Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Kwa hiyo tunahamia kwa Putin siyo Iran tena? Unatungua ndege na kuua raia wako mwenyewe? Kisasi cha kijinga kabisa kuwahi kutokea!
PUTIN Nikwamba Asingekubali Kambi Zake Zisishambuliwe Lazma Angekuchapa tu Mpaka Ukaishika Adabu Yako Popote Pale Ilipo Ila SUPER POWER Kasanda Kaishia Kuimba Twaarab 2 Eti.. hakuna hasara nlioipata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Ballistic missile itue katika kambi halaf asife hata mlinzi basi hayo yatakua maputo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda ww kachukue hatua wenzako wameshindwa
..makombora ya Iran hayakuua askari hata mmoja wa marekani.

..badala yake makombora hayo yameua watu wasiokuwa na uhusiano wowote na Marekani ikiwemo raia wa Iran yenyewe.

..huu ni UZEMBE uliopitiliza. Wahusika wanapaswa kuchukuliwa hatua kali kwa uzembe wao. Kwanini waliruhusu ndege kuruka wakati jeshi lilikuwa likifyatua makombora ya masafa marefu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa umeyumba.
Ni kazi sana kumtetea Iran kwa hili blander kwa kufananisha na la Marekani. Kosa la US halihalalishi kosa kwa Iran.
Halafu unaposema 290 -176 na kumuona Iran sio fala unakosea.
Vita AKILI sio siraha peke yake.
Au hujui Iran kaua zaidi (82)raia wake😄😄😄😄 , kwa hili mimi naona Iran ni fala, ana siraha nzito ila akili kisoda.
Juzi kati pia amerusha kombora 15 zisizo na impact
Yaani Iran aachane kabisa na vita agaist US.
us na washirika wake kila mara wanaongeza vikosi huko mashariki ya kati kwakua wauliwa sana.uoni us anaua askari wake kwa kuwapereka machinjioni mwenyewe.alichofanya iran ni sawa inawezekana lingetokea tatizo kubwa kama wangeiacha hiyo ndege isepe sio kama awakujua kuna raia wake hapa ilifanywa hivi kuliokoa taifa lao.BILA US KWENDA KULETA VURUGU MSHARIKI YA KATI AYA AYAKUWEPO.US NDIO MUUJI KTKT MATAIFA MENGINE
 
Na mimi ninalo la kwangu hypersonic Missile nimelitengeneza mwenyewe nitali test hivi karibuni😎😎😀😀😀🤣🤣🤣
 
Hivi mbona mnakuwa wapumbavu mmeshaambiwa ni makosa ya kibinadamu, vipi na marekani ilipo idungua ndege ya abilia na kuuwa raia miambili na uchafu ilikuwa ni mihemuko?
Tofauti ni kwamba 1988 Technology ilikuwa ndogo tofauti na hivi sasa... Pamoja na kwamba kweli makosa ya kibinadamu yapo.

Inasikitisha sana... Itawaumiza zaidi waliopoteza watu wao wa karibu at least ingekuwa ni ajali ya kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom