Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Uchunguzi ni lazima ufanyike thou hautakuwa sawa na kama wasingekiri. Uchunguzi wa mwanzo ulikuwa unapanua scope ya kinachochunguzwa kwa sasa umekuwa narrowed kwasababu chanzo kimeshajulikana. Hivyo uchunguzi ni je kweli imetunguliwa kwa bahati mbaya au kulikuwa na makusudi?
Hawez kukuelewa huyo yupo kiushabiki 2 .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKWEPA KODI Iran haijakiri kutokana na mashinikizo lakini imekiri baada taratibu za kiniplomasia baina ya mataifa mawili kati yake na Ukraine! Iran ilishatoa tamko kuwa wenyewe Ukraine watakuwepo wakati wa uchunguzi wa tukio ila haitakuwa tayari hyo black box kuipeleka USA au kuwakabidhi Boeing.
Wewe umempiga mwanao bomu akiwa kwenye gari ya frank, kukubali tu umepiga wewe ni hadi ufanye uchunguzi wakati Bomu ulirusha mwenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hua nawashangaa sana wanapoleta porojo zao kwanza hata kama angekua anatafta kweli sababu sababu ambazo hua anazitaka US kulishambulia taifa jengine angekua kaishazipata kwa IRAN
Hivi kwanini watu wanajidanganya eti USA anatafuta visingizio vya kuingia vitani na Iran wakati miaka yote Hana muda wakutafuta sababu wala visingizio akitaka kuvamia popote anavamia bila hata idhini/kibali cha UN.Ukweli ni kwamba anaihofia sana Iran anajua sio mtu wa mchezo mchezo wala hatanii akienda kichwa kichwa atatolewa kamasi.
Ila kiukwel nikwamba jamaa hatamani kabisa kuingia vitani na IRAN Maana Anajua Atakachokutana nacho huko ndani wala hakukitarajia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la Iran limekuwa likikanusha kutungua ndege ya Ukraine toka ilipoangushwa na kuua watu 176, Sasa wanatakiwa kulipa fidia, inasikitisha sana
Trump ndio wa kulipa fidia. Trump ndio aliyesababisha zahma yote hii. Dunia nzima pamoja na wamerekani imenyoshea kidole Trump.
 
sasa kama wanakosea kurusha vikombora mpaka wanaua raia wake ... wataweza kupigana na mmarekani??? kwanza wanaonekana hawana elimu wala ujuzi kuhusu makombora wala hawana shabaha... mmarekani sema tu hajaamua kuifuta iran ktk ulimwengu.... wairani wajinga sana... ndiyo kisasi gNi hicho sasa
 
Tunasubiri mwisho wake.
Ila kuhusu UN,UN ni sawa na vikaragosi tu,hawana msaada wowote na mustakabali wa dunia,zaidi wanakaa tu maofisini kwenye majengo marefu na kutumia pesa za dunia bila kufanya lolote la maana,chochote chaweza kutpokea duniani na UN wasifungue mdomo,hata kulaumu tu hawawezi.
UN Washenzi Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa umeyumba.
Ni kazi sana kumtetea Iran kwa hili blander kwa kufananisha na la Marekani. Kosa la US halihalalishi kosa kwa Iran.
Halafu unaposema 290 -176 na kumuona Iran sio fala unakosea.
Vita AKILI sio siraha peke yake.
Au hujui Iran kaua zaidi (82)raia wake[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] , kwa hili mimi naona Iran ni fala, ana siraha nzito ila akili kisoda.
Juzi kati pia amerusha kombora 15 zisizo na impact
Yaani Iran aachane kabisa na vita agaist US.
Kwani lini IRAN Alitangaza Vita Against US IRAN Hanashida Na Mtu Ila US Akileta Pua 2 Atachakaa Maana Atateseka Mnoooo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani alishaipiga ndege ya abiria Airbus A300 flight 655 ya Iran wakafa watu 290.

Naona watu wanajisahaulisha au hawajui

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unaona ni sahihi kulipizia alichokifanya marekani?. Utaonaje ufahari kulipiza ya marekani huku raia wako mwenyewe zaidi ya 82 wako kwenye hiyo ndege?. Ulichokiongea hapo ni sawa na mwaka jana mtu kutoka kijiji cha mbali akaua ng'ombe wa jirani yako pamoja na ng'ombe wako wapatao 30. Mwaka huu wewe unalipiza kisasi kwa kuua ng'ombe wa jirani 12 na wa kwako mwenyewe ng'ombe wapatao 8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kama wanakosea kurusha vikombora mpaka wanaua raia wake ... wataweza kupigana na mmarekani??? kwanza wanaonekana hawana elimu wala ujuzi kuhusu makombora wala hawana shabaha... mmarekani sema tu hajaamua kuifuta iran ktk ulimwengu.... wairani wajinga sana... ndiyo kisasi gNi hicho sasa
Unakumbuka mwaka 1978 wakati ndege ya shirika la ndege la Iran ilipopigwa kombora na manowari za Kimarekani ?
 
Upuuzi akifanya US sawa Ila Akifanya URAN(IRAN) Kakosea

Haya baada ya Kuua Hao watu Pamoja Na Osama Huyu Osama Mwengne Waluokuja Kumuua 2000s kisanii bila kutuonesha hata ishahidi kamili alikua katokea wap ?!
Kwani mbona Iran iliwaua maelfu ya waandamanaji wa nchi yake mwenyewe...nini kinashindikana??ndege ina ina abiria 200 akiwemo Osama wewe kama US unafanyaje?? Its called collateral damage
US=Wauaji Nambari Moja Ulimwenguni.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nahisi hakuna Ndege Inayotunguliwa Kimakosa Kama Sio AJALI Hua Wanadhamiria Kabisa Kuuwa Watu Waso Hatia Kipuuzi Sasa Sijaelewa Kama Hapo IRAN Majorty Ya Abiria Walikua Wao Imekuaje Ndege Wakairipua Kuna Jambo Lipo Nyuma Ya Pazia Hapa Wakati Utatupa Majibu
Huwezi piga kitu kinachotembea km800 kwa saa kimakosa. Walidhamiria

Sent using Jamii Forums mobile app
Siungi Mkono Kwahili Utawala Wa IRAN Umeua Watu Bila Hatia [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwewe cha kumuogopa marekani anaanza kutungua ndege za abiria ndani ya nchi yake na raia wengi ndani ya ndege hiyo walikuwa wairan
 
Unafananisha drone na maisha ya watu?

Hawa wajinga wanajilupua wenyewe kwa ujinga wao, hawa ni kuendelea kuwawekea vikwazo tu bado hawajitambui.
Kwan drone ni Gari Mimi Sijaongelea Maisha Ya Watu Maisha Yawatu Iwe Makusudi Ama Bahati Mbaya Yanadhamani Kuliko Kitu Chengne


Vikwazo Ndio Njia Yenu Pekee Mnayoweza Pambana Na IRAN Maana Hamuna Njia Nyengne Sababu Mnajua Na Kuelewa Wazi Kabsa Yakwamba Jamaa Kijeshi Hamumuwezi...[emoji23][emoji16][emoji4][emoji1][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom