itawaumiza zaidi waliopoteza watu wao wa karibu at least inhekuwa nia ajali ya kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan kufeli kunategemea tekelinalokujia marangapi US vyombo Vyao Vyakwenda Nga Zambali Vina Fail

Mnahoja Zakitoto Mnoo Asee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah inasikitisha mnoo asee
huenda kwenye ile ndege Iran iligundua kuna majasusi "high profilewa Isrsel, Marekani na nchi hasimu waliokuwa wakisepa na taarifa nyeti kuhusu Iran ikaamua kuwatungua

Thinking aloud!
Ila kama walikua majasusi kweli wamepewa walichokistahili.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kwenye mpira mashambulizi golini yakizidi mnakuta mnajifunga wenye na ni bahati mbaya, inaeleweka.

Ila tatizo ni pale umejifunga mwenyewe halafu unakataa.

Kwa kesi hii ina maana kama USA wasingegundua game la Iran, ingesemekana engine za boeing ni mbovu hivyo boeing ndege zake zingekosa soko na pia lawama zingeenda kwa Ukraine walipe fidia.

Inaelekea walipodungua wakaona loh wamefanya makosa wakawai site kuficha blackbox wakaanza kusikilizia.

Inanikumbusha mbali sana Brazil walikuwa wanatisha sana enzi hizo lakini cross kali ya Babayaro ikamkuta beki wa Brazil Carlos Alberto akapiga shuti kali golini kwake kwa bahati mbaya.Na mwisho Nigeria walibeba kombe la Olimpiki.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na walikufa raia wa Marekani wangapi katika hiyo ndege? So unaona ni sawa kutungua ndege na kuua raia wako mwenyewe kisa Marekani 1988 alitungua ndege yako? Kisasi cha kijinga kabisa
Kwani nimesema kama ni sawa au siyo sawa kwa Iran kuidungua ndege ya Ukraine,au nimeuliza tu kama anakumbuka tukio hilo.
Na Irani hawajahusisha tukio la mwaka huo na tukio la udunguaji ndege wajuzi,na kumbuka pia katika masuala ya kivita hakuna tukio la kijinga wala la kiakili,kwa sababu kiujumla vita ni ujinga.
hebu toa upupu wako hapa..... iran hawezi kupigana na mmarekani hata kwa dakika moja
hebu toa upupu wako hapa..... iran hawezi kupigana na mmarekani hata kwa dakika moja
Wewe ndo utoe upupu ili uwe muelewa,nimeongelea wapi hapo kuhusu Irani kuipiga Marekani,au ndo kukurupuka,tulia dogo,acha wenge.
 
Hili jeshi dhaifu ndio lilitaka kupigana na US kweli?
Mwanzo walikana katakata, USA na Canada intelligency wakasema wana ushaidi wa picha za satelite kwamba kombora la Iran lilitungua ndege, leo kipo wap
Ndio maana US hataki hawa wamiliki nuclear maana wataangamiza dunia kwa mihemko yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio jeshi dhaifu, mpaka kukiri inaonyesha ni washupavu! Vipi hii ya USA?
tapatalk_1578742730802.jpeg
tapatalk_1578742954190.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
huenda kwenye ile ndege Iran iligundua kuna majasusi "high profilewa Isrsel, Marekani na nchi hasimu waliokuwa wakisepa na taarifa nyeti kuhusu Iran ikaamua kuwatungua

Thinking aloud!
I agree with you 100 % majasusi wengi wa Marekani na Israel wanatumia passport za Canada na Australia hivyo walikuwa wanasepa na documents Nyeti za nchi ya Iran, Russia wakawashitua rafiki wao Iran, ndo yakatokea hayo. hii dunia ni uwanja wa fujo rip Prof kezirahabi nguri wa fasihi.
 
Wewe sijui upo dunia ipi??---

Warusi walitungua kwa maksudi ndege ya Ukraine iliyokuwa maelfu ya Feet.

Kuna makombora special kwa kazi ya kutumgulia ndege tu-- they are so eccurate that they deviate a foot in long distances---- ask the Russians.
Narudia kusisitiza. Waasi wa Ukraine ndo walitungua ile ndege wala sio Russia. Zilizotumika ni missiles zilizonunuliwa Russia miaka hiyo ya zamani. Yani wewe unataka kusema ukikamatwa na AK-47 basi unakuwa raia wa Russia.
 
Back
Top Bottom