Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

[emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani lini IRAN Alitangaza Vita Against US IRAN Hanashida Na Mtu Ila US Akileta Pua 2 Atachakaa Maana Atateseka Mnoooo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani keshaleta pua tayari kwa kumuua General wa Iran, na matokeo yake hadi sasa wairan zaidi ya 190 wamepoteza maisha huku hakuna hata mmarekani mmoja aliyepoteza maisha, sasa usiombe marekani ilete pua tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niteseke kwa lipi, nakunywa uji wangu hapa kwa amani nikitazama taifa la kidini linavyodungua mindege iliyobeba raia na kuua abiria wote, nyie hata shetani huwashangaa.
Usiteseke kijana pole sana unatamani IRAN Iangushwe Ila Ukifikiria Hakuna TAIFA Linaweza Kufanya Hvyo Unabakia Unalia [emoji16][emoji16][emoji16]

Nazimebakia siku kadhaa 2 Bahman Itimie Mtabakia Kupiga Domo 2 Wakat IRAN Inazidi Kua Imara .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sasa kama wanakosea kurusha vikombora mpaka wanaua raia wake ... wataweza kupigana na mmarekani??? kwanza wanaonekana hawana elimu wala ujuzi kuhusu makombora wala hawana shabaha... mmarekani sema tu hajaamua kuifuta iran ktk ulimwengu.... wairani wajinga sana... ndiyo kisasi gNi hicho sasa
Kama wairan wawe wajinga halaf ujidanganye eti ww ni mjanja [emoji2][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

Hongera sana mjanja ambae mpaka choo chako unahamishwa na USAID

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani keshaleta pua tayari kwa kumuua General wa Iran, na matokeo yake hadi sasa wairan zaidi ya 190 wamepoteza maisha huku hakuna hata mmarekani mmoja aliyepoteza maisha, sasa usiombe marekani ilete pua tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaleta pua baada ya yule kenge wao mmoja kuuliwa kule ubalozini na wanaume wakashambulia kambi zake

Eti unajiita super power halaf kambi zako zinapigwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]

Huu ujinga mfanyie PUTIN Uone Kama Utatoka Salama.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiri za Ayatollah zinamtosha mwenyewe
Screenshot_20200111-111824_1578730726119.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaleta pua baada ya yule kenge wao mmoja kuuliwa kule ubalozini na wanaume wakashambulia kambi zake

Eti unajiita super power halaf kambi zako zinapigwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]

Huu ujinga mfanyie PUTIN Uone Kama Utatoka Salama.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu zaidi 190 akiwepo General mwenye heshima ya juu wamekufa sababu ya America Effect, ni pigo kubwa kwa Iran, wale wairan waliopelekwa Iraq kufanya fujo ubalozini walitimka mbio balaa baada ya kuona mmarekani hatanii, eti kama wamekula kichwa soleimaini wao akina nani hadi waendelee kuhatarisha maisha yao, ikabidi walale mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhan unaiona tofauti..Marekan walitungua ndege ya Iran ila Iran walivyo hawana akili wametungua ndege yenye raia wao wenyewe.Ujuha wa hali ya juu.
Na ukraine usiwasahau.
Screenshot_2020-01-11-08-11-29-1.jpeg

dodge
 
Hapa somo ni Iran kujipiga wenyewe na wa Iran kuweka box la data kwapani na kukanusha vikali na kutukana USA.

Na leo wamekubali wao ndio wamesababisha ajali na kuua.

Kumbuka ni walitakiwa wasitishe ndege za abiria za kawaida zisiruke lakini wao wakarusha makombora nchi nyingine huku wakijua ndege za abiria zinaruka kama kawaida wala hawakuzisitisha.

Sasa anzia hapo ujinga wa USA mada tofauti kabisa mkuu, punguza. hasira

Sent using Jamii Forums mobile app

Sababu ya Wairani kurusha hayo makombora ni nani??-- anzia hapo nawe punguza "bias".
Nadhani hujamwelewa jamaa, mantiki yake ni kwamba ni vigumu kusema umeitungua kimakosa, manake lazima kuna calc uzifanye ili utungue ndege.

Sent using Jamii Forums mobile app

Rejea kwenye post yake nzima uone kasema nini na mimi nimejibu nini--- yeye mwenyewe kanielewa ndiyo maana hakujibu kitu. "Silence implies consent. "
 
Sababy
Sababu ya Wairani kurusha hayo makombora ni nani??-- anzia hapo nawe punguza "bias".

Rejea kwenye post yake nzima uone kasema nini na mimi nimejibu nini--- yeye mwenyewe kanielewa ndiyo maana hakujibu kitu. "Silence implies consent. "
Sababu ni kumpiga mmarekani ila kwa sababu hawana akili na wakakurupuka mwisho wa siku marekani had sasa ndio mshindi...kwanzia shambulio la Soleiman kuna wairan walikufa wale waliokuwa kwenye msafara..kwenye mazishi wairan wakafa..ndege hiyo waliyoitungua wairan wakafa....wamarekan wenyew wala wanadunda tu...Hasira hasara😂
 
Hivi mbona mnakuwa wapumbavu mmeshaambiwa ni makosa ya kibinadamu, vipi na marekani ilipo idungua ndege ya abilia na kuuwa raia miambili na uchafu ilikuwa ni mihemuko?
Acha kulinganisha marekan na ujinga ujinga bhana , ya irani ni barbarically mistake ,
 
Back
Top Bottom