Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Hahah Iran ikithubutu kujibu mashambulizi yoyote yale tutatoa kichapo hakijawahi kuonekana-Trump.

Baada ya Mashambulizi kujibiwa Trump akaishia kuandika huko twitter ALL IS WELL, hahah mpk leo amekula kona.

View attachment 1319423

dodge
Lengo lilikuwa KUMUUA kasim selemani, mission accomplished [emoji123][emoji106]
Kadanganya wapi?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuwekewa ushahidi wa video ulio wazi kabisa wameshindwa kuendelea kubisha, wamekiri ilikuwa bahati mbaya, nimesikitishwa sana na tukio hilo
We ni nani mpaka usikitishwe sana?Waliosikitishwa sana ni wale waliopoteza wa karibu Wao.
 
Hahah Iran ikithubutu kujibu mashambulizi yoyote yale tutatoa kichapo hakijawahi kuonekana-Trump.

Baada ya Mashambulizi kujibiwa Trump akaishia kuandika huko twitter ALL IS WELL, hahah mpk leo amekula kona.

View attachment 1319423

dodge

So Tukaishia kutungua Ndege na kuua raia wetu wenyewe siyo? Hata ningekuwa mimi ningesema “ALL IS WELL”
 
Jeshi la Iran limekuwa likikanusha kutungua ndege ya Ukraine toka ilipoangushwa na kuua watu 176, Sasa wanatakiwa kulipa fidia, inasikitisha sana
Sawa watalipa fidia lakini maumivu kwa familia za waliopoteza maisha hayaponyeki. Iran wamef a nya bonge la blunder.
 
Ndio maana Trump alikazia sana na kusema ‘waseme tu ni ajali kazini


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wamekiri kwamba ni bahati mbaya.

Mimi siwaelewi hawa wamarekani weusi wanaosema Iran aadhibiwe vikali wanasahau kuwa mmarekani naye alishawahi kubomb ndege tena yenye abiria 290 airbus 300 na abiria wote walikufa.

Lakini hatukusikia kuwa US amepigwa vikali na mataifa mengine...
Kwa hiyo unaona ni sahihi kulipizia alichokifanya marekani?. Utaonaje ufahari kulipiza ya marekani huku raia wako mwenyewe zaidi ya 82 wako kwenye hiyo ndege?. Ulichokiongea hapo ni sawa na mwaka jana mtu kutoka kijiji cha mbali akaua ng'ombe wa jirani yako pamoja na ng'ombe wako wapatao 30. Mwaka huu wewe unalipiza kisasi kwa kuua ng'ombe wa jirani 12 na wa kwako mwenyewe ng'ombe wapatao 8

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezo wa Iran mdogo sana kuliko hata inavyodhaniwa.

Kwanza walishindwa kumlinda General wao, huu ni udhaifu wa hali ya juu, hata Makonda analindwa bongo let alone Mabeyo.

Sasa wamekiri wenyewe kutungua ndege kwa kukosa utaalamu wa kutosha eti bahati mbaya baada ya kujaribu kuficha ila imeshindikana. Ni kwasababu hizi USA haitaki Iran iwe na nuclear sababu wanajua uwezo wao bado mdogo sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisjaingia nchi ya watu wakiamua kukuua huwezi kukwepa. Kwani umeambiwa yule general aliuawa akiwa Iran?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran ina wenge,,walijua hiyo ndege ni US anakuja kuwazika wazima wazima[emoji2]

Alafu huyu sio wa kumuamini,alidanganya kaua askari 80 wa US ,alidanganya pia hakutungua hiyo ndege huku akishikilia black box.. alivyo ona watu washaanza mstukia na kuunda jopo la wachunguzi akaona aibu hiyo apo , ameona akili leo[emoji2][emoji2]

Pro iran wakaja na wakasema US mbaya anamzushia Iran..[emoji2]

Mimi nahisi Iran kwenye Radar zao waliona B1B bomber kumbe ni Boeng maskini [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wewe unataka tumuamini marekani ambaye meli yake yenye sailors 900 ilizamishwa halafu akasema hamna kifo chochote kilichotokea halafu wiki 2 baadae yakatokea yale ya hiroshima na nagasaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom